COVID-19; Serikali izuie kuingiza mitumba nchini

COVID-19; Serikali izuie kuingiza mitumba nchini

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
7,452
Reaction score
3,071
NIkiangalia jenga la CORONA na uvaazi wa mitumba naona kabisa tunaenda kupata UGONJWA HUO kwa njia za mitumba. Ugonjwa huo unasemwa unaambikizwa kwa kugusa sehemu yenye virusi hivyo ndio maana tunashauri kunawa mikono mara kwa mara. njia za kupata zipo nyingi ila hiyo ya kugusa ni mojawapo.

NAOMBA serikali izuie mara moja kuingiza mitumba, najua wagonjwa na wafu wa ugonjwa huo huko ulaya na asia watataka kudispose nguo zao. Tamaa ya pesa inaweza kuishia tufunga marobota ya mitumba na kuuzia waafrika wenye mahitaji na nguo hizo. TUJIKINGE kwa kusema mitumba sasa basi.

mitumba iliyopo bandari sasa na ambayo imeingia miezi miwili mitatu hivi yaani from January 2020, ichomwe moto. hasara lakini salama.

Nawasilisha ushauri wangu

---

We warn all Africans not to acquire or search for used clothing during this period and also during the period to come, because in most European cities which are currently experiencing the spread of the Corona virus are getting rid of clothes of infected patients both dead and alive most especially in homes where people have been infected with the virus.

Many of those who care about ecporting these clothes do not care about the health of others and they now collect them with the intent to sell them to Africans who buy and import them to Africa. .

It would be better now and for your safety and that of your children to avoid the use of newly acquired used clothing.

Don't let this message stand up to you and try to share it as much as possible.
 
Tahadhari ni muhimu
Tuombe sana
Yaani huu ugonjwa ni mbaya kiasi hata kupokea hela tutaogopa


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
  • Thanks
Reactions: amu
Labda tujue hivyo virusi vinasurvive muda gani vikiwa nje ya mwili.
 
Mtumba wa nguo kabla haujaja unapulizwa dawa hile harufu ya mtumba unayoisikia ndio hizo dawa hilo mosi.

piri wale ni VIRUSI sio BACTERIA hawawazi kursurvive zaidi ya masaa 24 katika mazingira ambayo mizigo inafungwa au hifadhiwa nk.

tatu kwa MAZINGIRA ya Joto MERI inavyosafiri zaidi ya mwezi ni ngumu hiyo mitumba kuwabeba hao

hvyo hoja yako haina mashiko. kinachotakiwa serikali ndege kutoka ktk nchi zilizo na kiwango kikubwa cha maambukizi zisiruhusiwe kutua kabisa na upimaji AIRPORT uimalishwe na kuwe na kalatini ya dharula AIRPORT ikijurikana Abiria mmoja anao abiria wa ndege zima wanapigwa kalatini au warudishwe walipotoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri mbaya, virus haikai kwenye nguo milele, masaa machache tu alafu inakua ineffective, mtumba hadi uje kukufikia wewe sio masaa tu ni miezi zaidi ya mitatu inakua imepita, muda wote huo virus haina effect tena.
 
Baada ya kuangaika kwa muda sasa kuachana na mitumba kulinda mazingira na kulinda viwanda vya ndani, wizara inaweza kupata kisingizio cha corona kuzuia vizaa nyingi kutoka nje ya nchi. Hapa ndipo pa kuanza kutumia vizaa vya ndani. Huenda Mungu katuona tuanze kujikimboa kupitia marufuku hui.🚫 * WARNING * 🚫

We warn all Africans not to acquire or search for used clothing during this period and also during the period to come, because in most European cities which are currently experiencing the spread of the Corona virus are getting rid of clothes of infected patients both dead and alive most especially in homes where people have been infected with the virus.

Many of those who care about ecporting these clothes do not care about the health of others and they now collect them with the intent to sell them to Africans who buy and import them to Africa. .

It would be better now and for your safety and that of your children to avoid the use of newly acquired used clothing.

Don't let this message stand up to you and try to share it as much as possible.
 
