umenena vema, tutaisha kabisa maana nimeongea na layman hapa mtaani kwangu anye anajua kabisa kuwa bila tahadhali za WHO, tutaishaTatizo kubwa si kuwa center ya maambukizi tu. Pia sisi wenyewe kupukutika nayo si issue ndogo mbona?
tatizo liko wapi? si umeelewa kuwa tunazungumzia covid 19 virus? hapo unajiona unajua kuliko wengine....Eti hotspot ya covid 19! Nyie watu kazi mnayo.
Unauliza,unajijibu mwenyewe. Ulitaka nipost unachopenda kusikia. Watakuja watakaopost unayopenda kusikia.tatizo liko wapi? si umeelewa kuwa tunazungumzia covid 19 virus? hapo unajiona unajua kuliko wengine....
Virus hua wanafanya mutation,sasa usipokua umechanjwa vaccine ili kuuangamiza huu ugonjwa unakua kama mazalia ya new strains of covid 19,hawa virus wanaweza kufanya mutation na vaccine iliyopo sasa isiweze kusaidia lolote,ndio maana unaambiwa nobody is safe until everyone is safe.Eti hotspot ya covid 19! Nyie watu kazi mnayo.
Hii vaccine ya sasa hivi inafanyakazi kwa ile SA variant?Virus hua wanafanya mutation,sasa usipokua umechanjwa vaccine ili kuuangamiza huu ugonjwa unakua kama mazalia ya new strains of covid 19,hawa virus wanaweza kufanya mutation na vaccine iliyopo sasa isiweze kusaidia lolote,ndio maana unaambiwa nobody is safe until everyone is safe.
Chanjo inakuzuwia hawa virus waliopo sasa wasiweze kukudhuru,chanjo ina boost immune system,halafu kumbuka unaweza ukawa na chanjo ila ukapatwa na hawa new strains,pia unaweza ukawa na chanjo ila ukawa na uwezo wa kutransmit virus,ndio maana WHO wanasisitiza kila mtu apate chanjo ili kuutokomeza huu ugonjwa kabla ya virus kufanya mutation na kua wakalizaidi.Maana ya chanjo si ni kuzuia usipate... Sasa tutawapa vipi ilhali wamechanjwa
Vaccine ipi unayoiulizia?Hii vaccine ya sasa hivi inafanyakazi kwa ile SA variant?
Hio unayoisema wewe tuchanjwe tuzuie mutation.Vaccine ipi unayoiulizia?
kwa mantiki hiyo basi... Hakuna aliye salama kati ya aliyechanjwa mwenye ugonjwa na asiyechanjwa na hana ugonjwa...pia unaweza ukawa na chanjo ila ukawa na uwezo wa kutransmit virus.
Mkuu Vaccine zilizoidhinishwa mpaka sasa hivi ni zaidi ya 5 wewe unaulizia ipi?Hio unayoisema wewe tuchanjwe tuzuie mutation.
epidemiology na evolution of disease inasema ukiacha wadudu wakazaliana uncontrolled, uwezekano mkubwa ni evolution ya mutants anmbazo zinaweza kuwa more virulent or non-virulent strainsMaana ya chanjo si ni kuzuia usipate... Sasa tutawapa vipi ilhali wamechanjwa
Mkuu,soma post yangu namba 10 jibu lipo hapo.kwa mantiki hiyo basi... Hakuna aliye salama kati ya aliyechanjwa mwenye ugonjwa na asiyechanjwa na hana ugonjwa...
Hivyo sioni umuhimu wa kuchanjwa kama sina ugonjwa ilhali naweza ambukizwa na aliyechanjwa mwenye ugonjwa...
asante sana @icebreakerChanjo inakuzuwia hawa virus waliopo sasa wasiweze kukudhuru,chanjo ina boost immune system,halafu kumbuka unaweza ukawa na chanjo ila ukapatwa na hawa nes strains,pia unaweza ukawa na chanjo ila ukawa na uwezo wa kutransmit virus,ndio maana WHO wanasisitiza kila mtu apate chanjo ili kuutokomeza huu ugonjwa kabla ya virus kufanya mutation na kua wakalizaidi.
Kwahio hizi vaccine zote tano kila moja ina nguvu yake, ni kama bado zipo kwenye majaribio? Kwasababu na utafiti wote still inabidi wasikilizie matokeo kwa watu.Mkuu Vaccine zilizoidhinishwa mpaka sasa hivi ni zaidi ya 5 wewe unaulizia ipi?
Mfano South Africa walipelekewa AstraZeneca ikaonekana haina uwezo mkubwa kwenye new virus variant,ikabidi hiyo Vaccine ipelekwe nchi ambazo hazina new strains,
So far Pfizer/BioNtech inafanya vizuri kufight new strains.
you are less informed kwa hiyo na hawa wako wrong?Unauliza,unajijibu mwenyewe. Ulitaka nipost unachopenda kusikia. Watakuja watakaopost unayopenda kusikia.
#Covid19hotspot#
Kwamba ni lazima wote tuchanjwe,zoezi litakalochukua muda mrefu sana.Mkuu,soma post yangu namba 10 jibu lipo hapo.