COVID-19; Serikali izuie kuingiza mitumba nchini

Kila Mara tunasema ninyi watu huu ugonjwa umewaleteeni ka ugonjwa kengine kanakoitwa ujuaji,hivi unajua life span ya corona virus mkuu? Na unajua nguo kutoka ulaya kutufikia watanzania ni muda wa miezi mingapi? Achilia mbali hatua ambazo hufanyiwa hizo nguo kabla ya kuwa shipped to other countries.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka huu kuna watu tutazalilika!
Huko wanakufa sisi wenye Kinga zetu tutatembea uchi ama nusu uchi ilimradi tu korona imefanya yake😂
Ni vema kujidhatiti mapema na kuchukua hatua.
 
Wadudu wa corona hawana uwezo wa kuishi kwa muda mrefu kisi hichi nje ya mwili wa binadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili Kirusi kiishi kinahitaji hewa safi na kimiminika. Kwenye belo la nguo hivyo vitu viwili vya msingi hakuna. After all hizo nguo huwa heavily disffected.
 
Ili Kirusi kiishi kinahitaji hewa safi na kimiminika. Kwenye belo la nguo hivyo vitu viwili vya msingi hakuna. After all hizo nguo huwa heavily disffected.
Good comment
 
Fanya tafiti,
Halafu uje na ufafanuzi wa ulichosema VINAWEZA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafiti za namna hii ni ghari kwa sisi watu wa kawaida kufanya,kwa mfano TBS au Mkemia Mkuu ndio pengine wanaweza kufanya kwa maana ya kuchukua sample husika na kutupatia majibu.
Nimeleta Uzi huu ili tuchakate mawazo,maana kuna clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni inayotaadhalisha juu ya shehena za nguo/mitumba kutoka nje inayotazamiwa kuletwa Africa.
Hivyo sisi kama sehemu ya nchi za kiafrika ni wajibu wa kuchukua hatua muhimu za awali/tafiti hata kama siku kweli kuwa yanayosemwa juu ya bidhaa hiyo muhimu kwa Waafrika tulio wengi.
 
Nguo za mitumba zinapatikanaje,
Inachukua siku ngapi kuziandaa mpaka kuzifikisha huku sokoni,
Kirusi cha Covid kinaishi muda gani katika nguo,
Kisha pima km nguo mtumba zaeza beba kirusi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…