COVID-19: Madagascar quits WHO, calls on other African nations to do same

COVID-19: Madagascar quits WHO, calls on other African nations to do same

DJ nlikuwa namuona ndezi sasa ndio nimejua why amerudi ikulu mara mbili kwa vipindi tofauti hayo mabeberu ya WHO badala iboreshe dawa yanakataa shenzi zao
Dj huyu tofauti na dj zero wa Tanzania, dj wa Madagascar ni smart sana.
 
😂 Mkuu, acha kutoa povu, njoo na hoja kuonyesha hicho unachokiita upumbavu kujitoa WHO

Watu wa Madagascar wanakunywa dawa na wanapona, Iweje mjinga mmoja aje kusema hawaponi na kupuuza dawa Yao?

Africa inahitaji viongozi vichwa ngumu,wasioogopa, majasiri ili kukabiliana na ukoloni mambo leo

Ikiwezekana aungwe mkono na viongozi wote Africa baada ya kujiridhisha kuwa hiyo dawa inaponyesha,

Iko namna ya kuishi baada ya Corona kuisha, Africa ijitaysrishe kuishi maisha ambayo haikuzoea
Hiyo dawa mbona hata sisi hatuitumii hadi tuifanyie utafiti, kosa la WHO ni lipi sasa.
 
Mwambieni asisahau kujitoa WORLD BANK, IMF, UN, WFP, UNICEF N.K

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vyema sana, Africa tulishakuwa biashara yao tangu tulivyokubali kufuata mifumo yao, kujitoa ni vema kujua kuwa mashirika yote kama hayo uliyoyainisha ni mkono wa mtu mmoja. Wakati anapigwa Gadafi alikuwa apigwi kama yeye ilikuwa inapigwa Afrika, lakini wengine wakijua ni Gadafi tu, na maisha yao yateendelea. AU imekuwa kama chama cha kuzikana tu. [Q UOTE="Kim Jong Jr, post: 35376972, member: 214818"]
Mwambieni asisahau kujitoa WORLD BANK, IMF, UN, WFP, UNICEF N.K

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
 
Hii taarifa umeileta ili kupima akili za watu au kuchangamsha watu wanaokiamini kikombe cha babu wa Madagascar?

HII TAARIFA NI FAKE NEWS.
 
DJ nlikuwa namuona ndezi sasa ndio nimejua why amerudi ikulu mara mbili kwa vipindi tofauti hayo mabeberu ya WHO badala iboreshe dawa yanakataa shenzi zao
sijaelewa link ya Madagasca kujitoa WHO na DJ kwenda ikulu, sorry mkuu je unaweza kufafanua ?
 
Mataifa ya kiafrica kujitoa WHO doesn’t change anything kwanza for the most part awafuati hata hiyo miongozo ya health provision directives za kila siku kwenye operation zao.

Matter of fact waafrika wengi tumejua role ya WHO baada ya COVID 19 wakati huko kwa wenzetu everyday health policies, health promotion strategies na operation strategies chanzo chake WHO directives.

Watu washakuja na kinga zidi ya COVID 19 lakini bado hazina kibali cha mass consumption mbona wasijitoe WHO, the answer is simple ukitaka medical endorsement ya WHO lazima ufuate taratibu zao za kisayansi hizo dawa zinafanya kazi vipi.

Uwezi kutengeneza miti shamba yako hata kama kweli inaponya ukapata endorsement ya WHO vinginevyo Chinese medicine medicine zingekuwa zinatolewa kama prescription na hospitali maana kuna dawa zao nyingi watu wengi wanatumia duniani na zinawasaidia.
 
Huo uwongo wa Chadema haikubaliki
yaani wewe kazi yako hapa jukwaani ni kunengua mauno kulingana na biti za JPM, akisema mabeberu wabaya naww unadance hivyo hivyo...akisema mapapai yana HIV wala haujiulizi kvp we ni kukata uno tu!!.
acha kuwa mtumwa wa watawala, tumia akili uishi huru kwa kujitegemea!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo dawa mbona hata sisi hatuitumii hadi tuifanyie utafiti, kosa la WHO ni lipi sasa.
WHO kosa Lao ni kushindwa kuifanyia uchunguzi na kuithibitisha kama inaponya,

Jingine, ni kumshawishi atie sumu Raisi wa watu Wakati mtu wa watu ana roho na moyo na anahuruma na anajua huzuni ya kufiwa, lakini mibeberu haijui Hilo Kwa mwafrica, yanaona Sawa tu
 
Huyo rais NA MUELEWA SANAA.
nani kasema corona haina dawa.
Na yeye ni nani katika hii DUNIA?.
Kama imepatikana na Ina tibu kwanini ISITUMIWE?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipingi kujitoa ila labda watupe plan B,maana mihemko itatupeleka pabaya waafrika

Tanzania tumechukua dawa hiohio na wamesema wanaifanyia utafiti kwanza kujiridhisha,sasa kama WHO walitaka utafiti ufanyike kuna shida gani?

Kutibu tuu haitoshi,Utafiti una faida nyingi ikiwepo kujua madhara ya muda mfupi na mrefu ya dawa,uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya virus nk


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nchi za kiafrika ni ngumu sana kujitoa maana karibu kwa kila kitu bado tunawategemea wazungu ikiwemo Technology.
Sisi ni taifa lisilofungamana na upande wowote

Tutaifuata hiyo teknolojia huko kwingine ambako hawayafuati sana hayo mashirika mf. Russia Uchina,Iran Korea na mengine mengi

Ni lazima tuwe na uamuzi mgumu kama rais wa Russia alivyotutonya kwamba mataifa ya ulaya yatalia na kusaga meno kama Marais wa Afrika watajitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom