#COVID19 COVID-19 is historical in Tanzania: Why don't USA, UK, EU and others copy from Tanzania how to fight against the Corona Virus?

Tell us please
Sitaenda huko kwasababu nina swali lisilojibiwa.

Kwanini Nyungu ya Tanzania as opposed to herbal medication of India ina differ kutoka eneo moja hadi jingine
Kwanini hakuna Formula ya nyungu na kwamba kila mvuke wa majani ni nyungu!
 
..
Kwanini Nyungu ya Tanzania as opposed to herbal medication of India ina differ kutoka eneo moja hadi jingine
..

Prof. Mgaya alisema kuwa katika utafiti huo NIMR ilipata idadi ndefu ya majani ambayo yanatumika na wananchi hususani Tanzania na makabila mbalimbali na hivyo walishauriana kuweka makundi matatu na endapo mtu atapata mmoja wa mmea mmoja wapo anaweza kujifukiza.
Watu wapigao nyungu hutumia mimea inayopatikana mahali walipo.

..
Kwanini hakuna Formula ya nyungu ...
Prof. Mgaya alisema kuwa katika utafiti huo NIMR ilipata idadi ndefu ya majani ambayo yanatumika na wananchi hususani Tanzania na makabila mbalimbali na hivyo walishauriana kuweka makundi matatu na endapo mtu atapata mmoja wa mmea mmoja wapo anaweza kujifukiza.

Alitaja kundi la kwanza ni mkaratusi, kivumbasi (kashwagala) na mchaichai, kundi la pili ni Karafuu (mbegu), tangawizi na limau (majani) na kundi la tatu alisema ni mwarobaini na mpera na kusisitiza kuwa wakati wa kujifukiza joto lisiwe kubwa na muda usizidi dakika kumi kwa watu wazima.
Sounds like a formula, isn't it?

...na kwamba kila mvuke wa majani ni nyungu!

“Mimea mingi ina mafuta tete ”essential oil” hivyo harufu mbalimbali za majani ya miti yanaingia haraka mwilini na hivyo kusaidia kufanya mwili kutulia, kifua kufunguka na lile joto linasaidia mishipa ya damu kufunguka na kufanya mfumo wa hewa kuwa mzuri kwenye mwili wa mtu na aina hii ya tiba imetumika miaka mingi barani afrika”.

CHANZO: Nyungu ya mwarobaini haina madhara-Prof. Mgaya
 
Tunazidi tu kutumbukia kwenye ujinga...Sijui kama hii nayo itakuja kudaiwa ni tiba ya corona pia...
Kuna swali muhimu tunalopaswa kujiuliza. Hivi Tanzania tumefikaje katika kiwango hiki duni namna hii?
 
Sitaenda huko kwasababu nina swali lisilojibiwa.
Limeshajibiwa. Tueleze -- SARS ilikuwa pandemic au siyo?

Tutajie ugonjwa uliotoweka dunia bila chanjo
Ofkozi, SARS ni kirusi cha korona, 80% kinafanana na cha korona hii inayozungumzwa. Ilipotea kimyakimya. I don't know how SARS being a pandemic or not changes the fact kwamba ilidisappear bila chanjo.
 
Watu wapigao nyungu hutumia mimea inayopatikana mahali walipo.

Sounds like a formula, isn't it?

“Mimea mingi ina mafuta tete ”essential oil” hivyo harufu mbalimbali za majani ya miti yanaingia haraka mwilini na hivyo kusaidia kufanya mwili kutulia, kifua kufunguka na lile joto linasaidia mishipa ya damu kufunguka na kufanya mfumo wa hewa kuwa mzuri kwenye mwili wa mtu na aina hii ya tiba imetumika miaka mingi barani afrika”.

CHANZO: Nyungu ya mwarobaini haina madhara-Prof. Mgaya
Swali lipo pale pale kwamba majani ya ng'ombe yanaweza kutumika kama nyungu?
Majani ya parapachichi yanaweza kutumika kama nyungu?

Sasa kama kuna majani aina tatu, majani hayo ni yapi na yanapatikana wapi?
Kwasasa ni formula gani inayotumika katika kupata majani, kupata aina, muda wa kuchemsha n.k.

Je, nyungu inatumika kwa watu wa umri gani? Je, wenye asthama wanaweza kutumia nyungu?
Ukiwa na TB unaweza kutumia nyungu?

Na nyungu ipi ni bora kati ya nyungu zinazorindima nchini?
 
Maswali yako mapya pia yameshajibiwa na tamko la NIMR lililonukuliwa kwenye URL hapo juu.
 
Kuna swali muhimu tunalopaswa kujiuliza. Hivi Tanzania tumefikaje katika kiwango hiki duni namna hii?
Kiwango duni kwa standard ipi?

