mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Kila mtu (including Paskali) achague anayemuami. Binafsi naamini taarifa ya ubalozi wa Marekani. Period!Wazungu hawajawahi kuongopa mjomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu (including Paskali) achague anayemuami. Binafsi naamini taarifa ya ubalozi wa Marekani. Period!Wazungu hawajawahi kuongopa mjomba
nyungu imefanya kazi uganda no death mpaka sasa hivi, m7 achia watuMarekani wako sahihi kabisa, tuache ubishi. Soma AYA ya pili kwenye barua niliyoambatanisha hapo ndiyo utajua mkweli na muongo.
View attachment 1467186
Mungu wabariki WazunguKila mtu (including Paskali) achague anayemuami. Binafsi naamini taarifa ya ubalozi wa Marekani. Period!
PASKALI;Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala fikirishi, elimishi na hamasishi uzalendo za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hutolewa kwa mfumo wa maswali, makala ya leo ni kuhusu utoaji wa taarifa za Corona, COVID-19: Nani Mkweli Kati ya Serikali Yetu na Ubalozi wa Marekani?!. Jee Tanzania Tunawaogopa Sana Wamarekani?!. Kwanini Wamarekani Waseme Uongo Mkubwa kama Huu halafu Waachwe tuu hivi hivi?!.
Nimesoma with disbelief hii taarifa ya leo ya ubalozi wa Marekani, kwanini ubalozi unatoa taarifa ya uongo kuhusu hali ya COVID-19 nchini kwetu na wanaachwa hivi hivi?!, Jee hawa Wamarekani tunawaogopa?.
Taarifa yenyewe inapatikana hapa kwa wale wa kimombo
Tanzania International Travel Information
Kama rais Magufuli juzi kasema Corona imepungua, jana Waziri Ummy kathibitisha kwa data, leo Marekani inaibuka na kesema hizo taarifa zinazotolewa na viongozi wetu ni taarifa za uongo, na kutusingizia serikali yetu inaficha data, nani mkweli na nani muongo?.
Kwanini Wamarekani waseme uongo waachwe?!. Kama serikali yetu itawanyamazia hawa Wamarekani bila kuwaonya au kuwachukulia hatua yoyote kwa uongo wao, then waelewa wataelewa nani ni muongo kweli na nani ni mkweli, na pia huu utakuwa ni uthibitisho kuwa Mmarekani tunamuogopa, hata utusingizie uongo gani sisi, tunanyamaza tuu!.
Tanzania na rais wetu Magufuli na serikali yetu tumekuwa tukisingiziwa uongo mwingi na sometimes hata kutukanwa na kudhalilishwa na media za nje, lakini tunanyamaza ama kwa kuwapuuza, ama kwasababu Tanzania kwa sasa hatuna watu wenye the capacity kujibu tuhuma kama za The Economist, lakini enzi za Kikwete, aliposingiziwa na balozi wa Marekani kuwa amehongwa suti, Ikulu yetu haikunyamaza, baada ya kupiga kelele humu, Marekani walikanusha.
Lakini sasa leo rais wetu anasema ukweli, kesho Waziri wetu wa Afya anasema kweli, halafu kesho yake, ubalozi uliopo hapa hapa Tanzania unaibuka na taarifa za uongo kuonyesha serikali yetu inaficha ukweli!, ukificha ukweli maana yake unachoripiti ni uongo!. Sasa huu uongo unaosemwa nchini, na ubalozi fulani, usipokanushwa, itaamaanisha ama tunawaogopa Wamarekani, ama tunachoelezwa na serikali yetu ni .. na wanayoyasema Wamarekani ndio ukweli wenyewe, ilaikitokea hawa Wamarekani ni waongo, swali linabaki "Hivi hawa Wamarekani wanatutakia nini?!. Kwanini watutungie uongo na kuueneza dunia nzima?. What is their motive behind and what do they wish to achieve?.
Paskali
Wiki hii tuliyonayo wametoa updates tuna wagonjwa wanne. Updates nyingi tu zimeshatolewa baada ya April 29. Una vitu vingi ofisiniKwenye darasa moja ninalofundisha, huwa nawaambia wanafunzi wangu "perception matters". Bahati mbaya au nzuri maamuzi mengi hufanyika kwa kutumia (based on) perceptions. Kwenye takwimu za COVID 19 inaelekea tumejikanyaga mahali na matokeo yake iwe kweli au la tunakuwa perceived kuwa tunatumia data za kupika na itachukua muda mrefu hadi tuje kuaminika.
