Hata hivyo kirusi toka ulaya hakijafa hadi kinafika kwetu njinjo? Hebu tuhangaishe akili kabla ya kutoa Wazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hivyo kirusi toka ulaya hakijafa hadi kinafika kwetu njinjo? Hebu tuhangaishe akili kabla ya kutoa Wazo
Ni vema kujidhatiti mapema na kuchukua hatua.Mwaka huu kuna watu tutazalilika!
Huko wanakufa sisi wenye Kinga zetu tutatembea uchi ama nusu uchi ilimradi tu korona imefanya yake😂
Samahani kaka kwa kukukwaza.
Nimesema vinaweza na hivyo mamlaka husika wajiridhishe.
Ya wapi hiyo?
Tatizo tunachukua vitu kimzaha mzaha...Ya wapi hiyo?
Wadudu wa corona hawana uwezo wa kuishi kwa muda mrefu kisi hichi nje ya mwili wa binadamuKutokana na hali ilivyo sasa ya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 katika Nchi nyingi Duniani bidhaa zote za mitumba nguo,mikoba,viatu n.k vinaweza kuchochea maambukizi siku zijazo.
Ni wajibu wetu kwa sasa kuishauri Serikali hasa wenye dhamana ya mazingira kuliangalia angalizo hili na kujridhisha na bidhaa ambazo pengine zinaweza kutuletea madhala siku za usoni.
Ili Kirusi kiishi kinahitaji hewa safi na kimiminika. Kwenye belo la nguo hivyo vitu viwili vya msingi hakuna. After all hizo nguo huwa heavily disffected.Kutokana na hali ilivyo sasa ya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 katika Nchi nyingi Duniani bidhaa zote za mitumba nguo,mikoba,viatu n.k vinaweza kuchochea maambukizi siku zijazo.
Ni wajibu wetu kwa sasa kuishauri Serikali hasa wenye dhamana ya mazingira kuliangalia angalizo hili na kujridhisha na bidhaa ambazo pengine zinaweza kutuletea madhala siku za usoni.
Elimu kama hii ni nzuri sana,.Wadudu wa corona hawana uwezo wa kuishi kwa muda mrefu kisi hichi nje ya mwili wa binadamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Good commentIli Kirusi kiishi kinahitaji hewa safi na kimiminika. Kwenye belo la nguo hivyo vitu viwili vya msingi hakuna. After all hizo nguo huwa heavily disffected.
Nimesema vinaweza na hivyo mamlaka husika wajiridhishe.
Tafiti za namna hii ni ghari kwa sisi watu wa kawaida kufanya,kwa mfano TBS au Mkemia Mkuu ndio pengine wanaweza kufanya kwa maana ya kuchukua sample husika na kutupatia majibu.
Tafiti za namna hii ni ghari kwa sisi watu wa kawaida kufanya,kwa mfano TBS au Mkemia Mkuu ndio pengine wanaweza kufanya kwa maana ya kuchukua sample husika na kutupatia majibu.
Nimeleta Uzi huu ili tuchakate mawazo,maana kuna clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni inayotaadhalisha juu ya shehena za nguo/mitumba kutoka nje inayotazamiwa kuletwa Africa.
Hivyo sisi kama sehemu ya nchi za kiafrika ni wajibu wa kuchukua hatua muhimu za awali/tafiti hata kama siku kweli kuwa yanayosemwa juu ya bidhaa hiyo muhimu kwa Waafrika tulio wengi.