Sitaenda huko kwasababu nina swali lisilojibiwa.Tell us please
..
Kwanini Nyungu ya Tanzania as opposed to herbal medication of India ina differ kutoka eneo moja hadi jingine
..
Watu wapigao nyungu hutumia mimea inayopatikana mahali walipo.Prof. Mgaya alisema kuwa katika utafiti huo NIMR ilipata idadi ndefu ya majani ambayo yanatumika na wananchi hususani Tanzania na makabila mbalimbali na hivyo walishauriana kuweka makundi matatu na endapo mtu atapata mmoja wa mmea mmoja wapo anaweza kujifukiza.
..
Kwanini hakuna Formula ya nyungu ...
Sounds like a formula, isn't it?Prof. Mgaya alisema kuwa katika utafiti huo NIMR ilipata idadi ndefu ya majani ambayo yanatumika na wananchi hususani Tanzania na makabila mbalimbali na hivyo walishauriana kuweka makundi matatu na endapo mtu atapata mmoja wa mmea mmoja wapo anaweza kujifukiza.
Alitaja kundi la kwanza ni mkaratusi, kivumbasi (kashwagala) na mchaichai, kundi la pili ni Karafuu (mbegu), tangawizi na limau (majani) na kundi la tatu alisema ni mwarobaini na mpera na kusisitiza kuwa wakati wa kujifukiza joto lisiwe kubwa na muda usizidi dakika kumi kwa watu wazima.
...na kwamba kila mvuke wa majani ni nyungu!
Kuna swali muhimu tunalopaswa kujiuliza. Hivi Tanzania tumefikaje katika kiwango hiki duni namna hii?Tunazidi tu kutumbukia kwenye ujinga...Sijui kama hii nayo itakuja kudaiwa ni tiba ya corona pia...
Limeshajibiwa. Tueleze -- SARS ilikuwa pandemic au siyo?Sitaenda huko kwasababu nina swali lisilojibiwa.
Ofkozi, SARS ni kirusi cha korona, 80% kinafanana na cha korona hii inayozungumzwa. Ilipotea kimyakimya. I don't know how SARS being a pandemic or not changes the fact kwamba ilidisappear bila chanjo.Tutajie ugonjwa uliotoweka dunia bila chanjo
Swali lipo pale pale kwamba majani ya ng'ombe yanaweza kutumika kama nyungu?Watu wapigao nyungu hutumia mimea inayopatikana mahali walipo.
Sounds like a formula, isn't it?
“Mimea mingi ina mafuta tete ”essential oil” hivyo harufu mbalimbali za majani ya miti yanaingia haraka mwilini na hivyo kusaidia kufanya mwili kutulia, kifua kufunguka na lile joto linasaidia mishipa ya damu kufunguka na kufanya mfumo wa hewa kuwa mzuri kwenye mwili wa mtu na aina hii ya tiba imetumika miaka mingi barani afrika”.
CHANZO: Nyungu ya mwarobaini haina madhara-Prof. Mgaya
Swali lipo pale pale kwamba majani ya ng'ombe yanaweza kutumika kama nyungu?
Majani ya parapachichi yanaweza kutumika kama nyungu?
Sasa kama kuna majani aina tatu, majani hayo ni yapi na yanapatikana wapi?
Kwasasa ni formula gani inayotumika katika kupata majani, kupata aina, muda wa kuchemsha n.k.
Je, nyungu inatumika kwa watu wa umri gani? Je, wenye asthama wanaweza kutumia nyungu?
Ukiwa na TB unaweza kutumia nyungu?
Na nyungu ipi ni bora kati ya nyungu zinazorindima nchini?
Kiwango duni kwa standard ipi?Kuna swali muhimu tunalopaswa kujiuliza. Hivi Tanzania tumefikaje katika kiwango hiki duni namna hii?
Kwa nini watupatie bure? Ukiona mtu anakupatia bure ufahamu gharama yake ni kubwa. Vitu vya bure vilikwisha, sisi sio shemeji zao? Mbona wao wanajikopesha bila kuwa na simile, lakini sisi kujikopesha ni mwiko na nongwa. Hiyo Exchange Rate Mechanism (ERM) ndiyo inayomaliza mataifa ya Africa. Hata ile gold standard waliposhindwa kuihimili walibadilisha magoli.Nani anatakiwa ku-met proper requirements? Sisi ndio tunahitaji vaccine . Wajibu wetu ni kuhakiki hizo vaccine na kuzifanyia registration. Tuna mamlaka ya Dawa (TMDA) na taasisi nyingine zinazoweza kufanya analysis.
Kwanini hazifanyi? Sisi ndio wahitaji na ndio tunaopaswa kuhakiki. Pfizer au Modena au JnJ hawahitaji kutuuzia
By the way nchi masikini zinapewa bure kama ilivyokuwa miaka ya nyuma kupitia Gavi au ARV.
Hivyo hatutakiwi kusubiri mtu afanye analysis atueletee na vaccine, tufanye sisi wenyewe.