Unaweza ukasema na ni haki yako kusema "Kama mpaka sasa update ya Corona kwa Tanzania ilitolewa mara ya mwisho tarehe 29 April wakati huo idadi ya vifo ni 16, na mpaka leo hakuna update hivyo idadi ya waliokufa kwa Corona Tanzania bara ni huo 16 tuu, na huu ndio ukweli wenyewe........(Pascal hapo juu)". Je ni nani anakuamini? Nasikia hatufi tena kwa COVID19 bali kwa matatizo ya kupumua (yakijumlisha pneumonia, asthma, etc).
Pascal ummy amesema tanzania ina wagonjwa 4 wenye corona, kiutalamu katika magonjwa ya kuambukiza hao watu wanne wanaweza kuambukiza zaidi ya watu 20 ndani ya masaa 24 kama hatua za kujikinga nao hazitachukuliwa. Hivyo kusema ugonjwa upo, wamarekani hawajakosea labda Ummy angesema hakuna mgonjwa wa corona Tanzania halafu wakaja wamarekani wakasema kwamba wagonjwa wapo, hapo tungesema wanatusingizia kwa kusema uwongo. Kwa taarifa za serikali yetu ugonjwa upo.Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala fikirishi, elimishi na hamasishi uzalendo za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hutolewa kwa mfumo wa maswali, makala ya leo ni kuhusu utoaji wa taarifa za Corona, COVID-19: Nani Mkweli Kati ya Serikali Yetu na Ubalozi wa Marekani?!. Jee Tanzania Tunawaogopa Sana Wamarekani?!. Kwanini Wamarekani Waseme Uongo Mkubwa kama Huu halafu Waachwe tuu hivi hivi?!.
Nimesoma with disbelief hii taarifa ya leo ya ubalozi wa Marekani, kwanini ubalozi unatoa taarifa ya uongo kuhusu hali ya COVID-19 nchini kwetu na wanaachwa hivi hivi?!, Jee hawa Wamarekani tunawaogopa?.
Taarifa yenyewe inapatikana hapa kwa wale wa kimombo
Tanzania International Travel Information
Kama rais Magufuli juzi kasema Corona imepungua, jana Waziri Ummy kathibitisha kwa data, leo Marekani inaibuka na kesema hizo taarifa zinazotolewa na viongozi wetu ni taarifa za uongo, na kutusingizia serikali yetu inaficha data, nani mkweli na nani muongo?.
Kwanini Wamarekani waseme uongo waachwe?!. Kama serikali yetu itawanyamazia hawa Wamarekani bila kuwaonya au kuwachukulia hatua yoyote kwa uongo wao, then waelewa wataelewa nani ni muongo kweli na nani ni mkweli, na pia huu utakuwa ni uthibitisho kuwa Mmarekani tunamuogopa, hata utusingizie uongo gani sisi, tunanyamaza tuu!.
Tanzania na rais wetu Magufuli na serikali yetu tumekuwa tukisingiziwa uongo mwingi na sometimes hata kutukanwa na kudhalilishwa na media za nje, lakini tunanyamaza ama kwa kuwapuuza, ama kwasababu Tanzania kwa sasa hatuna watu wenye the capacity kujibu tuhuma kama za The Economist, lakini enzi za Kikwete, aliposingiziwa na balozi wa Marekani kuwa amehongwa suti, Ikulu yetu haikunyamaza, baada ya kupiga kelele humu, Marekani walikanusha.
Lakini sasa leo rais wetu anasema ukweli, kesho Waziri wetu wa Afya anasema kweli, halafu kesho yake, ubalozi uliopo hapa hapa Tanzania unaibuka na taarifa za uongo kuonyesha serikali yetu inaficha ukweli!, ukificha ukweli maana yake unachoripiti ni uongo!. Sasa huu uongo unaosemwa nchini, na ubalozi fulani, usipokanushwa, itaamaanisha ama tunawaogopa Wamarekani, ama tunachoelezwa na serikali yetu ni .. na wanayoyasema Wamarekani ndio ukweli wenyewe, ilaikitokea hawa Wamarekani ni waongo, swali linabaki "Hivi hawa Wamarekani wanatutakia nini?!. Kwanini watutungie uongo na kuueneza dunia nzima?. What is their motive behind and what do they wish to achieve?.
Pascal
Wazungu hawajawahi kuongopa mjomba
Hospitali ya Temeke hakuna Daktari anayeingia wodi ya wagonjwa wa coronaWamarekani hawana sababu ya kuongopa!! Kweli hao wagonjwa wanne wa covid 19 ndio wagonjwa wa nchi nzima waliobaki au ni wagonjwa waliopo hospital za serikali Dar es salaam? Kwasababu ukienda Aga khan na Hindu Mandal tu kule kwenye ICU zao hapo Dar ndio utabaini kama balozi wa marekani anaongopa au anasema kweli!!!
Wananchi hawawapeleki wagonjwa wao hospitali kwani kule hakuna huduma wamebakia kuwatibu wagonjwa wao nyumbani kwa NYUNGU na wakiitwa mbele ya haki wanawazika kimya kimya kwa heshima na sio kutupwa kama wafanyavyo serikalini!!
Mkuu hujatembea na uzi wangu. Hapo juu nilimkwoti Pascal lakini pointi yangu ni kuhusu perception. Ukieleweka vibaya ni vigumu watu kukuamini. Kwa kutoa data kutumia vigezo vyetu na sio vys kimataifa ndio kumeleta tatizo hili.Wiki hii tuliyonayo wametoa updates tuna wagonjwa wanne. Updates nyingi tu zimeshatolewa baada ya April 29. Una vitu vingi ofisini
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala fikirishi, elimishi na hamasishi uzalendo za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hutolewa kwa mfumo wa maswali, makala ya leo ni kuhusu utoaji wa taarifa za Corona, COVID-19: Nani Mkweli Kati ya Serikali Yetu na Ubalozi wa Marekani?!. Jee Tanzania Tunawaogopa Sana Wamarekani?!. Kwanini Wamarekani Waseme Uongo Mkubwa kama Huu halafu Waachwe tuu hivi hivi?!.
Nimesoma with disbelief hii taarifa ya leo ya ubalozi wa Marekani, kwanini ubalozi unatoa taarifa ya uongo kuhusu hali ya COVID-19 nchini kwetu na wanaachwa hivi hivi?!, Jee hawa Wamarekani tunawaogopa?.
Taarifa yenyewe inapatikana hapa kwa wale wa kimombo
Tanzania International Travel Information
Kama rais Magufuli juzi kasema Corona imepungua, jana Waziri Ummy kathibitisha kwa data, leo Marekani inaibuka na kesema hizo taarifa zinazotolewa na viongozi wetu ni taarifa za uongo, na kutusingizia serikali yetu inaficha data, nani mkweli na nani muongo?.
Kwanini Wamarekani waseme uongo waachwe?!. Kama serikali yetu itawanyamazia hawa Wamarekani bila kuwaonya au kuwachukulia hatua yoyote kwa uongo wao, then waelewa wataelewa nani ni muongo kweli na nani ni mkweli, na pia huu utakuwa ni uthibitisho kuwa Mmarekani tunamuogopa, hata utusingizie uongo gani sisi, tunanyamaza tuu!.
Tanzania na rais wetu Magufuli na serikali yetu tumekuwa tukisingiziwa uongo mwingi na sometimes hata kutukanwa na kudhalilishwa na media za nje, lakini tunanyamaza ama kwa kuwapuuza, ama kwasababu Tanzania kwa sasa hatuna watu wenye the capacity kujibu tuhuma kama za The Economist, lakini enzi za Kikwete, aliposingiziwa na balozi wa Marekani kuwa amehongwa suti, Ikulu yetu haikunyamaza, baada ya kupiga kelele humu, Marekani walikanusha.
Lakini sasa leo rais wetu anasema ukweli, kesho Waziri wetu wa Afya anasema kweli, halafu kesho yake, ubalozi uliopo hapa hapa Tanzania unaibuka na taarifa za uongo kuonyesha serikali yetu inaficha ukweli!, ukificha ukweli maana yake unachoripiti ni uongo!. Sasa huu uongo unaosemwa nchini, na ubalozi fulani, usipokanushwa, itaamaanisha ama tunawaogopa Wamarekani, ama tunachoelezwa na serikali yetu ni .. na wanayoyasema Wamarekani ndio ukweli wenyewe, ilaikitokea hawa Wamarekani ni waongo, swali linabaki "Hivi hawa Wamarekani wanatutakia nini?!. Kwanini watutungie uongo na kuueneza dunia nzima?. What is their motive behind and what do they wish to achieve?.
Paskali
Wewe ukitangaziwa wamekufa 200 itakusaidia nini? Utaenda kuwafufua?Hii hoja ya kijinga kila mwenye tope kichwani anaileta
Kila mtu anajua Corona ipo sana Tz, watu wanaugua kimya kimya na kuzikana kimya kimya pia. Serikali ilichokifanya ni kusitisha kutoa taarifa rasmi (ili kuhalalisha harakati za kimaisha ziendelee) lakini wakati huo huo taarifa za reja reja zikiendelea kuzagaa mitaani.
Hivyo ubalozi wa USA yuko sahihi kwa 100%, na hakuna ajabu yoyote kwa USA kutoa taarifa zenye lengo la kulinda raia wake waliopo hapa Tanzania. Ndio kazi iliyemleta Tanzania, na analipwa kwa kodi za wamerekani. Hatuwezi kumpangia cha kusema wala kufanya juu ya raia wa nchi yake.
