Hakuna mtu mpumbavu Kenya Kama mtu mmoja anaitwa254,Yani hata majanga unashabikia!! Eti nilitegemea hii kadir tunavyopima kwa mkupuo bwebwe zoote hizi ili musionekane wazembe kwahiyo unatuaminisha corana haizuiliki ukiona una idadi chache ujapima kwa mkupuo si ndio
Sent using
Jamii Forums mobile app
Hehehe mbona imekuuma hivi, hasira zako hizo hzitapooza Corona, ni kirusi ambacho kimeshatua Afrika na lazima tupambane sio kujiwekea hasira za kijinga.
Fahamu kwamba sisi tunapima watu 300 kwa siku ilhali nyie juzi waziri wenu niliona sehemu amesema mumefaulu kupima watu 300 tangu Corona iwashukie, sasa hapo labda kilaza stupid mwenye IQ ya zezeta hataweza kuelewa tofauti ya nchi inayopima watu 300 kwa siku na ambayo inapima 300 kwa wiki mbili.
Tatizo lenu mnategemea maabara moja tu, Tanzania visiwani mpaka bara, mikoani kanda ya ziwa, kusini na kaskazini nyote mnatuma samples zenu sehemu moja Dar, kule sampuli zimesongamana.
Sisi hapa tuna maabara kadhaa zimezagaa maeneo tofauti, hivyo tunao huo uwezo wa kupima watu wengi kwa kasi. Nyie mumekua mfano wa mtu kuwachekelea wenye UKIMWI kisa yeye hajapima, yupo yupo tu.
Fahamu hiki kirusi kinasambaa kama moto wa porini, hao wachache mliofaulu kuwagundua nacho utakua kila mmoja anaweza kuwa aliambukiza watano na hao watano kila mmoja huko mbele kaambukiza watano wake....mtandao mrefu sana na ndio kinachotendeka Ulaya.
Hiki kirusi kuna wengi wanaambukizwa na kuambukiza hata kabla hawajaona dalili, yaani ukiambukizwa, chochote utagusa au yeyote unamgusa anacho.
Huko kwenu tatizo wataalam wote wamekua waimba mapambio wa kumsifia rais badala ya kumshauri, ameishia kuwa na kauli tofauti na marais wote wa dunia, amewaambia mchukulie poa na kuendelea na maambo ya misongamano.