macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kujisomea hakuhitaji usomi. Ni mazoea tu kama kupenda kunywa kahawa. Nyungu haisadii corona. Inaleta illussion unaona kama ni ile nyungu imekusaidia kumbe hata usingepiga nyungu ungepona. Kumbuka asilimia kubwa (zaidi ya 97%) ya wanaougua corona hawafi.Sawa msomi....ila nyungu ni kama kanuni...