COVID-19 Test Kits zilizogunduliwa kuwa na hitilafu kwingineko duniani siyo hizi za Magufuli

Mkuu nachokisema ni kwamba kumchukia mtu sana ambaye huwezi kumfanya kitu inakuwa ni kama kujiadhibu ni kujitia stress,kuna watu wamejenga chuki kwa Magufuli na hawana cha kumfanya matokeo yake sasa ndio tunaona watu humu wakimzungumzia huyo Magufuli yani wanamzungumza katika hali ya jazba na kutaka muda wote kuona Magufuli anajadiliwa upande wa mabaya tu aonekane hafai na anachukizwa kabisa anapoona Magufuli anajadiliwa upande tofauti na huo.

Watu tunatofautiana mitazamo sasa unakuta jambo fulani alilofanya Magufuli mie nimelitazama tofauti labda nimeona ni jambo zuri,ila wenzetu hao unaweza kushangaa anaanza kukushambulia na kukuona unatumika tu kumsifu Magufuli,yani yeye kutokana na hiyo chuki yake basi anasahau hata kuwa watu hutofautiana mitazamo yeye huona huyo Magufuli hana lililojema.
 
Yaani ni full mitusi... na wengine unaona wazi kwamba hata kusoma thread hawajasoma, na kama wamesoma hawakuelewa hata mstari manake unakuta mtu anahoji kitu tofauti...
 
Hivi umetumia vigezo gani kuhitimisha kwamba namchukia Magufuli?!
 
Hajamuweza yeyote. Haya ni maisha ya watu na siyo tambo za kisiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tofauti ya kukosoa na kutaka kuonesha kuwa mtu fulani hafai.

Kumchukia mtu ambaye huwezi kumfanya lolote ni sawa na kujiadhibu mwenyewe.

Siku zote ukishamuwekea mtu X basi huwezi kumzungumzia katika hali ya usawa.
Ushauri murua kwa Magufuli.
 
Sasa Kama hakutoa suluhu mbona kawatimua watu
 
Mna kazi kubwa ya kufanya 'utafiti' ili ku-counter hoja za JPM...poleni....but truth will eventually emerge....kazi mnayo kwa kweli...
 
Mna kazi kubwa ya kufanya 'utafiti' ili ku-counter hoja za JPM...poleni....but truth will eventually emerge....kazi mnayo kwa kweli...
Unfortuinately sina namna nyingine ya kukusaidia! FYI, kufanya utafiti ndo kawaida yangu... huwa siongei kwa kukurupuka; iwe issues za kisiasa, kiuchumi au hata masuala ya burudani!!

So, don't take it personal... hicho ni kielelezo tu cha tofauti kati yangu na watu aina yenu!

Btw, hiyo truth unayosema hatimae ita-emrge, ni nani atatoa hiyo truth?! Unamaanisha hizi truth za kumfurahisha Mfalime kama ile truth ya kuwadai Acacia trilioni 425, au truth ipi hasa?!

Unaanza kutimua watu halafu unajifanya kuunda tume wakati umeshawaonesha wasipokufurahisha watakumbana na nini!!]

Acha masihara mzee!
 
Nimeandika 'utafiti' na siyo utafiti
 
Muulize mama yako mimi ni jinsia gani wakati unamsaidia kukata vitunguu jikoni atakwambia pia nashuruba anazozipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Chige sijasoma andiko lako lote lakini kidogo nilichosoma ngoja nikujuze USA walipewa reagent mbaya na CDC ikawalazimu watengeneze mpya na kuruhusu wiwanda binafsi kadhaa watengeneze hizo reagents.
Nikipata muda nitatafuta link husika nikuwekee hapa.

Tekinolojia na mambo yoyote ya kisayansi hayana kinga ya kutokuwa na kasoro. Hakuna perfect world ambayo huko hakuna makosa ya vifaa vya kisayansi na tekinolojia.

Mh. Magufuli kafungua mjadala ni jambo zuri na wataalamu nendeni maabara mkachunguze ukweli na tatizo lilianzia wapi kama lilikuwepo na nini suluhisho. Kukataa uwepo wa tatizo siyo kulitatua tatizo husika.
 
You are running out of gass!!?
 
Ila kila siku watu wanakufa...kutawala Watanzania rahisi sana
 
Wewe Chige, mambo ya taaluma waachie wanataaluma. Googling haitakufanya mwanataaluma kwani hutaelewa hasa kinachojadiliwa. Wewe ume google hapa:
How Accurate Are COVID-19 Tests? Many Factors Can Affect Sensitivity, Specificity of Test Results | ARUP Laboratories

Haiwezekani kabisa scientificaly kipimo cha nucleic acid ya SARS - COVI 2 (=COVID - 19) kikawa positive kwe majimaji ya papai, mbuzi wala kware. Hii wala haitaitwa false positive bali nonsense about that test! Hatutaki nonsense test kits toka kwa hawa donors. Waje tutawaonesha how nonsense hizi test kits walizotupatia. Hizo samples za mbuzi, kware na mapapi tumezi serve kwa wale ambao hawaamini. Mbuzi, kware na papai yaliyotest na yanayoendelea kutest positive yapo. Waje wayapime na wao kama hawatuamini. Na yakitest positive watulipe compensations za matrillioni ya pesa!
 
We jamaa una matatizo, sio bure!!

Nakumbuka siku za nyuma nilishawahi kukuuliza "Hivi wewe ni dokta wa nini?!"

Na leo narudia tena hilo swali... hivi we jamaa ni dokta wa nini?

Utasemaje nime-Google hapo wakati nimeambatanisha na link kwa kila nilichoandika?!

Kuna sehemu yoyote kwenye maelezo yangu ulipokuta hiyo link uliyoweka na kudai ndipo nilipo-Google?!

Again, hivi we jamaa ni dokta wa nini?!
 
Kwavile umesema hujasoma yote siwezi kukulaumu manake ungesoma hadi mwisho ungeona nimesema wazi hakuna mashine iliyo perfect kwa 100% including hizi lab test kits!!

Ni kutokana na hilo ndipo nikasema hata hizi testing kits kv haziwezi kuwa perfect kwa 100%, ndo maana kunakuwa na acceptable efficiency... kwa mfano, ili kit iwe clinically approved basi iwe na, for instance at least 90% Sensitivity!
 
Muulize mama yako mimi ni jinsia gani wakati unamsaidia kukata vitunguu jikoni atakwambia pia nashuruba anazozipata

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana dadangu, mitusi yote ya nini dadangu?! Habari za mamangu ambae hata JF haijui zinakujaje?!

Nakushauri kamalizane na mumeo na ukishakuwa sober ndo urudi hapa badala ya kuhamishia frustration zako kwa wengine!!

Pole sister...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…