COVID-19 ilivyofurahisha na kutesa ndoa za watu

COVID-19 ilivyofurahisha na kutesa ndoa za watu

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Kama kuna kitu nisichokusahau n weee COVID-19. Mwanzoni ulipopiga hodi africa wanawake hasa wanandoa walifyrahia sana. Wapo waliofurahia kutuona waume zao wakibaki nyumban mdawote. Wapo waliofurahia kuona tendo la ndoa linazidi kuongezeka nguvu kitandani.

Huzuni kubwa ukiwa unaondoka wapo wanawake wanaojutia ujio wako kwa kweli kuna wanandoa hawakuwahi kuona waume zao wakipiga tendo landoa 3*1

COVID umefanya wanawake hawa kuhisi ni watumwa wa ngono kila wakigeuka miengo wakiamka chomo, mchana lunch chomo, usiku chomo, wa manane chomo.

Hakika watakukumbuka daima ulivyopendezesha ndoa za watu kwa mda mchache huku wengine wakilia maumivu ya moto kitandani.

Pumzika kwa amani COVID-19.
 
Back
Top Bottom