BTW kuna wakati walisema Serikali ilikuwa inaficha ugonjwa wa Ebola naona siku hizi kimya.
 
Nani anatakiwa ku-met proper requirements? Sisi ndio tunahitaji vaccine . Wajibu wetu ni kuhakiki hizo vaccine na kuzifanyia registration. Tuna mamlaka ya Dawa (TMDA) na taasisi nyingine zinazoweza kufanya analysis.
Kwanini hazifanyi? Sisi ndio wahitaji na ndio tunaopaswa kuhakiki. Pfizer au Modena au JnJ hawahitaji kutuuzia

By the way nchi masikini zinapewa bure kama ilivyokuwa miaka ya nyuma kupitia Gavi au ARV.
Hivyo hatutakiwi kusubiri mtu afanye analysis atueletee na vaccine, tufanye sisi wenyewe.

Well, juzi kuna Taifa limepeleka chombo maili 300 kwa miezi 7 katika speed ya 12,00km/hr huku chombo kikifanya control ya landing chenyewe na sasa kinaleta picha nzuri sana kuliko zile za Samsung ya Wacha1
Kwa nini watupatie bure? Ukiona mtu anakupatia bure ufahamu gharama yake ni kubwa. Vitu vya bure vilikwisha, sisi sio shemeji zao? Mbona wao wanajikopesha bila kuwa na simile, lakini sisi kujikopesha ni mwiko na nongwa. Hiyo Exchange Rate Mechanism (ERM) ndiyo inayomaliza mataifa ya Africa. Hata ile gold standard waliposhindwa kuihimili walibadilisha magoli.

Huo utaratibu wa certification unafanywa na Serikali ambayo ndio ina mamlaka, sio kuamuliwa na mtu anayekaa NY akifikiria anaweza kutuamulia mambo yetu. Zama za utumwa zilipendwa, Tanzania is not a colony.

NB Tanzania sio masikini.
 
Suppose you support the use of vaccine in Tanzania. Where's the vaccine? Can a regular person or any person for that matter visit the clinic and get one? Is vaccine effective for the type of variant which is prevalent in Tanzania? Does the government has the money to buy the vaccine?

I think for the next six months or a year, the vaccine will be out of reach for Tanzanians, and the best we can do at the moment is to fight our own war with the resources that are at our disposal.
Even in Europe you just can't show up to get inoculated. The vaccine you are beating the drum about is only 50-50%. Also you've failed to mention those who died after getting this injection. At the moment its your choice to get a vaccine because its not 100% proven (to protect you from the virus). The variants are causing manufacturers a headache and are suggesting that you must get another injection after 3 months time.

Is it safe? Nobody knows, the days ahead will prove to us all whether the vaccines will keep us safe.
 
We have decided to follow liberal democracy. In that type of democracy, there's a price to pay in order for it to work as intended. in short, the government should tolerate criticism regardless whether the criticism levelled against it is justifiable or not. For example in America there are a propositional number of people who aren't satisfied the way their government has handled the pandemic despite the fact that the government has instituted whatever it can to address the issue. The same situation can be said about the UK government or the one in Canada.

So, the question is why is criticism of the government a problem in Tanzania? If the government solved the first wave and intends to solve the second wave, why does it worry about what critics say?
I don't think the government in Tanzania is worried about the criticism, the leadership is not worried, that is why they have not changed anything in advising Tanzanians to follow the guidelines given by health authorities in Tanzania. (Which has not changed since March last year). Few individuals and media houses controlled from London and New York are the ones who have gone on an overdrive portraying the country as massively infected with uncontrolled Covid-19. I understand why they are not happy but time will tell a different story.
 
Even in Europe you just can't show up to get inoculated. The vaccine you are beating the drum about is only 50-50%. Also you've failed to mention those who died after getting this injection. At the moment its your choice to get a vaccine because its not 100% proven (to protect you from the virus). The variants are causing manufacturers a headache and are suggesting that you must get another injection after 3 months time.

Is it safe? Nobody knows, the days ahead will prove to us all whether the vaccines will keep us safe.
Kudungwa upya kila toleo jipya la kirusi si itakuwa ni kama sindano za matibabu, siyo chanjo?
 
Kwa nini watupatie bure? Ukiona mtu anakupatia bure ufahamu gharama yake ni kubwa. Vitu vya bure vilikwisha, sisi sio shemeji zao? Mbona wao wanajikopesha bila kuwa na simile, lakini sisi kujikopesha ni mwiko na nongwa. Hiyo Exchange Rate Mechanism (ERM) ndiyo inayomaliza mataifa ya Africa. Hata ile gold standard waliposhindwa kuihimili walibadilisha magoli.
Yes wanatupa bure kwasababu sisi nchi masikini ni tatizo kwao. Mfano, kirusi cha China kimebadilisha maisha ya watu dunia kijamii, kiuchumi , kisiasa n.k. na kupelekea vifo vingi.

