Dakika 10, kama havijapata pa kuingilia, na joto la safari kwenye containers, kisha joto na fukuto bandarini. Then joto la kwenye ma-godown, hicho kirusi kuna uwezekano mkubwa kinafia njiani, kabla hata ya kufika kwa wauza mitumba mitaani....Labda tujue hivyo virusi vinasurvive muda gani vikiwa nje ya mwili.
Pole mkuu naona bizinesi yako imeshikwa pabayaWewee... corona hakai kwenye nguo! Within hours anakufa!
Kuna watu wanategemea hiyo mitumba ili wale na waendeshe maisha!
Huwezi kuzuia mitumba kwa sababu za kufikirika!
Corona akae kwenye nguo? are you stupid?
Nimewaza sasa nguo zitoke ulaya mpk zifike futuhi ni masaa/siku ngapi?Ahsante kwa tahadhari muhimu nilitaka niende zangu shopping Mwenge nikachambuee, nimeghairi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokana na hali ilivyo sasa ya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 katika Nchi nyingi Duniani bidhaa zote za mitumba nguo,mikoba,viatu n.k vinaweza kuchochea maambukizi siku zijazo.
Ni wajibu wetu kwa sasa kuishauri serikali hasa wenye dhamana ya mazingira kuliangalia angalizo hili na kujridhisha na bidhaa ambazo pengine zinaweza kutuletea madhala siku za usoni.