Mzimu wa Kolelo,
Watetezi huwa hamkosi, kwani ukijizuia kuvaa hio mitumba mpaka mlipuko udhibitiwe utakosa nguo za kuvaa? Watanzania wanamakabati ya nguo na viatu wasizozivaa zinaliwa tu na panya.Inawzekana hata wewe kuna nguo huzivai labda zimekuruka nk wape wahitaji wavae.

Waafrika watu wa hovyo sana humu duniani ndio maana tunadharaulika hata na vikaragosi vya Asia.Kuvaa mitumba hata bila corona ni udhalilikaji wa hali ya juu.Mwanaume mwenzio avae chupi wewe unaenda tena kuivaa, ni ajabu sana!!!
 
Watetezi huwa hamkosi, kwani ukijizuia kuvaa hio mitumba mpaka mlipuko udhibitiwe utakosa nguo za kuvaa? Watanzania wanamakabati ya nguo na viatu wasizozivaa zinaliwa tu na panya.Inawzekana hata wewe kuna nguo huzivai labda zimekuruka nk wape wahitaji wavae.Waafrika watu wa hovyo sana humu duniani ndio maana tunadharaulika hata na vikaragosi vya Asia.Kuvaa mitumba hata bila corona ni udhalilikaji wa hali ya juu.Mwanaume mwenzio avae chupi wewe unaenda tena kuivaa, ni ajabu sana!!!
Wewee... corona hakai kwenye nguo! Within hours anakufa!

Kuna watu wanategemea hiyo mitumba ili wale na waendeshe maisha!

Huwezi kuzuia mitumba kwa sababu za kufikirika!

Corona akae kwenye nguo? are you stupid?
 
fikirikwanza, Corona Virusi anauwezo wa kukaa kwenye nguo(fabric materials) for only 9 hour.

Sasa labda kuna process ya nguo yeyote inayochukua less than that time kufika hapa nchini.

Lakini pia hawa virusi wanaishi kwenye unyevunyevu na kutegemea wapo katika kitu gani.

Waafrika (watanzania) tujifunze kustudy vitu kabla ya kutoa maoni yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli mimi ni moja ya mamaz ninaependa fashion za mitumba grade one. Sababu huwa napenda kuonekana unique.

Ila kupitia hii hali ya mlipuko wa ugonjwa huu wa corona. Ninaona wazi katazo la mitumba linakaribia. Ikizingatiwa sehemu kubwa ya stock hutoka katika nchi zinazoathiriwa kwa sasa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa Utamaduni wa Ufaransa, Frank Riester amethibitika kuwa na Virusi vya Corona

> Kwa mujibu wa Waziri wa Afya, Olivier Veran, Riester anaendelea vizuri na anapumzika nyumbani

> Waziri Riester alikutana na Rais Emmanuel Macron siku chache zilizopita
 
Tangantika,

bro wapi nimetetea mtumba uendelea kuja ama usije
nani kakwambia mm navaa chupi za mitumba au nguo za mitumba
nani kakwambia mm nina kabati la nguo kwangu
nani kakwambia mm nguo zangu zinaliwa na panya
nani kakwambia kwangu kuna panya

na wewe km ni mwafrica basi na wewe ni mtu wa hovyo pia
jua kila sehemu kuna culture ya maisha ya watu
hapa dar tu maisha ya watu wa sinza yapo tofauti kwa kiasi kikubwa na ya mbagala sasa kwann ww unataka waafrca tuigize maisha ya ulaya huo ni upuuzi hivi tunavyoishi ndo culture yetu

mm nimejibu hoja kitaalamu kwa maelezo ya ugonjwa ulivyo kwa hoja jinsi ukweli ulivyo ili usipotoshe watu wakaamini kinachosemwa kukazuka hofu sijui tumeelewana
wale ni virusi sio bacteria na njia kuu ya maambukizi ya hatari ni kwa HEWA kwa papo kwa papo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jannelle,
Endelea tu Mamaz kupendeza , Huyo Virus lifespan yake akiwa nje ya Mfumo wake halisi ni chini ya masaa 24.

Sasa huo mtumba ambao utatufikia huku ukiwa chini ya masaa 24 tangu ulikotoka ni upi?
Watu wasichanganye VIRUS na BACTERIA.
 
Back
Top Bottom