CoViD-19: Siku 30 zijazo ndo muhimu zaidi kujitahadhari, angalia hili jedwali hapa

CoViD-19: Siku 30 zijazo ndo muhimu zaidi kujitahadhari, angalia hili jedwali hapa

Sasa nyie ndo mnahatarisha maisha ya watu zaidi kwa kuokota okota na kusambaza habari za vijiweni.

Kirusi kina pH?!! ni sawa na kuniambia pH ya mbuzi ni 8.4!!

Chemistry 101....
pH scale unaijua?
Acid ni kati ya 0 hadi 6 na alkaline ni kati ya 8 hadi 14.
Sasa Limao inakuaje 9.9? Chungwa inakuaje 9.2?!
Funga kazi ni parachichi 15.6 na Dandelion ya 22.7!!! Hiyo ni pH scale ya sayari nyingine.
Hivi shule ulienda kufanya nini?!!

Nakiri niliokoteza kwenye Whatsapp group na sikutafiti kuhakiki, nimeiweka humu ili wadau kama wewe unayejiita mtaalam uichambue kama ina mashiko na kama inaweza kuisadia jamii.
 
Novel coronavirus pneumonia is a dry cough without runny nose. This is the simplest way to identify. This COVID19 virus will be killed at a temperature of 30-35 degrees, therefore, drink more hot water. You can tell your friends and relatives to drink more hot water to prevent it. Go under the Sun for a long time. It has been cold season recently, and drinking hot water is also very comfortable. It is not a cure but is a good prevention for the body. Drinking warm water is effective for mostly all viruses. Try not to drink ice. remember that.

1. It is pretty large in size (cell is about 400-500nm diameter), so any normal mask (not just the N95 feature) should be able to filter it out. However, when someone who's infected sneezes in front of you, it will take a great 3 meters (about 10 feet) before it drops to the ground and is no longer airborne.

2. When the virus drops on metal surface, it will live for at least 12 hours.

So remember if you come in contact with any metal surface, wash your hands with soap thoroughly. Don't depend on the sanitizers.

3. The virus can remain active on fabric for 6-12 hours.

Normal laundry detergent should kill the virus.

For winter clothing that does not require daily washing, you can put it out under the sun for 4 hours to kill the virus.

About the symptoms of the pneumonia caused by Coronavirus:

1. It will first infect the throat, so the throat will have the dry sore throat feeling which will last for 3 to 4 days

2. Then the virus will blend into the nasal fluid and drips into the trachea and enter the lungs, causing pneumonia. This process will take 5 to 6 days.

3. With pneumonia, comes high fever and difficulty in breathing. The nasal congestion is not like the normal kind. You will feel like you are drowning in water. It's important to seek immediate medical attention if you feel like this.

prevention:

1. The most common way of getting infected is by touching things in public, so you must wash your hands frequently. The virus can only live on your hands for 5-10 minutes, but a lot of damage can happen in those 5-10 mins (you may rub your eyes or pick your nose unwittingly).

2. Aside from washing your hands frequently, you can gargle with Betadine Sore Throat Gargle to eliminate or minimize the germs while they are still in your throat (before dripping down to your lungs).

take extra care and drink plenty of water

Is there a treatment for the Coronavirus? - Quora
 
Mbuzi na Virus sio Sawa, Virus sio Living organism. Just a genetic material sarounded by a protein coat.
Sasa nyie ndo mnahatarisha maisha ya watu zaidi kwa kuokota okota na kusambaza habari za vijiweni.

Kirusi kina pH?!! ni sawa na kuniambia pH ya mbuzi ni 8.4!!

Chemistry 101....
pH scale unaijua?
Acid ni kati ya 0 hadi 6 na alkaline ni kati ya 8 hadi 14.
Sasa Limao inakuaje 9.9? Chungwa inakuaje 9.2?!
Funga kazi ni parachichi 15.6 na Dandelion ya 22.7!!! Hiyo ni pH scale ya sayari nyingine.
Hivi shule ulienda kufanya nini?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I prefer not to put virus and other living organism like bacteria to the same comparison, they are quite different. Virus is a Virus and bacteria is a living organism. their niche requirements and mode of colonization are also very different.
Chem 101, kwani mlisoma Mambo ya Ph how late? Sisi tulifanya back in High school form 1. Kuna vile some bacteria and viruses zinashindwa kumudu au ku-survive under some certain PH level but I am no expert in such.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo tumegonga 81, tunapandisha vinoma, sema nilitegemea hii noma kuanza kuwa balaa kadiri tunavyopima kwa mkupuo.
Rwanda hawaruhusu mtu kutoka ndani ya nyumba yake lakini maambukizi yanaongezeka embu jiulize sisi Tanzania mipaka yetu ipo wazi, raia tunabanana kwenye madaladala, halafu tunaambiwa wagonjwa wapo 20 big no aisee..

