Alyetuma bird naye ni hayawani tu.Mfano mwingine wa ukurupukaji.
Hiyo dawa yao waliifanyia wapi majaribio mpaka ikubaliwe kuwatibu watu?
Au kwasababu Tz tulituma ndege huko ndio wakajiona wameshakubalika duniani!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alyetuma bird naye ni hayawani tu.Mfano mwingine wa ukurupukaji.
Hiyo dawa yao waliifanyia wapi majaribio mpaka ikubaliwe kuwatibu watu?
Au kwasababu Tz tulituma ndege huko ndio wakajiona wameshakubalika duniani!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nani kakwambia china imejitenga WHO??mdogo mdogo tutafika..nchi ya China ilijetenga miaka hiyo sasa hivi wapo vzr kidunia
Wakati mwingine kutegemea sana hawa mabeberu wanatusumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayesema tujitoe ni tajiri, ataenda kutibiwa popote apatakapo.Unazifahamu faida na hasara za kujitoa lakini kabla ya kutoa huu ushauri kwa Rais wako? Au kwa sababu tu Madagascar imejitoa basi na sisi tufuate mkumbo!
Upumbavu wake ni upi? Kwani Afrika haiwezi kuanzisha shirika lake la Afya yenyewe?
Unavyoletewa vyote na wazungu unakuwa umejua vilipofanyiwa majaribio?Mfano mwingine wa ukurupukaji.
Hiyo dawa yao waliifanyia wapi majaribio mpaka ikubaliwe kuwatibu watu?
Au kwasababu Tz tulituma ndege huko ndio wakajiona wameshakubalika duniani!.
Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi binafsi namuunga mkono Raisi wa Madagascar mimi binafsi kwa utashi wangu bila kulazimishwa na mtu najitoa WHO
Labda mpaka Yesu arudi! Haitatokea hata sikumoja tujimwambafai mbele ya Mzungu huyo Rais wa Madagascar ni bangi tu zinamsumbuaWho ni wakala wa mabeberu
Africa tuamke
COVID-19: Madagascar quits WHO, calls on other African nations to do same
Madagascar President, Andry Rajoelina is calling on all African countries to quit the World Health Organization (WHO), saying Europe has bad faith towards Africa.
Andry Rajoelina says, Europe created these organizations with the will to keep Africans dependent on them. Citing the current issue, he says Africa has found a medicine against Coronavirus but Europe thinks they have a monopoly of intelligence and so they refuse to acknowledge it. With this backdrop, he invites all African Nations to quit the international organizations in order for Africa to build their organization.
“My country Madagascar leaves all the organizations tonight and I call on other African Nations to do same”, says President Andry Rajoelina.
Bado kitambo kidogo nyani atajua umuhimu wa nyumba.WHO kosa Lao ni kushindwa kuifanyia uchunguzi na kuithibitisha kama inaponya,
Jingine, ni kumshawishi atie sumu Raisi wa watu Wakati mtu wa watu ana roho na moyo na anahuruma na anajua huzuni ya kufiwa, lakini mibeberu haijui Hilo Kwa mwafrica, yanaona Sawa tu
Hapana, hii ni juu ya wewe kua na akili zaidi ya Trump. Yeye mbumbumbu anaiongoza Marekani wewe unaongoza nchi gani?Kwani nchi kujitoa WHO inajitoa dongo au watu wa nchi ile? Mimi Kama raia wa Tanzania yenye watu milioni 50 natangaza kujitoa binafsi .Nchi na watu wengine wakiamua kujitoa mimi nimeshajitoa binafsi sitatumia chochote kilichoidhinishwa na WHO nitajinywea dawa za Madagascar na kujifukizia
Rightly so.COVID-19: Madagascar quits WHO, calls on other African nations to do same
Madagascar President, Andry Rajoelina is calling on all African countries to quit the World Health Organization (WHO), saying Europe has bad faith towards Africa.
Andry Rajoelina says, Europe created these organizations with the will to keep Africans dependent on them. Citing the current issue, he says Africa has found a medicine against Coronavirus but Europe thinks they have a monopoly of intelligence and so they refuse to acknowledge it. With this backdrop, he invites all African Nations to quit the international organizations in order for Africa to build their organization.
“My country Madagascar leaves all the organizations tonight and I call on other African Nations to do same”, says President Andry Rajoelina.
Upuuzi mwengine huuMfano mwingine wa ukurupukaji.
Hiyo dawa yao waliifanyia wapi majaribio mpaka ikubaliwe kuwatibu watu?
Au kwasababu Tz tulituma ndege huko ndio wakajiona wameshakubalika duniani!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujitoa ni jambo jema sanaKwa nchi za kiafrika ni ngumu sana kujitoa maana karibu kwa kila kitu bado tunawategemea wazungu ikiwemo Technology.
Unauhakika nchi ya China imejitenga na WHOmdogo mdogo tutafika..nchi ya China ilijetenga miaka hiyo sasa hivi wapo vzr kidunia
Wakati mwingine kutegemea sana hawa mabeberu wanatusumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
The President of Madagascar, Andry Rajoelina has called on all African Nations to quit the World Health Organization (WHO) because of the bad faith of Europe towards Africa.
The Malagasy president says, Europe created organizations with the desire for Africans to remain dependent on them. Africa has found a medicine against Coronavirus but Europe thinks they have a monopoly of intelligence as such they are refusing to acknowledge it. It is against this backdrop that I invite all African Nations to quit the international organizations in order for us to build ours.
My country Madagascar leaves all the organizations tonight and I call on other African Nations to do same.
Share such great leaders...
#copied
#NowItsAfrica
Ntuntih News
![]()
Until you hear it on East Africa TV lol.FAKE NEWS
Until you hear it on East Africa TV lol.