Kujisomea hakuhitaji usomi. Ni mazoea tu kama kupenda kunywa kahawa. Nyungu haisadii corona. Inaleta illussion unaona kama ni ile nyungu imekusaidia kumbe hata usingepiga nyungu ungepona. Kumbuka asilimia kubwa (zaidi ya 97%) ya wanaougua corona hawafi.