Watanzania tutakufa ila hatutatangaziwa ugonjwa uliokuua
 
Kwa Tanzania ni kwamba mnategemea maabara moja hivyo idadi ya mnaopima kwa siku ni chache mno, visiwani na mikoani wote mnatuma sampuli kwenda kupimwa Dar.
Niliona sehemu eti hadi juzi mlikua mumepima watu 300 pekee, kwa Kenya wanapima 300 ndani ya masaa 24 maana maabara zipo kadhaa tena zimezagaa hazipo eneo moja, wiki hii Kenya tunapima kwa mkupuo, hivyo kuwapata waathirika inakua rahisi, kumbuka hiki kirusi kuna wanaathirika bila hata kujua, labda wanakohoa kidogo tu basi, sema tatizo wanaambukiza na kusambaza.
 
Kwa Tanzania ni kwamba mnategemea maabara moja hivyo idadi ya mnaopima kwa siku ni chache mno, visiwani na mikoani wote mnatuma sampuli kwenda kupimwa Dar.
Niliona sehemu eti hadi juzi mlikua mumepima watu 300 pekee, kwa Kenya wanapima 300 ndani ya masaa 24 maana maabara zipo kadhaa tena zimezagaa hazipo eneo moja.
Usijiumize sana, huu ugonjwa hauna kificho wala muda mrefu, kama unadhani kuna wagonjwa hatujwapima muda sio mrefu wataanza kuugua na kufa.

Sasa hivi tayari ni siku 18 tangu mgonjwa wa kwanza aligundulika Tanzania, vipi watu hawajaanza kujitokeza katika Hospitali zetu ambao wanaanza kuumwa, au hata wao wamejificha?

Kuhusu maabara, kenya zipo mbili tu, tena Nairobi, samples zote zinapekekwa Nairobi, sasa hivi mnatayarisha zingine nne, wakati Tanzania tunatayarisha zingine 6.

Katika hii vita, Kenya mumekosea njia, lazima mjitathimini ili mjipange upya, hii tabia ya kuendelea kujipa matumaini kutazidi kuiweka nchi yenu katika matatizo zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Virus ni content kutoka kwenye cell , fovoured ph yake ni around neutral, ikizidi survivability inapungua content yake inakuwa denatured because virus ni RNA ni kapart ka protein. Protein inakuwa affected na higher or low PH, PH ya mazingira yake ikizidi au kupungua neutral umbo la kirusi linakuwa distorted

NAONA HAPO WAMEBASE KWENYE HIYO POINT

Sasa nyie ndo mnahatarisha maisha ya watu zaidi kwa kuokota okota na kusambaza habari za vijiweni.

Kirusi kina pH?!! ni sawa na kuniambia pH ya mbuzi ni 8.4!!

Chemistry 101....
pH scale unaijua?
Acid ni kati ya 0 hadi 6 na alkaline ni kati ya 8 hadi 14.
Sasa Limao inakuaje 9.9? Chungwa inakuaje 9.2?!
Funga kazi ni parachichi 15.6 na Dandelion ya 22.7!!! Hiyo ni pH scale ya sayari nyingine.
Hivi shule ulienda kufanya nini?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Virus ni content kutoka kwenye cell , fovoured ph yake ni around neutral, ikizidi survivability inapungua content yake inakuwa denatured because virus ni RNA ni kapart ka protein. Protein inakuwa affected na higher or low PH, PH ya mazingira yake ikizidi au kupungua neutral umbo la kirusi linakuwa distorted

NAONA HAPO WAMEBASE KWENYE HIYO POINT

Sent using Jamii Forums mobile app

Watalaam wenye nondo kama hizi zako tulitegemea muwe mstari wa mbele kujaribu kuelewesha na kuelimisha jamii, mumejifungia ndani na kuandika andika kwenye mitandao, inakua sio poa.
 
