#COVID19 Covid-19 transmission containment: You are safe only if everybody is safe

Kwahio hizi vaccine zote tano kila moja ina nguvu yake, ni kama bado zipo kwenye majaribio? Kwasababu na utafiti wote still inabidi wasikilizie matokeo kwa watu.
Vaccine zinapishana kwenye Effectiveness,

Kwani mkuu wewe ulitaka Vaccine zote zifanane 100% ndio ionekane zinafaa? Mbona dawa nyingi tu hua zinatofautiana ufanyaji kazi wake japo zote ni dawa za kufight same disease?
 
Mkuu,soma post yangu namba 10 jibu lipo hapo.
Kama kwa muda wote huo... Tumepata aina tofauti tofauti za virusi (south Afrika, uingereza, Brazil, kenya)...
Huoni kama kuna hatari ya kutumia chanjo ya aina moja... Ambayo imefanyiwa matengenezo kulingana na mdudu wa mazingira ya nchi moja...
 
Kwamba ni lazima wote tuchanjwe,zoezi litakalochukua muda mrefu sana.
Mkuu point yako ni nini? unachopinga ni nini? tatizo nini? naona kama vile umejipanga kubishana au kupinga jambo,kama ni hivyo hata ufahamishwe vp huwezi kukubali,
Have a good day.
 
Ndio maana hata watu kuvaa barakoa huku watoto wao wanaenda shule na vyuo bila barakoa, wanakula kwa mama ntilie,Bar wanahudhuria sherehe zote/mpira/mikutano, wanapanda daladala zilizojazana,makundi ya jogging, haileti maana kabisa.Hatua zisipochukuliwa kwa wote kwa pamoja ni bora kuachana na hizi kelele za Corona kabisa
 
Kama kwa muda wote huo... Tumepata aina tofauti tofauti za virusi (south Afrika, uingereza, Brazil, kenya)...
Huoni kama kuna hatari ya kutumia chanjo ya aina moja... Ambayo imefanyiwa matengenezo kulingana na mdudu wa mazingira ya nchi moja...
Chanjo haipo moja mkuu,

Mpaka sasa kuna
  1. AstraZeneca
  2. Pfizer
  3. Moderna
  4. Johnson &Johnson
  5. Gamaleya
  6. Sinapharm...
Na nyingine bado zipo kwenye Clinical trial.
 
Punguza jazba. Ukiweka thread kama hizi uwe mpole especially ukiwa huna info, mshukuru @icebreaker
wapi nimesema wewe au yoyote Yuko wrong?
One can infer from your post that there is some grammatical mistake or whatever in the sentence construction......., icebreaker kafanyaje? nimshukuru kwa lip?
 
Mkuu point yako ni nini? unachopinga ni nini? tatizo nini? naona kama vile umejipanga kubishana au kupinga jambo,kama ni hivyo hata ufahamishwe vp huwezi kukubali,
Have a good day.
asante huyu bwana nimeshindwa kumwelwa, most likely ni MATAGA, hawataki ukweli wowote usemwe.
 
Kwahio hizi vaccine zote tano kila moja ina nguvu yake, ni kama bado zipo kwenye majaribio? Kwasababu na utafiti wote still inabidi wasikilizie matokeo kwa watu.
Inaonyesha tunaweza kupigwa chanjo,ikabuma,wakatuletea nyingine,nayo ikabuma,wakaleta nyingine...na nyingine...

Bado hamna uhakika hapa...
 
Vaccine zinapishana kwenye Effectiveness,

Kwani mkuu wewe ulitaka Vaccine zote zifanane 100% ndio ionekane zinafaa? Mbona dawa nyingi tu hua zinatofautiana ufanyaji kazi wake japo zote ni dawa za kufight same disease?
Ok,mfano tukanunua aina fulani ya chanjo kwa mabilioni ya shilingi.. ikawa less effective..
Kwahiyo tunatununua tena aina nyingine ya chanjo kwa mabilioni ya shilingi.
Na vipi chanjo ambayo imeshadungwa kwa watu ,ikaonekana less effective , haiwezi kuleta madhara mwilini? Mfano umedungwa chanjo A ,ikaonekana haifai, ukadungwa chanjo B, mwili utakuwa salama?
 
Ndio maana hata watu kuvaa barakoa huku watoto wao wanaenda shule na vyuo bila barakoa, wanakula kwa mama ntilie,Bar wanahudhuria sherehe zote/mpira/mikutano, wanapanda daladala zilizojazana,makundi ya jogging, haileti maana kabisa.Hatua zisipochukuliwa kwa wote kwa pamoja ni bora kuachana na hizi kelele za Corona kabisa
Hili nalo tatizo...
 
Back
Top Bottom