Juzi kulikuwa na mjadala nikilisiliza katika radio yangu ya zamani kidogo.
Wataalam wanasema huwezi kufanya control sehemu moja ya dunia ukabaki salama

kwa mfano wakifanya vaccination kwa watu wao kuna uwezekana mutation ikatoa new strain ambayo haitadhibitiwa na chanjo. Tatizo litaanza upya na kuwaathiri wao.

Njia rahisi ni kuhakikisha wanasaidia nchi masikini wakijua wazi hicho ndicho kikwazo kikubwa

Lakini Watanzania tumekuwa wajinga wa kushindwa kutumia logic.
Hivi unawezaje kusema hutaki bure ya Corona Virus vaccine wakati unapokea Bure ya ARV ?

Hivi unawezaje kusema hutaki bure ya Corona virus vaccine wakati unatumia vaccines za bure kutoka Gavi zinazolipiwa na nchi hizo za magharibu?

Kila siku watoto wa Tanzania wanapata chanjo za Bure kutoka nchi za magharibi.
Hivi kama nia ni mbaya hapa si ndipo pakumaliza kabisa kizazi! teh te teh

kila siku watu wanasaini misaada ya bure, lakini leo hawataki vaccine za bure za Corona! teh teh teh

Rais Obama alipoingilia kati kuhusu Ebola watu waliuliza kwanini.
Jibu lilikuwa rahisi hi '' dunia ni kijiji' siku hizi hili litakuwa tatizo la dunia.

Aliwahi na kufanikiwa. Trump kama Bosenero wa Brazili wakajaribu Ujinga kwa gharama za watu wao.

Eti unahoji kwanini wanatoa msaada wa Corona bure , huhoji kwanini Balozi wa nchi moja aje kusimamia uchimbaji wa vyoo katika sekondari, tena DC anakwenda kumshukuru. Hujui hilo! teh teh teh

Huo utaratibu wa certification unafanywa na Serikali ambayo ndio ina mamlaka, sio kuamuliwa na mtu anayekaa NY akifikiria anaweza kutuamulia mambo yetu. Zama za utumwa zilipendwa, Tanzania is not a colony.

NB Tanzania sio masikini.
Ni hivi utaratibu ni wa nchi kuziomba mamlaka zake zipatiwe sample na kufanya analysis.

Hakuna certification ya NY.

Sisi ndio tunahitaji vaccine na tunawajibu wa kupata sample na kuzifanyia analysis.
Pfizer, Modena , Johnson n Johnson na AstraZeneca hawana shida na sisi na wala hawatuhitaji, tunawahitaji

Muhimu uelewe utaratibu wa registration za dawa. Nchi zote dunia zina utaratibu wake equally nasi tuna wetu na hivyo wajibu wa kuomba sample , Literature na Proof ni wa Tanzania inayotaka vaccine si US.

Kitu kimoja unapaswa kujiuliza.
Je, hapa Tanzania tuna hata mashine inayoweza kufanya gene sequencing?
Je, tuna mashine na utaalam wa kuweza ku ''isolate virus protein'' , kufanya analysis ya ingredients za vaccine?

Kumbuka mashine zote za analysis zinatoka nchi za magharibi na hizo ndizo zinatumika kufanya analysis ingawa sina uhakika kama tuna uwezo wa kuzitumia.

Majuzi wenzetu wamepeleka chomba sayari ya Mars,Maili 300 katika speed ya 12,000KM/hr kwa miezi 7
Chombo hicho kimetua chenyewe bila msaada kutoka ardhini.

Huko NASA kuna wataalam wa kila aina.Sasa hivi wanafanya study ya kila sayansi ili kubaini kuna nini huko.
Hawa ndio tunaobishana nao!! teh teh teh! OMG
 
Inaelekea umegubikwa na umatonya/fikra za kukariri. Huko huko (UK/USA) kwenye chanjo ni kwa hiari sasa hao ambao hawajachanjwa huko kwao hawatakuwa waambukizaji? Hoja unazotoa ni nyepesi sana, huwezi ukataka USA/UK iidhinishe raia wa Tanzania watumie dawa yoyote ile, ukoloni ulikwisha mkuu.

BTW soma nani aligundua chanjo.

Hayo ya kwenda kwenye sayari nyingine yanatuhusu nini sie? Wao kila kukicha kuja kusomba rasilimali zetu bure then wanajifanya wanatusaidia? Yaani kusoma kote huko bado wapo ambao wanaofikiri mzungu ndie itaikomboa Afrika/Tanzania kiuchumi? Pole yako! Jiongeze basi.
 
