#COVID19 Covid-19 transmission containment: You are safe only if everybody is safe

#COVID19 Covid-19 transmission containment: You are safe only if everybody is safe

Ok,mfano tukanunua aina fulani ya chanjo kwa mabilioni ya shilingi.. ikawa less effective..
Kwahiyo tunatununua tena aina nyingine ya chanjo kwa mabilioni ya shilingi.
Na vipi chanjo ambayo imeshadungwa kwa watu ,ikaonekana less effective , haiwezi kuleta madhara mwilini? Mfano umedungwa chanjo A ,ikaonekana haifai, ukadungwa chanjo B, mwili utakuwa salama?
Mkuu,wataalamu watatusaidia kwenye hili,kama ujuavyo huu ugonjwa bado haujajulikana 100% na wataalamu bado wapo kwenye tafiti hasa jinsi unavyoambukiza.
 
Back
Top Bottom