#COVID19 Covid 19 sio janga kubwa la mwisho, tujiandae na janga kubwa lingine - Bill Gates

Kwani yeye atabaki! !!alikwepo furauni Misri sembuse geti kila mtu ataondoka kwa kadri alivyopangiwa
Huyo bwege hatanii, si mmeleta ujinga kudharau chanjo zake? Sasa analeta third wave hio kiboko! Itachinja watu kama Ukimwi wa mwaka 88"
 
Huyu anayajuaje haya au ndiye muasisi wa majanga haya?
 
Hata sis tusio na akil tulishasemaga zaman kua covid imekua ishu sanaa sabab imegusa had wakubwa..lakin kitakwimu watu wanaokufa kwa ngoma au tb au malaria au homa za matumbo kwa siku africa ni kubwa mara mbili ya hao wanaokufa kwa covid....so yasiwe maneno meng..tuendelee na maisha

Covid imewatisha matajir wazung sabab walisha sahau kufa kwa magonjwa ya kuambukiza siku nying...ndomana imekua ishu..lakin kama ishu ya kufa tuu africa..tunakufa kinoma noma
 
Huyu anayajuaje haya au ndiye muasisi wa majanga haya?
Inawezekana kuwa kirusi cha COVID-19 kimetengenezwa maabara au lah. Ila siyo mara ya kwanza kuibuka ugonjwa hatari ambao binadamu hawakwuahi kuuona hapo kabla, mfano kipindi cha Bubonic plague a.k.a black death tena miaka ya 1340's ambapo binadamu hakuwa hata na uwezo wa kutengeneza kiumbe maabaara.
Ukaua watu kati ya milion 75-200. Ingekuwa sasa tungesema kauleta mzungu
 
Naona wajerumani wametoa tamko kuwa wachanjwe wenye umri chini ya miaka 65 tu maana wazee zaidi ya hapo kuna walakini
Yaani hawa watu mda mwingine wanatuchanganya
Ila ni mda na sisi kuwekeza kwenye taaluma ya magonjwa na tiba
 
Wazungu wamesavei wameona daa!! ngozi nyeusi haidhuriki na bacteria/virusi vya kibwegebwege. Maji ya mtoni ambayo hata hayajachemshwa, yanalambwa tu, no kuharisha wala kukohoa!, embe linanunuliwa sokoni, linasafishwa kwa ulimi halafu hiloo tumboni, no kuharisha wala kukohoa.
Sasa wanatafakari, hizi chanjo nani atanunua?
OK! Ongeza dozi ya virusi!!
 
Jamaa matamanio yake ni kuona dunia imebaki na watu tisa tu

As if yeye ataishi milele hapa duniani, wakati nalo litakufa tu kama linavyotaka wengine wafe. Akamuulize Hitler na ukatili wake wote aliishia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…