COVID-19: Nani mkweli kati ya Serikali yetu na Ubalozi wa Marekani? Je, Tanzania tunawaogopa sana Wamarekani? Kwanini waseme uongo huu waachwe?

Watanzania tuwe wazalendo na wenye busara. Official statistics hapa Tanzania anatoa Waziri wa afya au PM. Waziri wa afya kasema ugonjwa umepungua sana. Na akatoa takwimu. Hizo ndio taarifa rasmi. Hizo za wa marekani ni za kwao wao. Hivyo mkweli ni Waziri wa afya. Na la msingi wizara ya mambo ya nje imshughulikie huyu balozi inavyotakiwa.
Huko kwao wao wenyewe wanalumbana wanasena Ny inatoa takwimu za uongo. Ili kumchafua trump sababu Governor wa NY ni Democrat na Trump ni Republican.
Mimi nafikiri wamechukia kuona tunasonga mbele bila mikopo ya WB kama kenya na Uganda na huku Ikulu mpya ya Dodoma inajengwa wanataka kuleta fitina.
 


acha uongo we jamaa!

umeshazika wangap wenye corona hata kushudia?au ndo unatafuta kick?nyie ndo mnasambaza hofu kwa jamii!
we umeona watu weupe wanavyokufa kama ingekuwa tz wanakufa kias hicho unadhan kusingeibuliwa mait kila sehem?
 
Swali la msingi ni je watanzania tuendelee kuchulua tahadhari au tujichanganye tu kama kawaida?
 
Kuhus Kuhusu kuwaogopa hilo liko wazi mkuu. We pigia mstari.
 
Hivi nyie kwa mfano mkaambiwa wagonjwa wa COVID-19 hapa nchini wako laki moja mtafanyaje? Tuacheni siasa za kipumbavu tuchapeni kazi, kikubwa serikali iweke masharti magumu tu kwenye kujikinga mfano ukikutwa huoshi mikono, huvai barakoa kwenye msongamano uchukuliwe hatua za kinidhamu! Maisha yaendelee!
 
Kama bado matangazo ya afya wafadhali wakuu Ni watu wa Marekani acha tu wstusemee. Tuna nguvu kujibizana na kina Lissu na Mbowe Hadi tunawaita mabeberu. Ila siku Mmarekani akitusikia tumempachika beberu kiama tutakiona
 
Kama bado matangazo ya afya wafadhali wakuu Ni watu wa Marekani acha tu wstusemee. Tuna nguvu kujibizana na kina Lissu na Mbowe Hadi tunawaita mabeberu. Ila siku Mmarekani akitusikia tumempachika beberu kiama tutakiona
[emoji23][emoji23][emoji23] hawa jamaa hawajielewi, wakiwasifia wanakuwa kondoo, wakiwaponda wanawaita beberu, hawajiamini
 
Naamini maelekezo ya serikali.

Wamarekani wanawasemea wamarkani wenzao.

Hata sisi (wa-Tz) hatufungwi kuisema vibaya Marekani.
 
kwa mfano (ipo mifano mingi), hivi hiki kifo cha ndugu yetu... jeee Ummy amekiripoti mahali popote??

TANZIA - Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan
 
Gov haijawahi karma ukweli
 
Pascal Mayalla, hivi kwa akili zako hizo ulizosoma kwa kodi zetu unawaza kuwa marekani ni waongo ?

Wafundisheni wa tz kuchukua tahadhari waambieni wafanye kazi ila wachukue tahadhari.

Hata hao watoto huko shule waambieni ukweli.

Sisi tunafanya kazi ndani ya imani ya kulindwa na Mungu.

Vile mko mfukuzeni marekani matokeo tutayaona.
 
Unapataje takwinu wakati hatupimwi?

Sent
 
Jambo moja ambalo nimejifunza. Rais Magufuli ameonyeha mfano wakuigwa kwa viongozi wa East Africa. Tusipende vya bure na kukopa kukopa. Mikopo ya WB kupambana na Covid-19 inawagharimu kenya na Uganda, wanalazimika hata kutoa takwimu za uongo ili mradi zile pesa zionekane zinatumika kupambana na Covid-19. Maana hata ambao haumwi wanaambiwa ni wagonjwa.
Sisi hapa Tanzania tuna amini taarifa za Wizara ya afya. Hao wengine wana yao.
Labda wawe wanatoa taarifa kwa Mbowe na Zitto.Kama wanataka uhakika.
 
serikali yetu ya awamu ya 5 na suala la kusema uongo (ili kupata sifa...tena wakati mwingne za kijinga) ni kama uhusiano uliopo kati ya samaki na maji!!!.
 
Unawaamini waganda?
mkuu hata kama mnatumika na watawala wakati mwingine muwe mnajiongeza badala ya kujitoa ufahamu kama machizi.

iweje tuwe tunasingiziwa na nchi zote majirani sisi tu...kwann iwe TZ tuu, yaani Kenya, Uganda na Zambia nchi zote hizo zinatuonea wivu?? au wametumwa na mabeberu??

kuna tatizo.
 
acha uongo we jamaa!

umeshazika wangap wenye corona hata kushudia?au ndo unatafuta kick?nyie ndo mnasambaza hofu kwa jamii!
we umeona watu weupe wanavyokufa kama ingekuwa tz wanakufa kias hicho unadhan kusingeibuliwa mait kila sehem?
Sawa mimi ni muongo.
Sina cha kusema tena.
Mimi nasema Corona ipo na inarindima vizuri tu kipindi hiki (maana nimezika na sasa nauguza), kama huamini kuwa Corona ipo na inapiga watanzania sasa hivi endelea na maisha yako, hakuna cha kubishana sana hapa.

Turudi kwenye kujadili hoja ya balozi wa marekani hapa Tanzania.
 

USA ipi? hii ya George flyod? Na fuitiville station??

Utakuwa mpuuzi wewe kutamani ungezaliwa mahali fulani

Na jinsia ungetamani kuzaliwa kuwa mwanamke?

Badil
USA you can go

Jinsia unaweza badili pia
 
Wee mwanaccm sisi watanzania wazalendo hatutaki kuusikia uporojo wa Ummy Mwalim au mtu yeyote. Tunataka takwimu zinazotolewa zionekane kweli na siyo huu upuuzi wanaozungumza. Hizi ni afya na uhai wa watu!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…