COVID-19: Madagascar quits WHO, calls on other African nations to do same

DJ nlikuwa namuona ndezi sasa ndio nimejua why amerudi ikulu mara mbili kwa vipindi tofauti hayo mabeberu ya WHO badala iboreshe dawa yanakataa shenzi zao
Sasa kama walichopeleka ni uchafu unataka uboreshwe kivipi? Ule ni uchafu Madagascar wananywesha wasiojielewa. Ni kama kikombe cha babu wote waliokunywa ni wajinga wa mwisho.
 
Mimi binafsi namuunga mkono Raisi wa Madagascar mimi binafsi kwa utashi want bila kulazimishwa na mtu najitoa WHO
Acha kutumia dawa zao anza kunywa kikombe cha babu na mwarobaini hata machine za x-ray usizitumie
 
Huyo Rais wao mpumbavu na watakaomuiga ndio wapumbavu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
😂 Mkuu, acha kutoa povu, njoo na hoja kuonyesha hicho unachokiita upumbavu kujitoa WHO

Watu wa Madagascar wanakunywa dawa na wanapona, Iweje mjinga mmoja aje kusema hawaponi na kupuuza dawa Yao?

Africa inahitaji viongozi vichwa ngumu,wasioogopa, majasiri ili kukabiliana na ukoloni mambo leo

Ikiwezekana aungwe mkono na viongozi wote Africa baada ya kujiridhisha kuwa hiyo dawa inaponyesha,

Iko namna ya kuishi baada ya Corona kuisha, Africa ijitaysrishe kuishi maisha ambayo haikuzoea
 
Rais Rajoelina ni mnafiki.
Nini kinachomshinda kuifanyia utafiti dawa yake?
 
“My country Madagascar leaves all the organizations tonight and I call on other African Nations to do same”, says President Andry Rajoelina.
=============

Which organizations? IMF, WB, UNICEF, FIFA, USAID .......
Itoe hapo USAID!
 
Dawa ni dawa tu, itambuliwe isitambuliwe, aache infiriority complex, ikitibu ata hao mabeberu watakwenda kununua
 
Wao wanataka watu wafe nyinyi mnakuja na dawa Tena third world, lengo lao Bado watu 10 mil kufa wengi wakiwa waafrika

Unadhani dawa yenu itakubalika usisahau chanjo yao mlikataa isifanyike Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka watu wanyweshwe sumu.
 
Waafrika ni vilaza sana
Tunajifanya hatuwataki wazungu huku shida zetu tunazipeleka kwao
Projects zinasimama kisa wasipotoa hela
Dawa km ARV tunategea kwao
Leo wagonjwa kibao wamenasa ulaya na asia kweny hospital zao
Kampuni za ujenzi tunategemea kutok kwao
Teknolojia ktk afya, elim, mawasiliano n.k ni wao
Sasa sijui sis tuna nn cha kujivunia mbele ya hawa watu
 
Who ni wakala wa mabeberu

Africa tuamke
yaani wewe kazi yako hapa jukwaani ni kunengua mauno kulingana na biti za JPM, akisema mabeberu wabaya naww unadance hivyo hivyo...akisema mapapai yana HIV wala haujiulizi kvp we ni kukata uno tu!!.
acha kuwa mtumwa wa watawala, tumia akili uishi huru kwa kujitegemea!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…