COVID-19; Serikali izuie kuingiza mitumba nchini

COVID-19; Serikali izuie kuingiza mitumba nchini

Labda tujue hivyo virusi vinasurvive muda gani vikiwa nje ya mwili.
Dakika 10, kama havijapata pa kuingilia, na joto la safari kwenye containers, kisha joto na fukuto bandarini. Then joto la kwenye ma-godown, hicho kirusi kuna uwezekano mkubwa kinafia njiani, kabla hata ya kufika kwa wauza mitumba mitaani....

Everyday is Saturday..................... 😎
 
Wewe Hauna point isipokuwa unaongea vitu kwa kutumka hisia hila hauna Fact....Mambo kama yakuzuia mitumba wanabidi waonge wataalamu wa Afya sio wewe unaandika kingereza kibovu na command ...juu..Unakuwa Unajaza sever za Jf bure
 
Wewee... corona hakai kwenye nguo! Within hours anakufa!

Kuna watu wanategemea hiyo mitumba ili wale na waendeshe maisha!

Huwezi kuzuia mitumba kwa sababu za kufikirika!

Corona akae kwenye nguo? are you stupid?
Pole mkuu naona bizinesi yako imeshikwa pabaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#TUNAKUMBUSHANA[emoji1666][emoji120]

[emoji724]Tunawaonya[emoji724] Waafrika wote wasichukue au kutafuta nguo zilizotumiwa katika kipindi hiki na pia katika kipindi kijacho, kwa sababu katika miji mingi ya Ulaya ambayo hivi sasa inakabiliwa na kuenea kwa virusi vya Corona inaondoa nguo za wagonjwa walioambukizwa wote waliokufa na hai haswa katika nyumba ambazo watu wameambukizwa virusi.

Wengi wa wale wanaojali kupakua nguo hizi hawajali afya ya wengine na sasa wanakusanya kwa kusudi la kuziuza kwa Waafrika ambao hununua na kuingiza Afrika. .

Itakuwa bora sasa na kwa usalama wako na ule wa watoto wako kuzuia utumiaji wa nguo mpya zilizopatikana.

Usiruhusu ujumbe huu usimame kwako na ujaribu kuushiriki iwezekanavyo. NIWATAKIE SIKU NJEMA[emoji120]
download-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
#TUNAKUMBUSHANA[emoji1666][emoji120]

[emoji724]Tunawaonya[emoji724] Waafrika wote wasichukue au kutafuta nguo zilizotumiwa katika kipindi hiki na pia katika kipindi kijacho, kwa sababu katika miji mingi ya Ulaya ambayo hivi sasa inakabiliwa na kuenea kwa virusi vya Corona inaondoa nguo za wagonjwa walioambukizwa wote waliokufa na hai haswa katika nyumba ambazo watu wameambukizwa virusi.

Wengi wa wale wanaojali kupakua nguo hizi hawajali afya ya wengine na sasa wanakusanya kwa kusudi la kuziuza kwa Waafrika ambao hununua na kuingiza Afrika. .

Itakuwa bora sasa na kwa usalama wako na ule wa watoto wako kuzuia utumiaji wa nguo mpya zilizopatikana.

Usiruhusu ujumbe huu usimame kwako na ujaribu kuushiriki iwezekanavyo. NIWATAKIE SIKU NJEMA[emoji120]
download-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii corona hii inanini nasi..?
Haitaki hata tuvae mitumba! Kweli hili janga la dunia nimeona limeanza kunigusa Sasa😅
 
na pasaka hii, tutashuhudia mengi!


Ufunuo wa Yohana 6:8-9
[8]Nikaona, na tazama, farasi wa rangi ya kijivujivu, na yeye aliyempanda jina lake ni Mauti, na Kuzimu akafuatana naye. Nao wakapewa mamlaka juu ya robo ya nchi, waue kwa upanga na kwa njaa na kwa tauni na kwa hayawani wa nchi.
[9]Na alipoifungua muhuri ya tano, nikaona chini ya madhabahu roho zao waliochinjwa kwa ajili ya neno la Mungu, na kwa ajili ya ushuhuda waliokuwa nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mjizu123,
Ni ushauri wa kufikirisha.
Lakini hivi virusi vya corona vinauwezo wa kuishi nje ya mwili wa binadamu/mnyama kwa muda gani?
 
Thubutu yakeeee. Unafkiri hataki kura za wamachinga na wana wa kariakoo?.
 
[emoji724] * ONYO * [emoji724]

Tunawaonya Waafrika wote wasichukue au kutafuta nguo zilizotumiwa/Mitumba katika kipindi hiki na pia katika kipindi kijacho, kwa sababu katika miji mingi ya Ulaya na Marekani ambayo hivi sasa inakabiliwa na kuenea kwa virusi vya Corona inaondoa nguo za wagonjwa walioambukizwa wote waliokufa na hai haswa katika nyumba ambazo watu wameambukizwa virusi.

Wengi wa wale wanaojali/maslahi yao huchukua na kuuza nguo hizi hawajali afya ya wengine na sasa wanakusanya kwa kusudi la kuziuza kwa Waafrika ambao hununua na kuingiza Afrika. . Ingefaa zikateketezwa hukohuko!!!

Itakuwa bora sasa na kwa usalama wako na ule wa watoto wako na jamii nzima kuzuia ununuzi, uuzaji na utumiaji wa nguo za mitumba kwa usalama zaidi. C&P translated.

Usiruhusu ujumbe huu ubaki kwako na ujaribu kuushirikisha kwa wwngine iwezekanavyo.

Rejea angalizo namba 4 la WHO.

Screenshot_20200313-221626_WhatsApp.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante kwa tahadhari muhimu nilitaka niende zangu shopping Mwenge nikachambuee, nimeghairi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewaza sasa nguo zitoke ulaya mpk zifike futuhi ni masaa/siku ngapi?
km kweli wanaishi kwa 9 hrs basi ni zaidi ya hayo.....
Nimewaza pia joto la sehem km Dar, hii pia ni unfevalable....

Ila yote kwa yote tahadhari ni muhimu...
Sbb waliofanya majaribio ni binadam.....
Uwezekano wa human errors ktk matokeo na majibu waweza uwepo.
 
Kutokana na hali ilivyo sasa ya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 katika Nchi nyingi Duniani bidhaa zote za mitumba nguo, mikoba, viatu n.k vinaweza kuchochea maambukizi siku zijazo.

Ni wajibu wetu kwa sasa kuishauri Serikali hasa wenye dhamana ya mazingira kuliangalia angalizo hili na kujridhisha na bidhaa ambazo pengine zinaweza kutuletea madhala siku za usoni.
 
Mwaka huu kuna watu tutazalilika!
Huko wanakufa sisi wenye Kinga zetu tutatembea uchi ama nusu uchi ilimradi tu korona imefanya yake😂
 
Fanya tafiti toshelezi kwa unachoongea,
Kutokana na hali ilivyo sasa ya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 katika Nchi nyingi Duniani bidhaa zote za mitumba nguo,mikoba,viatu n.k vinaweza kuchochea maambukizi siku zijazo.
Ni wajibu wetu kwa sasa kuishauri serikali hasa wenye dhamana ya mazingira kuliangalia angalizo hili na kujridhisha na bidhaa ambazo pengine zinaweza kutuletea madhala siku za usoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom