COVID-19: Madagascar quits WHO, calls on other African nations to do same

he says Africa has found a medicine against Coronavirus but Europe thinks they have a monopoly of intelligence and so they refuse to acknowledge it. .
Naunga mkono hoja Mimi binafsi Nina akili kuliko Raisi Donald Trump lakini wazungu wananidharau wakidhani wao tu ndio Wana monopoly ya akili

Waafrika tuliomzidi akili Donald Trump mbona tuko wengi tu
 
Hahaha kisha neti za msaada zinakata. Msaada wa Dawa za ARV unakata, mpango wa kushughulika na TB na Ukoma unaufelisha.

Hayo yote yanatokea huku ukiwa haujajipanga.

Hawa marais wetu wanatakiwa wajifunze mutual benefit between parties, akijitoa kuna watu watamsifia, ila wakati nchi inapotea kwa magonjwa hakuna kati ya aliyemsifia atatoa msaada.

Surprisingly akija rais mwingine anairudisha nchi WHO.
 
Naunga mkono hoja Mimi binafsi Nina akili kuliko Raisi Donald Trump lakini wazungu wananidharau wakidhani wao tu ndio Wana monopoly ya akili

Waafrika tuliomzidi akili Donald Trump mbona tuko wengi tu
Ok, kwahiyo wewe ni Rais wa nchi gani?
 
COVID-19: Madagascar quits WHO, calls on other African nations to do same

Madagascar President, Andry Rajoelina is calling on all African countries to quit the World Health Organization (WHO), saying Europe has bad faith towards Africa.

Andry Rajoelina says, Europe created these organizations with the will to keep Africans dependent on them. Citing the current issue, he says Africa has found a medicine against Coronavirus but Europe thinks they have a monopoly of intelligence and so they refuse to acknowledge it. With this backdrop, he invites all African Nations to quit the international organizations in order for Africa to build their organization.

“My country Madagascar leaves all the organizations tonight and I call on other African Nations to do same”, says President Andry Rajoelina.
Adui yake sio adui yetu,kwahiyo kila mtu akomae na adui yake maana sio vema kirithi maadui.
 
Ulevi wa mmea wa Mdagascar, chanjo tu za pepopunda hatuwezi tunapaka majivu vitovu vya watoto...

Aaache kuvuta bangi moshi, mmea, mbegu na mizizi, mwenziye huku kajificha kwao...

Everyday is Saturday..................... 😎
 
Kujitoa sizani kama ni kitu za faida kwa Madagascar japokuwa sometimes WHO wana mambo ya kipuuzi sana yaani kama wanatutisha Wafrika.

Jana BBC Swahili,WHO wamesema mpaka mwaka huu unaisha robo ya waafrika wote watakuwa wameugua Corona,Salim Kikeke akamuuliza mbona hizi takwimu zime base sana Afrika na si Ulaya,Asia,America Why Africa?

Jamaa akawa hana cha kujibu kamung'unya maneno wewe hakuna alicho kielezea kika eleweka.Yaani WHO kutwa kutabiria mabaya Afrika mpaka wanakera wanawajengea hofu watu,walisha itabiria afrika mara mbili kuhusu Corona still hayajatukuta waliyo tutabiria.
 
Kwani nchi kujitoa WHO inajitoa dongo au watu wa nchi ile? Mimi Kama raia wa Tanzania yenye watu milioni 50 natangaza kujitoa binafsi .Nchi na watu wengine wakiamua kujitoa mimi nimeshajitoa binafsi sitatumia chochote kilichoidhinishwa na WHO nitajinywea dawa za Madagascar na kujifukizia
 
Kujitoa sizani kama ni kitu za faida kwa Madagascar japokuwa sometimes WHO wana mambo ya kipuuzi sana yaani kama wanatutisha Wafrika.

Jana BBC Swahili,WHO wamesema mpaka mwaka huu unaisha robo ya waafrika wote watakuwa wameugua Corona,Salim Kikeke akamuuliza mbona hizi takwimu zime base sana Afrika na si Ulaya,Asia,America Why Africa?

Jamaa akawa hana cha kujibu kamung'unya maneno wewe hakuna alicho kielezea kika eleweka.Yaani WHO kutwa kutabiria mabaya Afrika mpaka wanakera wanawajengea hofu watu,walisha itabiria afrika mara mbili kuhusu Corona still hayajatukuta waliyo tutabiria.
Kikeke kiboko huyo ndie mwandishi nguli
 
COVID-19: Madagascar quits WHO, calls on other African nations to do same

Madagascar President, Andry Rajoelina is calling on all African countries to quit the World Health Organization (WHO), saying Europe has bad faith towards Africa.

Andry Rajoelina says, Europe created these organizations with the will to keep Africans dependent on them. Citing the current issue, he says Africa has found a medicine against Coronavirus but Europe thinks they have a monopoly of intelligence and so they refuse to acknowledge it. With this backdrop, he invites all African Nations to quit the international organizations in order for Africa to build their organization.

“My country Madagascar leaves all the organizations tonight and I call on other African Nations to do same”, says President Andry Rajoelina.
Ikiwapendeza,jiondoeni pia IMF,work bank, UNICEF, UNESCO, ILO, FAO, UHCR,WTO, Kama umeweza kuota ndevu. Ila Madagascar mnajidanganya kesho kutwa tu mtaanza kulia njaa na maradhi tayari kwa kuomba missada.msichokoze mamba hamjavuka mto
 
Baada ya kujitoa halafu unafanya nini? Naona wengi hatutaki hata kujua kwa nini tulijiunga na WHO, tunadhani ilitokea tu. Find out kwa nini tulijiunga halafu ndio uanze kufikiria kuhusu kujitoa,tusiwe na tabia ya kufuata mkumbo kutokana na feelings zako.
 
People should calm down and reason with cool heads. Wewe umeambiwa usubiri huo mtishamba uwe clinically tested ila unakimbilia kusema huo ni ubaguzi. Hizi ni mentality za colonialisation.

Kukimbilia kujitoa WHO sio solution
 
Mimi binafsi namuunga mkono Raisi wa Madagascar mimi binafsi kwa utashi wangu bila kulazimishwa na mtu najitoa WHO
Unajua maana ya WHO? Haina maana ya Wale Hayawani Ogopa ni toka Lumumba
 
Mzungu siku zote yeye anajiona kama Mungu mtu, kajiwekea msimamo African hatuwezi fanya kitu.

Maamuzi ya busara Sana Madagascar, Tanzania tunaweza kweli maana tunawategemea Sana Hawa mabeberu kwa Kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzungu anajiona kama Mungu kama JIWE afanyavyo?
 
Back
Top Bottom