EUk4wKeU4AASMyD

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
 
I prefer not to put virus and other living organism like bacteria to the same comparison, they are quite different. Virus is a Virus and bacteria is a living organism. their niche requirements and mode of colonization are also very different.

Sent using Jamii Forums mobile app
Some bacteria produce acid as they grow. This acid is excreted and lowers the pH or the surrounding environment. This eventually brings bacterial growth to a halt unless something else in the environment neutralizes the bacterial acid. Tusizoeane.
 
Idadi ya waathirika Kenya yafika 110 na vifo viwili zaidi.
Ngoma noma sana hii.
 
Hakuna mtu mpumbavu Kenya Kama mtu mmoja anaitwa254,Yani hata majanga unashabikia!! Eti nilitegemea hii kadir tunavyopima kwa mkupuo bwebwe zoote hizi ili musionekane wazembe kwahiyo unatuaminisha corana haizuiliki ukiona una idadi chache ujapima kwa mkupuo si ndio
Leo tumegonga 81, tunapandisha vinoma, sema nilitegemea hii noma kuanza kuwa balaa kadiri tunavyopima kwa mkupuo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina imani tupo katika njia sahihi labda maboresho yafanywe katika maeneo machache, Lock down si lazima nature ya maisha yetu, uchumi wetu miundombinu havisupport lockdown Japan imefanikiwa kupunguza kesi za corona bila kuwa na lockdown. Jambo la msingi ni kuchukua tahadhari za hali ya juu, wizara ingejitahidi kuzuia mikusanyiko makanisani au miskitini kwa sababu Mungu anapatikana hata nyumbani,kwa ajili ya tahadhari maana mkusanyiko mmoja kanisani au msikitini kama kuna maambukizi unaweza kusambaa haraka zaidi na madhara yakawa makubwa sana (mfano South Korea ugonjwa ulisambazwa sana na mgonjwa mmoja alikuwa anahudhuria ibada, kule Indonesia pia waliambukizana msikitini zaidi ya watu 500), Issue ya mask ni muhimu sana kwa sababu mask inasaidia mgonjwa asiyejijua kuambukiza wengine, inazuia yule asiye mgonjwa kuvuta hewa yeny virus hasa anapokaribiana na mgonjwa au wakiwa pamoja kweny sehemu ya msongamano na pia mask inasaidia kuweka ulinzi mtu asijishike usoni hasa eneo la pua ambapo ndio likely virus wanaingilia kwenda kuaharibu mfumo wa upumuaji nilidhani mask zingenunuliwa ili kusaidia maambukizi mfano nchi nying za Asia ambazo wamezoea sana kuvaa masks na kipindi hiki wanavaa kwa lazima, maenedleo yao ni mazuri ku control ugonjwa, nchi yenye maambukizi machache sana ulaya Czech wamejitahidi kuwa na number nzuri kwa sababu walilazimisha watu kuvaa masks mapema. Tuendelee kufuata maelekezo ya wizara, tukiyafuata kwa usahihi tutafanikiwa, ila zile siasa za kukusanya watu ili kuwafundisha wasikusanyike kamwe hazitusaidii, mwendo kasi iangaliwe upya maana watu wanaosubiri magari vituoni ni wengi sana ni hatari ktka kusambaziana virus. VIRUS HATEMBEI BALI ANATEMBEZWA NA WATU-tuwajibike
 
Viral Protein coat has nothing to do with the replication process. what passes through receptor is the RNA, the protein remains somewhere between the intercellular space.
Virus ni content kutoka kwenye cell , fovoured ph yake ni around neutral, ikizidi survivability inapungua content yake inakuwa denatured because virus ni RNA ni kapart ka protein. Protein inakuwa affected na higher or low PH, PH ya mazingira yake ikizidi au kupungua neutral umbo la kirusi linakuwa distorted

NAONA HAPO WAMEBASE KWENYE HIYO POINT

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True, the case is very different to a virus, Virus only need a host genetic material and codes for its replication, eventually producing more and more viral cells.

Back
Top Bottom