Na sisi balozi wetu wa Tz aliyepo kule USA anapaswa kutoa taarifa za kulinda raia wa Tz waliopo huko USA au wanaotaka kwenda USA (ikiwezekana wasiende kabisa!) maana huko Corona ipo na kuna ghasia za maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi. Bahati mbaya balozi wetu huko USA yuko usingizini tu. Hajui anachotakiwa kufanya, sijui anasubiri kuambiwa na kina Bashiru au Pole Pole kitu cha kufanya
Wewe ukitangaziwa wamekufa 200 itakusaidia nini? Utaenda kuwafufua?
Serikali imeshasema ugonjwa upo tuchukue tahadhari full stop
COVID ipo lakini sio ugonjwa special sana hadi tuutukuze. Kuna magonjwa mengi kila dakika yanaua watu wengi tu na maisha yanaendelea.
Kwenye hii COVID namuunga mkono raisi Magufuli
Pascal, ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya. Usemi huu ni mzito sana hasa ukiangalia mustakabali wetu na jumuia za kimataifa kwa siku za karibuni.Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala fikirishi, elimishi na hamasishi uzalendo za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hutolewa kwa mfumo wa maswali, makala ya leo ni kuhusu utoaji wa taarifa za Corona, COVID-19: Nani Mkweli Kati ya Serikali Yetu na Ubalozi wa Marekani?!. Jee Tanzania Tunawaogopa Sana Wamarekani?!. Kwanini Wamarekani Waseme Uongo Mkubwa kama Huu halafu Waachwe tuu hivi hivi?!.
Nimesoma with disbelief hii taarifa ya leo ya ubalozi wa Marekani, kwanini ubalozi unatoa taarifa ya uongo kuhusu hali ya COVID-19 nchini kwetu na wanaachwa hivi hivi?!, Jee hawa Wamarekani tunawaogopa?.
Taarifa yenyewe inapatikana hapa kwa wale wa kimombo
Tanzania International Travel Information
Kama rais Magufuli juzi kasema Corona imepungua, jana Waziri Ummy kathibitisha kwa data, leo Marekani inaibuka na kesema hizo taarifa zinazotolewa na viongozi wetu ni taarifa za uongo, na kutusingizia serikali yetu inaficha data, nani mkweli na nani muongo?.
Kwanini Wamarekani waseme uongo waachwe?!. Kama serikali yetu itawanyamazia hawa Wamarekani bila kuwaonya au kuwachukulia hatua yoyote kwa uongo wao, then waelewa wataelewa nani ni muongo kweli na nani ni mkweli, na pia huu utakuwa ni uthibitisho kuwa Mmarekani tunamuogopa, hata utusingizie uongo gani sisi, tunanyamaza tuu!.
Tanzania na rais wetu Magufuli na serikali yetu tumekuwa tukisingiziwa uongo mwingi na sometimes hata kutukanwa na kudhalilishwa na media za nje, lakini tunanyamaza ama kwa kuwapuuza, ama kwasababu Tanzania kwa sasa hatuna watu wenye the capacity kujibu tuhuma kama za The Economist, lakini enzi za Kikwete, aliposingiziwa na balozi wa Marekani kuwa amehongwa suti, Ikulu yetu haikunyamaza, baada ya kupiga kelele humu, Marekani walikanusha.
Lakini sasa leo rais wetu anasema ukweli, kesho Waziri wetu wa Afya anasema kweli, halafu kesho yake, ubalozi uliopo hapa hapa Tanzania unaibuka na taarifa za uongo kuonyesha serikali yetu inaficha ukweli!, ukificha ukweli maana yake unachoripiti ni uongo!. Sasa huu uongo unaosemwa nchini, na ubalozi fulani, usipokanushwa, itaamaanisha ama tunawaogopa Wamarekani, ama tunachoelezwa na serikali yetu ni .. na wanayoyasema Wamarekani ndio ukweli wenyewe, ilaikitokea hawa Wamarekani ni waongo, swali linabaki "Hivi hawa Wamarekani wanatutakia nini?!. Kwanini watutungie uongo na kuueneza dunia nzima?. What is their motive behind and what do they wish to achieve?.
Paskali
Kwa hiyo ukiambiwa kuna vifo 300 strategies zitabadilika?Hayo ni maswali ya kihuni.
Hivi huko wanakotangaza idadi ya Maambukizi, walokufa au kupona kunakuwa na Ufufuo wa wafu?
Hizo ni data zinaxosaidia ku-alert jamii na kusaidia kupanga strategies za kukabiliana na Covid-19 kwa kujua ukubwa au udogo wa tatizo....!
Kunyamaza au kuficha taarifa za ugonjwa ni udhaifu,uwoga na unafiki wa kiwango cha juu sana!!