FTFY.

"Watanzania ni wajinga, msioweza japo kutumia logic: mnathubutuje kuhoji..."
Haijalishi kashfa au matusi, ku deal na public hasa katika kuelimisha si kazi rahisi na haijawahi.

Hoja zangu zinasimama zenyewe, zinapopolewa mawe hazianguki kwasababu ni imara na thabiti. Teh teh

1. Hakuna anayeeleza formula ya nyungu. Kila mtu achemshe majani yake kwa muda anaojua na atumie kwa watu anaojua. Hatujui wagonjwa wa pumu na TB wanaruhusiwa au la.

Kuna nyungu ya mapapai, nyingine alfaalfa ya ng'ombe, nyingine biringanya n.k.
Simple, nyungu ni majani yaliyopo uani kwako. Kwasisi wengine nyungu tunaiita kwa kitaalamu Placebo

Sauna za mahotelini au Gym ni bora zaidi kwasababu tunajua zinatengenezwaje na zinatumikaje.

2. Watu wanahoji Vaccine ya Covid-19. Ni hao hao leo wametoka kliniki kupeleka watoto wapate chanjo ya surua, donda koo, pepopunda na Polio.
Tanzania haina kiwanda cha chanjo, zote zinatoka huko kunakopigwa vita.Tena zinakuja 'Bure'

Wapo wanaohoji kwanini bure, hao hao hawahoji vaccine za Gavi kwanini bure, ARV kwanini bure na misaada kwanini bure. Tena akina Wacha1 wanasema sisi tu huru si koloni, well ukienda BoT exchange inafanyika kwa Dollar. Vaccines zinazotumika zinatengenezwa nje na unaletewa bure! umejitawala
Ufunguo wa internet upo ubeberuni.
 
1. Hiyo nyungu mbona imeelezwa sana tu na Taasisi ya NIMR, chini ya uongozi shupavu wa Prof. Mgaya, ambaye amenukuliwa kwenye posti kadhaa zilizotangulia? Aah, I get you. Unataka tutumie sauna za mahotelini kwa vile zimetengenezwa mamtoni 🙂

2. Unamaanisha "Beggars cannot be choosers!". Mradi sisi Waswahili tunapokea misaada mingine, hatuna ruksa ya kuchagua nini tusaidiwe, na nini hatutaki.

Iko namna hii: chanjo hiyo iko vema kabisa, tunajua haina shida yoyote 😳. Ila sisi kwa sasa hatuitaki. Mnaturuhusu kuikataa?
 
. Vaccines zinazotumika zinatengenezwa nje na unaletewa bure! umejitawala
Ufunguo wa internet upo ubeberuni
Mwalimu wangu umeniangisha sana. Sikutarajia haya kutoka kwako , mwalimu. Hata hivyo, rejea post namba 258 ya uzi huu kwa utulivu.
===

Mfano, kirusi cha China kimebadilisha maisha ya watu dunia kijamii, kiuchumi , kisiasa n.k. na kupelekea vifo vingi.
Sina hakika kama nawe pia humo kwenye kampeni ya kuficha ukweli kuhusu chanzo cha madhila haya.
Tusome kwa pamoja kipande hiki hapa chini cha nukuu.

×××××

We are moving towards a totalitarian state of the world. This is part of Agenda ID2020 – and these steps to be implemented now – prepared since long, including by the coronavirus computer simulation at Johns Hopkins in Baltimore on 18 October 2019, sponsored by the WEF and the Bill and Melinda Gates Foundation.

Bill Gates, one of the chief advocates of vaccinations for everybody, especially in Africa – is also a huge advocate of population reduction. Population reduction is among the goals of the elite within the WEF, the Rockefellers, Rothschilds, Morgens – and a few more. The objective: fewer people (a small elite) can live longer and better with the reduced and limited resources Mother Earth is generously offering.

This had openly been propagated already in the 1960s and 70s by Henry Kissinger, Foreign Secretary in de Nixon Administration, a co-engineer of the Vietnam war, and main responsible for the semi-clandestine bombing of Cambodia, a genocide of millions of unarmed Cambodian civilians. Along with the CIA-Kissinger engineered coup on 9/11, 1973, in Chile, killing the democratically elected Salvador Allende and putting the military dictator Pinochet in power, Kissinger has committed war crimes. Today, he is a spokesman (so to speak) for Rockefeller and their “Bilderberger Society”.

Two weeks after the computer simulation at Johns Hopkins Medical Center in Baltimore, Maryland, that “produced” (aka simulated) 65 million deaths (!), the COVID-19 virus first appeared in Wuhan. By now it is almost certain that the virus was brought to Wuhan from outside, most likely from a bio-war lab in the US.

×××××
 
Back
Top Bottom