#COVID19 Covid-19 transmission containment: You are safe only if everybody is safe

#COVID19 Covid-19 transmission containment: You are safe only if everybody is safe

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Wataalamu wa epidemiology ya magonjwa wanasema hakuna aliye salama mpaka kila mmoja wetu amekuwa salama. What does this translate to in our case with regard to the way we are handling the pandemic?

Dunia haitakubali Tanzania iwe hotspot ya covid 19 transmissions, maana kama kwetu ndiyo reservoir ya virus, dunia yote itakuwa bado iko vulnerable to get transmission/attack as long as sisi ni "kisima" cha maambukizi duniani.

Time will tell!
 
Tatizo kubwa si kuwa center ya maambukizi tu. Pia sisi wenyewe kupukutika nayo si issue ndogo mbona?
 
Tatizo kubwa si kuwa center ya maambukizi tu. Pia sisi wenyewe kupukutika nayo si issue ndogo mbona?
umenena vema, tutaisha kabisa maana nimeongea na layman hapa mtaani kwangu anye anajua kabisa kuwa bila tahadhali za WHO, tutaisha
 
Eti hotspot ya covid 19! Nyie watu kazi mnayo.
 
tatizo liko wapi? si umeelewa kuwa tunazungumzia covid 19 virus? hapo unajiona unajua kuliko wengine....
Unauliza,unajijibu mwenyewe. Ulitaka nipost unachopenda kusikia. Watakuja watakaopost unayopenda kusikia.
#Covid19hotspot#
 
Eti hotspot ya covid 19! Nyie watu kazi mnayo.
Virus hua wanafanya mutation,sasa usipokua umechanjwa vaccine ili kuuangamiza huu ugonjwa unakua kama mazalia ya new strains of covid 19,hawa virus wanaweza kufanya mutation na vaccine iliyopo sasa isiweze kusaidia lolote,ndio maana unaambiwa nobody is safe until everyone is safe.
 
Maana ya chanjo si ni kuzuia usipate... Sasa tutawapa vipi ilhali wamechanjwa
 
Hii vaccine ya sasa hivi inafanyakazi kwa ile SA variant?
 
Maana ya chanjo si ni kuzuia usipate... Sasa tutawapa vipi ilhali wamechanjwa
Chanjo inakuzuwia hawa virus waliopo sasa wasiweze kukudhuru,chanjo ina boost immune system,halafu kumbuka unaweza ukawa na chanjo ila ukapatwa na hawa new strains,pia unaweza ukawa na chanjo ila ukawa na uwezo wa kutransmit virus,ndio maana WHO wanasisitiza kila mtu apate chanjo ili kuutokomeza huu ugonjwa kabla ya virus kufanya mutation na kua wakalizaidi.
 
pia unaweza ukawa na chanjo ila ukawa na uwezo wa kutransmit virus.
kwa mantiki hiyo basi... Hakuna aliye salama kati ya aliyechanjwa mwenye ugonjwa na asiyechanjwa na hana ugonjwa...
Hivyo sioni umuhimu wa kuchanjwa kama sina ugonjwa ilhali naweza ambukizwa na aliyechanjwa mwenye ugonjwa...
 
Hio unayoisema wewe tuchanjwe tuzuie mutation.
Mkuu Vaccine zilizoidhinishwa mpaka sasa hivi ni zaidi ya 5 wewe unaulizia ipi?

Mfano South Africa walipelekewa AstraZeneca ikaonekana haina uwezo mkubwa kwenye new virus variant,ikabidi hiyo Vaccine ipelekwe nchi ambazo hazina new strains,
So far Pfizer/BioNtech inafanya vizuri kufight new strains.
 
Maana ya chanjo si ni kuzuia usipate... Sasa tutawapa vipi ilhali wamechanjwa
epidemiology na evolution of disease inasema ukiacha wadudu wakazaliana uncontrolled, uwezekano mkubwa ni evolution ya mutants anmbazo zinaweza kuwa more virulent or non-virulent strains
 
kwa mantiki hiyo basi... Hakuna aliye salama kati ya aliyechanjwa mwenye ugonjwa na asiyechanjwa na hana ugonjwa...
Hivyo sioni umuhimu wa kuchanjwa kama sina ugonjwa ilhali naweza ambukizwa na aliyechanjwa mwenye ugonjwa...
Mkuu,soma post yangu namba 10 jibu lipo hapo.
 
Chanjo inakuzuwia hawa virus waliopo sasa wasiweze kukudhuru,chanjo ina boost immune system,halafu kumbuka unaweza ukawa na chanjo ila ukapatwa na hawa nes strains,pia unaweza ukawa na chanjo ila ukawa na uwezo wa kutransmit virus,ndio maana WHO wanasisitiza kila mtu apate chanjo ili kuutokomeza huu ugonjwa kabla ya virus kufanya mutation na kua wakalizaidi.
asante sana @icebreaker
 
Mkuu Vaccine zilizoidhinishwa mpaka sasa hivi ni zaidi ya 5 wewe unaulizia ipi?

Mfano South Africa walipelekewa AstraZeneca ikaonekana haina uwezo mkubwa kwenye new virus variant,ikabidi hiyo Vaccine ipelekwe nchi ambazo hazina new strains,
So far Pfizer/BioNtech inafanya vizuri kufight new strains.
Kwahio hizi vaccine zote tano kila moja ina nguvu yake, ni kama bado zipo kwenye majaribio? Kwasababu na utafiti wote still inabidi wasikilizie matokeo kwa watu.
 
Back
Top Bottom