hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
😁😁😁Wazungu wamesavei wameona daa!! ngozi nyeusi haidhuriki na bacteria/virusi vya kibwegebwege. Maji ya mtoni ambayo hata hayajachemshwa, yanalambwa tu, no kuharisha wala kukohoa!, embe linanunuliwa sokoni, linasafishwa kwa ulimi halafu hiloo tumboni, no kuharisha wala kukohoa.
Sasa wanatafakari, hizi chanjo nani atanunua?
OK! Ongeza dozi ya virusi!!