COVID-19 Test Kits zilizogunduliwa kuwa na hitilafu kwingineko duniani siyo hizi za Magufuli

Mimi ni dokta wa watu kama wewe. Hizo links zako ni za rapid tests zinazotumika kugundua antibodies (ie Elisa tests). Hizi bado ziko kwa majaribio.
Vipimo vinavyotumika ni za nucleic acid kugundua antigen za virusi hivi - viwe kwenye mwili wa binadamu, kwenye surfaces zo zote, hewani na penginepo popote. Tunatumia swab na siyo damu. Hivyo hata mbuzi, papai au kitu cho chote kile ambacho kina virusi hivi baada ya ku swab kipimo kitawaonesha virusi hivi kwenye fluroscent light. Hivyo link niliyokupa ndiyo sahihi. Tatizo lako you are non medic posing to be medic.
 
Unachopinga wewe ni kipi hasa?! Hivi ulisoma au ulikimbilia kupinga tu kama kawaida yenu kwavile katajwa Magufuli?!

Hiyo link uliyonipa ni sahihi kwa hoja ipi?!

Acheni tabia ya kukurupuka na ku-comment wakati hata kusoma hamjasoma!
 
Unachopinga wewe ni kipi hasa?! Hivi ulisoma au ulikimbilia kupinga tu kama kawaida yenu kwavile katajwa Magufuli?!

Hiyo link uliyonipa ni sahihi kwa hoja ipi?!

Acheni tabia ya kukurupuka na ku-comment wakati hata kusoma hamjasoma!
Kwa hoja ya vipimo vyenye fault tunavyotumia kubaini novel coronovirus.

Kuhusu kusoma, wewe ndiye si msomi bali ni mbabaishaji tu. Endelea kubabaisha wengine siyo wasomi. Unakuja na hoja za rapid antibody diagnostic kits ambazo hakuna hata nchi moja inatumia kwenye mapambano ya janga hili! Usidandie fani usiyoijua sawa sawa. Your pineal gland needs to be checked up my fake doctor!
 
Pole chige. Nakuonea huruma sana. Nilidhan unaleta scientific proof apa. Kumbe unatumia sources za mitandao.

Nilifurahi nikaona sasa nimepata msomi ambae atatufafanunulia kitaalam, kumbe ni ku nukuu vyanzo vya mitandao. Hujui hata samples huwa zinachukuliwaje. Hujui hata swab zina maana gan. Yaan kiufupi you r so stupid.

Mi sijui nikusaidieje. Lakini nifuatilie, nikipata muda nitakuletea evidence za kisayansi ku prove kuwa hoja za jpm zinaweza kuwa kweli kwa % kubwa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi niliwaambia hawakuniamini.Ile mashine ya kupimia COVID-19 ni RT-PCR.Ni test pendekezwa na inatumika dunia nzima..

Hizo testi famba za China ni rapid test.Wakabisha
 
Hivi ulikuwa na sababu ipi ya msingi ya kusema I'm so stupid?

Umesoma na kuelewa kilichoandikwa?!

Yaani suala la nchi fulani kuripoti Product X waliyonunua kutoka nchi Y ulitarajia suala kama hilo lipatiwe scientific proof?! Yaani ulitarajia watu waingie maabara kufanya experiment ya ku-prove Spain wamerudisha RDT walizonunua kutoka China?

Narudia tena... umesoma mwanzo hadi mwisho na ukaelewa nilichoandika, au kama kawaida yenu huwa mnakurupuka from nowhere na kuanza ku-comment kabla ya kusoma na kuelewa?

I doubt kama umesoma kwa sababu kama ungesoma hapo ungekuta sources za aina mbili... media and scientific sources!

Kuhusu nchi ambazo zilinunua vifaa wakakuta vina fault, nimetumia media reporting... did you expect such news to have scientific proof?!

Mwishoni, nikatumia source ya World Health Organization na Science Direct!

Sioni haja ya kuielezea WHO, but who're Science Direct?:-
ScienceDirect is Elsevier’s platform of peer-reviewed scholarly literature. It includes thousands of books, journal articles, and other reference materials. ACM Professional and Student members have access to select content from ScienceDirect.
In additional, vyuo kama The State University of New Jersey wanasema: Hivi kuna mtu mwenye uelewa anayeweza ku-question sources kama hizo? Au kwa akili yako unadhani taarifa za WHO zinaandikwa kama habari za Gazeti la Uhuru; kwamba Madagascar wakitangaza wamekugundua dawa ya kutibu COVID-19 basi na wenyewe wanakurupuka kuandika kwamba Madagascar wamegundua dawa?

Kama una akili sawa sawa, nadhani finally utafahamu who's so stupid kama sio nani mpumbavu kati yetu, or else, sioni ni namna gani naweza kukusaidia kwa sababu kwa wengine ujinga ni kipaji walichoapa kuwa nacho daima dumu!
 
Thank you. Your explanation is very exhaustive. Je, Bia Yetu haya anayaelewa?
 
Angalia ulivyo zuzu, na ndo mtaji mkuwa wa JPM watu aina yenu! Yaani bila aibu unasema hakuna nchi inayotumia RDTs wakati umeoneshwa hapo nchi ambazo ilinunua hizo RDTs?

Hivi nyie watu mnafikiri kwa kutumia kichwa, au mnafikiri kwa kutumia nini hasa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…