COVID-19: Madagascar quits WHO, calls on other African nations to do same

Alafu mbona amjiulizi kwanini kesi za corona zinaongezeka huko Madagscar? haya saiz watu wawili washakufa kwa corona
Tungeona angalau amna kesi wala kifo huko Madagscar ndo angalau tungepata imaani kidogo na hyo daawa yao
 
Malaria ina dawa. Hii haimaanishi kuwa watu wameacha kufa kwa malaria. Magonjwa yote yako hivyo. Dawa hupunguza tu idadi ya vifo.
 
Back
Top Bottom