Well, juzi kuna Taifa limepeleka chombo maili 300 kwa miezi 7 katika speed ya 12,00km/hr huku chombo kikifanya control ya landing chenyewe na sasa kinaleta picha nzuri sana kuliko zile za Samsung ya Wacha1
Hivi Ebola bado ipo?Tutajie ugonjwa uliotoweka dunia bila chanjo
Even in Europe you just can't show up to get inoculated. The vaccine you are beating the drum about is only 50-50%. Also you've failed to mention those who died after getting this injection. At the moment its your choice to get a vaccine because its not 100% proven (to protect you from the virus). The variants are causing manufacturers a headache and are suggesting that you must get another injection after 3 months time.Suppose you support the use of vaccine in Tanzania. Where's the vaccine? Can a regular person or any person for that matter visit the clinic and get one? Is vaccine effective for the type of variant which is prevalent in Tanzania? Does the government has the money to buy the vaccine?
I think for the next six months or a year, the vaccine will be out of reach for Tanzanians, and the best we can do at the moment is to fight our own war with the resources that are at our disposal.
I don't think the government in Tanzania is worried about the criticism, the leadership is not worried, that is why they have not changed anything in advising Tanzanians to follow the guidelines given by health authorities in Tanzania. (Which has not changed since March last year). Few individuals and media houses controlled from London and New York are the ones who have gone on an overdrive portraying the country as massively infected with uncontrolled Covid-19. I understand why they are not happy but time will tell a different story.We have decided to follow liberal democracy. In that type of democracy, there's a price to pay in order for it to work as intended. in short, the government should tolerate criticism regardless whether the criticism levelled against it is justifiable or not. For example in America there are a propositional number of people who aren't satisfied the way their government has handled the pandemic despite the fact that the government has instituted whatever it can to address the issue. The same situation can be said about the UK government or the one in Canada.
So, the question is why is criticism of the government a problem in Tanzania? If the government solved the first wave and intends to solve the second wave, why does it worry about what critics say?
Kudungwa upya kila toleo jipya la kirusi si itakuwa ni kama sindano za matibabu, siyo chanjo?Even in Europe you just can't show up to get inoculated. The vaccine you are beating the drum about is only 50-50%. Also you've failed to mention those who died after getting this injection. At the moment its your choice to get a vaccine because its not 100% proven (to protect you from the virus). The variants are causing manufacturers a headache and are suggesting that you must get another injection after 3 months time.
Is it safe? Nobody knows, the days ahead will prove to us all whether the vaccines will keep us safe.
Yes wanatupa bure kwasababu sisi nchi masikini ni tatizo kwao. Mfano, kirusi cha China kimebadilisha maisha ya watu dunia kijamii, kiuchumi , kisiasa n.k. na kupelekea vifo vingi.Kwa nini watupatie bure? Ukiona mtu anakupatia bure ufahamu gharama yake ni kubwa. Vitu vya bure vilikwisha, sisi sio shemeji zao? Mbona wao wanajikopesha bila kuwa na simile, lakini sisi kujikopesha ni mwiko na nongwa. Hiyo Exchange Rate Mechanism (ERM) ndiyo inayomaliza mataifa ya Africa. Hata ile gold standard waliposhindwa kuihimili walibadilisha magoli.
Ni hivi utaratibu ni wa nchi kuziomba mamlaka zake zipatiwe sample na kufanya analysis.Huo utaratibu wa certification unafanywa na Serikali ambayo ndio ina mamlaka, sio kuamuliwa na mtu anayekaa NY akifikiria anaweza kutuamulia mambo yetu. Zama za utumwa zilipendwa, Tanzania is not a colony.
NB Tanzania sio masikini.
Inaelekea umegubikwa na umatonya/fikra za kukariri. Huko huko (UK/USA) kwenye chanjo ni kwa hiari sasa hao ambao hawajachanjwa huko kwao hawatakuwa waambukizaji? Hoja unazotoa ni nyepesi sana, huwezi ukataka USA/UK iidhinishe raia wa Tanzania watumie dawa yoyote ile, ukoloni ulikwisha mkuu.Yes wanatupa bure kwasababu sisi nchi masikini ni tatizo kwao. Mfano, kirusi cha China kimebadilisha maisha ya watu dunia kijamii, kiuchumi , kisiasa n.k. na kupelekea vifo vingi.
Juzi kulikuwa na mjadala nikilisiliza katika radio yangu ya zamani kidogo.
Wataalam wanasema huwezi kufanya control sehemu moja ya dunia ukabaki salama
kwa mfano wakifanya vaccination kwa watu wao kuna uwezekana mutation ikatoa new strain ambayo haitadhibitiwa na chanjo. Tatizo litaanza upya na kuwaathiri wao.
Njia rahisi ni kuhakikisha wanasaidia nchi masikini wakijua wazi hicho ndicho kikwazo kikubwa
Lakini Watanzania tumekuwa wajinga wa kushindwa kutumia logic.
