COVID-19 Test Kits zilizogunduliwa kuwa na hitilafu kwingineko duniani siyo hizi za Magufuli

Mwangalieni huyu... mie nimejadili hoja ya JPM au nimejadili hoja ya Wafuasi wa JPM wanaosema sehemu nyingi duniani kits zimeonekana kuwa na fault wakati kits zilizoonekana kuwa na fault sio kama hizi?!

Halafu badala ya kuwaambia wenzako wana "hakili" ndogo, rudi kwanza shule ukajifunze kuandika manake hakuna kitu kinachoitwa "hakili" hususani kwa kuangalia muktadha wa hoja yako!
 
Shida ni kuwa Magufuli anapoongea hizo drama zake anakuwa live na media zote na wengine wanalazimishwa kurudia rudia alichosema. Hili ni tofauti kabisa kwa wengine ambapo uhuru wa kujieleza umeminywa vibaya sana. Magufuli anawadanganya mamilioni kwa speech zake ambazo kiukweli ni janga!
 
Sikukatishi tamaa mkuu ila hivi kweli unawaandikia detail zote hizi viwavijeshi wa CCM hujui lengo lao mitandaoni?
 
Mi nnachoweza sema....wacha mda uwe hakimu was kila kitu....ila nondo zimekaa vizuri sheikh
 
Ujasiri anaweza kuwa nao Ila vyombo vya habari ndio havina huo ujasiri wa kumkaribisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu itakua hii mada hukuielewa vizuri, wakeup call kwenye RTDs imeshatolewa zamani na WHO kua rapid test kit isiwe last say.
 
JPM ni Mwana Kemia. Je, ametuambia findings zake zimeonesha sensitivity ya zile kits ni asilimia ngapi?

Hitimisho ni kwamba, mnaweza kuendelea kuwalisha ujinga watu kwamba hata Ulaya hizi kits zilionekana zina hitilafu lakini ukweli ni kwamba kits ambazo zilionekana zina hitilafu sio hjzi ambazo ni clinically validated, and approved.

Of course errors lazima ziwepo manake hakuna mashine iliyo 100% efficient. Hata hizi laboratory kits zinakuwa na acceptable margin of errors; kwa mfano, ziwe na Sensitivity ya 95%.

Jr[emoji769]
 

Kwani yeye alikuambia hitilafu kwenye alichopima mapapai positive ndo vilevile wazungu walivyogundua hitilafu? Unataka ku justify kwamba mpaka uwe mzungu kugundua itilafu?
 
Angalizo gani? Kwa kumtuma Mwigulu kuangalia kama kuna jinai hilo ni hitimiso/hukumu tayari.
 
Ungekuwa Mwanafunzi wangu huu upuuzi uliojaa contradiction nauchana haraka!
 
What a nice piece!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu @Chige,Mungu Mwenyezi akubariki sana.
Ufafanuzi huu kama kuna mtu hatauelewa,basi tunatakiwa Tanzania tuwe na RDT za kupima "ubongo" kama milioni kadhaa.
Kongole.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amewaweza au nawe amekuweza!!??
Ngoja afe nduguyo ndio utajua nani ni nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…