Umenotice vile mass testing imeanza kuleta matokeo ya +ve mengi kwa mpigo ! ?Leo tumegonga 81, tunapandisha vinoma, sema nilitegemea hii noma kuanza kuwa balaa kadiri tunavyopima kwa mkupuo.
Vifo pia vimeanza kuongezeka, wataalamu wanasema " mortality rate ya Covid-19 ni 2 -3%.Umenotice vile mass testing imeanza kuleta matokeo ya +ve mengi kwa mpigo ! ?
Sasa watu kama sisi ambao tumeona hilo jedwali na tukaona vile hizo nchi zengine mlipuko wa kesi uliongezeka walipoanza mass testing , hatushtuki sana manake tunaelewa kwanini kesi zinaongezeka kwa wingi , lakini kama ulikua hauna hii information sahii utajikuta ume panic na unaanza kushikwa na stress manake haujui tunakoelekea manake juzi tulikua 48 leo tuko zaidi ya 100 ...
Hehehe mbona imekuuma hivi, hasira zako hizo hzitapooza Corona, ni kirusi ambacho kimeshatua Afrika na lazima tupambane sio kujiwekea hasira za kijinga.Hakuna mtu mpumbavu Kenya Kama mtu mmoja anaitwa254,Yani hata majanga unashabikia!! Eti nilitegemea hii kadir tunavyopima kwa mkupuo bwebwe zoote hizi ili musionekane wazembe kwahiyo unatuaminisha corana haizuiliki ukiona una idadi chache ujapima kwa mkupuo si ndio
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenotice vile mass testing imeanza kuleta matokeo ya +ve mengi kwa mpigo ! ?
Sasa watu kama sisi ambao tumeona hilo jedwali na tukaona vile hizo nchi zengine mlipuko wa kesi uliongezeka walipoanza mass testing , hatushtuki sana manake tunaelewa kwanini kesi zinaongezeka kwa wingi , lakini kama ulikua hauna hii information sahii utajikuta ume panic na unaanza kushikwa na stress manake haujui tunakoelekea manake juzi tulikua 48 leo tuko zaidi ya 100 ...
Alafu pia ikumbuke wengi wa wale 300 waliopimwa jana ni miongoni mwa wale 2050 ambao tayari walikua ndani ya mandatory quaranteen baada ya kunaswa kwa contact tracing na pia wale ambao walikua wametoka nje ya nchi ambao pia wako chini ya mandatory quaranteen.... Kwahivyo tayari hao jamaa walikua isolated from the public na walikua hawako mtaani wakismbaza ugonjwa.In fact mimi nafurahi tunavyozidi kuwapata waathirika wote mapema kabla hawajaitia ngoma mtaani, mimi leo hata nikiambiwa tumegonga 5,000 nitaona afueni ilmradi tests zinafanyika kwa kasi na kwa mkupuo, wakusanywe wote mapema.
Mataifa ya kule Ulaya yaliyochelewa kuwafanyia watu wake vipimo kwa kasi, leo wanalia sana maana ngoma ilishatinga mtaani, unakuta hata ukiwaambia watu wajifungie ndani ni kazi bure maana huko ndani wanaambukizana familia zote.
Africa iko na average life span ya 60 years.. Wazee wengi walishauliwa na magoonjwa mengine kama TB, malaria, cholera, HIV..etc kwahivyo watu wasitarajie kuona waafrica wanaanguka kwa wingi kama kule uingereza ambako watu wazee ni wengi sana, na hata wale wazungu ambao si wazee sana hua tayari ni wakongwe alafu ukiuliza miaka unapata hata bado yuko 57 au ndo ameingia 60Vifo pia vimeanza kuongezeka, wataalamu wanasema " mortality rate ya Covid-19 ni 2 -3%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama walikua under mandatory quarantine kulikua na sababu gani muwapime wote?, kwasababu baada ya wiki mbili hao wote 29 wangeonyesha dalili, hamuoni kwamba mnapoteza resources bure?. Museven is much clever than all Kenyans.Alafu pia ikumbuke wengi wa wale 300 waliopimwa jana ni miongoni mwa wale 2050 ambao tayari walikua ndani ya mandatory quaranteen baada ya kunaswa kwa contact tracing na pia wale ambao walikua wametoka nje ya nchi ambao pia wako chini ya mandatory quaranteen.... Kwahivyo tayari hao jamaa walikua isolated from the public na walikua hawako mtaani wakismbaza ugonjwa.
Lakini hadi Leo Kenya ina wagonjwa 110 na vifo 3, bado ipo ndani ya hiyo 2-3%Africa iko na average life span ya 60 years.. Wazee wengi walishauliwa na magoonjwa mengine kama TB, malaria, cholera, HIV..etc kwahivyo watu wasitarajie kuona waafrica wanaanguka kwa wingi kama kule uingereza ambako watu wazee ni wengi sana, na hata wale wazungu ambao si wazee sana hua tayari ni wakongwe alafu ukiuliza miaka unapata hata bado yuko 57 au ndo ameingia 60
lakini kwa upande mwengine pia, kuna wale walio na virusi vya ukimwi ambao immunity yao iko chini, kwahivyo huwezi jua hali itaendaje huku AFrica
Naona ndo lengo. Alafu wanaorecover ni wengi kuliko wanaokufa ila halitangazwagi hilo ama kupewa kipaumbele bali waliokufa na wanaoumwa tu.Sasa hivi story za corona zimekuwa too much sana halafu hazifundishi zaidi ya kutishana tu
Na huku Corona ikiua mmojaIla wakenya mnapokea mkong'oto ili kukabiliana na Corona
Kenya is the only country that preventing the citizens from Corona deaths by killing them [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Imeshawauwa watatu
Very true, if we do not follow the guideline we will get to 10,000 by end of june.Kuna projection zimeonyesha mwezi huu hapa Kenya tutakua na waathirika 10,000 hivyo muhimu kujiandaa kisaikolojia, serikali iendelee kupima kwa kasi na kufukuzia marafiki wa marafiki wa marafiki wa waathirika wote, vituo vya kupima viwe kote nchini, halafu Wakenya tuhamasishane njia za kujizuia, binafsi kila siku nafanya ugomvi na makondakta wa daladala wanaofanya uzembe, tuwatajie bila kuchoka, na zaidi ya yote tuepuke kusafiri kwenda vijijini waliko wazee wetu.
True kila mtu kawa mtaalamNaona ndo lengo. Alafu wanaorecover ni wengi kuliko wanaokufa ila halitangazwagi hilo ama kupewa kipaumbele bali waliokufa na wanaoumwa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa umeniquote alafu unaenda off topic. Kwani ulilazimishwa kujibu? Au umeelewaje "chemistry 101"Chem 101, kwani mlisoma Mambo ya Ph how late? Sisi tulifanya back in High school form 1. Kuna vile some bacteria and viruses zinashindwa kumudu au ku-survive under some certain PH level but I am no expert in such.
Mimi sio mtaalam, najaribu kutofautisha news na fake newsNakiri niliokoteza kwenye Whatsapp group na sikutafiti kuhakiki, nimeiweka humu ili wadau kama wewe unayejiita mtaalam uichambue kama ina mashiko na kama inaweza kuisadia jamii.
Kuna vitu basic mtu hatakiwi kubisha. "Virus sio living organism" yet it replicates it genetic code, interesting!Mbuzi na Virus sio Sawa, Virus sio Living organism. Just a genetic material sarounded by a protein coat.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaWakenya jitahidini muwe wa kwanza Africa kwa maambukizi ya virusi vya corona.