Hivi unawezaje kusema hutaki bure ya Corona Virus vaccine wakati unapokea Bure ya ARV ?
Hivi unawezaje kusema hutaki bure ya Corona virus vaccine wakati unatumia vaccines za bure kutoka Gavi zinazolipiwa na nchi hizo za magharibu?
Kila siku watoto wa Tanzania wanapata chanjo za Bure kutoka nchi za magharibi.
Hivi kama nia ni mbaya hapa si ndipo pakumaliza kabisa kizazi! teh te teh
kila siku watu wanasaini misaada ya bure, lakini leo hawataki vaccine za bure za Corona! teh teh teh
Rais Obama alipoingilia kati kuhusu Ebola watu waliuliza kwanini.
Jibu lilikuwa rahisi hi '' dunia ni kijiji' siku hizi hili litakuwa tatizo la dunia.
Aliwahi na kufanikiwa. Trump kama Bosenero wa Brazili wakajaribu Ujinga kwa gharama za watu wao.
Eti unahoji kwanini wanatoa msaada wa Corona bure , huhoji kwanini Balozi wa nchi moja aje kusimamia uchimbaji wa vyoo katika sekondari, tena DC anakwenda kumshukuru. Hujui hilo! teh teh teh
Ni hivi utaratibu ni wa nchi kuziomba mamlaka zake zipatiwe sample na kufanya analysis.
Hakuna certification ya NY.
Sisi ndio tunahitaji vaccine na tunawajibu wa kupata sample na kuzifanyia analysis.
Pfizer, Modena , Johnson n Johnson na AstraZeneca hawana shida na sisi na wala hawatuhitaji, tunawahitaji
Muhimu uelewe utaratibu wa registration za dawa. Nchi zote dunia zina utaratibu wake equally nasi tuna wetu na hivyo wajibu wa kuomba sample , Literature na Proof ni wa Tanzania inayotaka vaccine si US.
Kitu kimoja unapaswa kujiuliza.
Je, hapa Tanzania tuna hata mashine inayoweza kufanya gene sequencing?
Je, tuna mashine na utaalam wa kuweza ku ''isolate virus protein'' , kufanya analysis ya ingredients za vaccine?
Kumbuka mashine zote za analysis zinatoka nchi za magharibi na hizo ndizo zinatumika kufanya analysis ingawa sina uhakika kama tuna uwezo wa kuzitumia.
Majuzi wenzetu wamepeleka chomba sayari ya Mars,Maili 300 katika speed ya 12,000KM/hr kwa miezi 7
Chombo hicho kimetua chenyewe bila msaada kutoka ardhini.
Huko NASA kuna wataalam wa kila aina.Sasa hivi wanafanya study ya kila sayansi ili kubaini kuna nini huko.
Hawa ndio tunaobishana nao!! teh teh teh! OMG
Haijalishi kashfa au matusi, ku deal na public hasa katika kuelimisha si kazi rahisi na haijawahi.FTFY.
"Watanzania ni wajinga, msioweza japo kutumia logic: mnathubutuje kuhoji..."
..
1. Hakuna anayeeleza formula ya nyungu. Kila mtu achemshe majani yake kwa muda anaojua na atumie kwa watu anaojua. Hatujui wagonjwa wa pumu na TB wanaruhusiwa au la.
Kuna nyungu ya mapapai, nyingine alfaalfa ya ng'ombe, nyingine biringanya n.k.
Simple, nyungu ni majani yaliyopo uani kwako. Kwasisi wengine nyungu tunaiita kwa kitaalamu Placebo
Sauna za mahotelini au Gym ni bora zaidi kwasababu tunajua zinatengenezwaje na zinatumikaje.
2. Watu wanahoji Vaccine ya Covid-19. Ni hao hao leo wametoka kliniki kupeleka watoto wapate chanjo ya surua, donda koo, pepopunda na Polio.
Tanzania haina kiwanda cha chanjo, zote zinatoka huko kunakopigwa vita.Tena zinakuja 'Bure'
Wapo wanaohoji kwanini bure, hao hao hawahoji vaccine za Gavi kwanini bure, ARV kwanini bure na misaada kwanini bure. Tena akina Wacha1 wanasema sisi tu huru si koloni, well ukienda BoT exchange inafanyika kwa Dollar. Vaccines zinazotumika zinatengenezwa nje na unaletewa bure! umejitawala
Ufunguo wa internet upo ubeberuni.
Mwalimu wangu umeniangisha sana. Sikutarajia haya kutoka kwako , mwalimu. Hata hivyo, rejea post namba 258 ya uzi huu kwa utulivu.. Vaccines zinazotumika zinatengenezwa nje na unaletewa bure! umejitawala
Ufunguo wa internet upo ubeberuni
Sina hakika kama nawe pia humo kwenye kampeni ya kuficha ukweli kuhusu chanzo cha madhila haya.Mfano, kirusi cha China kimebadilisha maisha ya watu dunia kijamii, kiuchumi , kisiasa n.k. na kupelekea vifo vingi.