COVID-19 Test Kits zilizogunduliwa kuwa na hitilafu kwingineko duniani siyo hizi za Magufuli

Watu wazuri wapo mkuu,tatizo mifumo yetu ya "ndio mzee" ndiyo inayowaweka kando watu jamii ya Chige, barafu na wengineo,kwani hawa sio "bootlickers" na wala kijiko kwao hawaiti chepeo dogo,kijiko kwao ni kijiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumba,kama unafikiri hizo machine ni accurate forever,wewe ni mwehu,machine hizo pia zinaweza kuwa na deffects pia ni man made ,sio god made.

Kingine Rais Magufuli alifafanua maelezo yake kuhusu kadhia hii,alisema inaweza kuwa watumishi wamenunuliwa na hili linawezekana pia wakawa sio waadilifu , aidha wanahujumu,au ufahamu wao unawalakini (ndani ya timu husika),which is not true ,sasa ndio maana imeundwa timu ya wataalamu kuchunguza madai ya rais,na ufahamu urais ni taasisi ina mjumuiko wa wanataaluma mbalimbali ,cha ajabu wewe umejikita na point moja tu ya kifaa chenyewe ,mengine unayaacha na ukilenga kutofautisha hizo machine ,sawa zinatofauti sasa hiyo tofauti ndio ihalalishe ya kuwa tuhuma alizotoa rais si za kweli?
Subiri kamati ya uchunguzi imalize kazi uje na swaga zingine tena za kutetea wakora wenzako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua, CCM imemwaga sungu sungu wengi mtandaona. Alafu hawasomi hata mada kuelewa wanakimbilia kupinga na kutoa matusi.

Kibaya zaidi hata hawajibu hoja. Ni kupinga na kutukana.

Hongera mtoa mada, mimi binafsi nmefikiria kutoa post kama hii ila JF wanakatisha tamaa. Mada nyingi wanafutilia mbali.

Usishangae hata wanaokubaliana na hoja yako comment zao zinafutwa.

Naanza kuhisi kama kuna moderator mpaya yupo pale chato wite house.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laboratory test kits zilizotumika kupima mapapai na mafenesi zimetengeneza wapi?

Kumbuka conclusion ya JPM ilikuwa ni, either vifaa ni vibovu, incompetence ya wataalamu wetu au wanatumika na mabeberu
Uchunguzi wa tume iliyoundwa lazima utakuja na mojawapo ya majibu hapo juu
 
Huyo jamaa yako kaja kuvuruga baada ya kuona keshalikoroga from the word GO, ulikuwa wapi wakati wa issue ya korosho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshamba tu nadhani amesapotiwa na Rais wa Mali mali huko
 
Ukiwapiga kwa hoja mujarabu kama hizi nakuhakikishia watakuja na kila tusi walilofunzwa na Slowslow.Hawana la kusema zaidi zaidi watakutukana.Wanashangilia kila alinenalo Mzee Baba na kila aliye upande wao.
CCM mnawapeleka wapi Watanzania?Je,nyie ni wakala wa Lucifer?Mbona mnapenda kuwaongopea Waajiri wenu?Kama mna ubavu,tutengenezeeni Test Kits zisizofanya faults,zinazoweza kupima maradhi kwa uhakika wa 100% including COVID-19 maana sisi ni nchi ya viwanda&Donor Country.
Kongole mtoa mada,umewapa nondo za ukweli.
 
Ile hotuba kwa kiasi kikubwa ilikuwa ya kisiasa zaidi kuliko uhalisia uliopo.
 
Chige,


This is the difference between JF and other social media platforms. We think, we analyze, we research, we make arguments, we share our findings and more importantly we stand to be corrected.

In the end we have all learned something
Fredwash
Hakika baada ya somo hili zuri la Chige kila mtu amegundua kuwa Magu ametulisha matango pori!
 
Kuna tofauti ya kukosoa na kutaka kuonesha kuwa mtu fulani hafai.

Kumchukia mtu ambaye huwezi kumfanya lolote ni sawa na kujiadhibu mwenyewe.

Siku zote ukishamuwekea mtu X basi huwezi kumzungumzia katika hali ya usawa.

Kwanza, sikubaliani hiyo dhana kwamba lazima umchukie mtu ambaye una uwezo wa kumfanya lolote.

Pili, unaweza kumchukia mtu lakini ni vigumu sana kuuchukia ukweli wa huyo mtu na watu wenye akili timamu wakakuelewa. Kwa sababu chuki yako haiwezi kubadilisha huo ukweli uwe uongo.

Tatu, kwamba mtu ukishamwekea X huwezi kumzungumzia ktk hali ya usawa.
Mkuu fahamu tu ya kwamba ukweli huwa hauna sehemu mbili. Huwezi kuugawanya ili upate usawa. Upande mmoja hasa ule ambao hautakubali lazima utajisikia kuumia. Na upande wa pili utafurahia.

Kama mleta uzi kaongea ukweli, kuukubali au kuukataa hakubadishi kitu.
Na kama ni uongo mpinge kwa hoja, onesha uongo wake na weka ukweli wako.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unasemaje amewaweza wakati umeshasema hawana platform na yeye anaplatform???
 
Pumba,kama unafikiri hizo machine ni accurate forever,wewe ni mwehu,machine hizo pia zinaweza kuwa na deffects pia ni man made ,sio god made.
Vipi dadangu, mbona matusi?! Kwanini mnapenda kuleta jamvini frustration mnazosababishiwa na waume zenu? Lau kama sio hayo ma-frustration yako am,bayo wala hayatuhusu, ungeona nimezungumza kwamba
Of course errors lazima ziwepo manake hakuna mashine iliyo 100% efficient. Hata hizi laboratory kits zinakuwa na acceptable margin of errors; kwa mfano, ziwe na Sensitivity ya 95%.
Sasa how come dadangu unaibuka from nowhere na kuanza kutoa povu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…