Punguza jazba. Ukiweka thread kama hizi uwe mpole especially ukiwa huna info, mshukuru @icebreakeryou are less informed kwa hiyo na hawa wako wrong?
Coronavirus disease (COVID-19): How is it transmitted?
The English version was updated on 23 December 2021.www.who.int
Vaccine zinapishana kwenye Effectiveness,Kwahio hizi vaccine zote tano kila moja ina nguvu yake, ni kama bado zipo kwenye majaribio? Kwasababu na utafiti wote still inabidi wasikilizie matokeo kwa watu.
Kama kwa muda wote huo... Tumepata aina tofauti tofauti za virusi (south Afrika, uingereza, Brazil, kenya)...Mkuu,soma post yangu namba 10 jibu lipo hapo.
Mkuu point yako ni nini? unachopinga ni nini? tatizo nini? naona kama vile umejipanga kubishana au kupinga jambo,kama ni hivyo hata ufahamishwe vp huwezi kukubali,Kwamba ni lazima wote tuchanjwe,zoezi litakalochukua muda mrefu sana.
Chanjo haipo moja mkuu,Kama kwa muda wote huo... Tumepata aina tofauti tofauti za virusi (south Afrika, uingereza, Brazil, kenya)...
Huoni kama kuna hatari ya kutumia chanjo ya aina moja... Ambayo imefanyiwa matengenezo kulingana na mdudu wa mazingira ya nchi moja...
Sijapinga chochote usemacho nauliza nisichoelewa.Mkuu point yako ni nini? unachopinga ni nini? tatizo nini? naona kama vile umejipanga kubishana au kupinga jambo,kama ni hivyo hata ufahamishwe vp huwezi kukubali,
Have a good day.
One can infer from your post that there is some grammatical mistake or whatever in the sentence construction......., icebreaker kafanyaje? nimshukuru kwa lip?Punguza jazba. Ukiweka thread kama hizi uwe mpole especially ukiwa huna info, mshukuru @icebreaker
wapi nimesema wewe au yoyote Yuko wrong?
Sawa mkuu.One can infer from your post that there is some grammatical mistake or whatever in the sentence construction......., icebreaker kafanyaje? nimshukuru kwa lip?
unaona na @icebreaker amekushitukia kuwa na kuamua kuagana na wewe! Kwaheri! enjoy your day!Sijapinga chochote usemacho nauliza nisichoelewa.
Good day.
asante huyu bwana nimeshindwa kumwelwa, most likely ni MATAGA, hawataki ukweli wowote usemwe.Mkuu point yako ni nini? unachopinga ni nini? tatizo nini? naona kama vile umejipanga kubishana au kupinga jambo,kama ni hivyo hata ufahamishwe vp huwezi kukubali,
Have a good day.
Si kila mtu anayepinga chanjo ni MATAGA acheni kukariri nyie bavichaaasante huyu bwana nimeshindwa kumwelwa, most likely ni MATAGA, hawataki ukweli wowote usemwe.
As if I have something to lose.unaona na @icebreaker amekushitukia kuwa na kuamua kuagana na wewe! Kwaheri! enjoy your day!
Huyu jamaa anataka umkubalie asemacho. Ukihoji wewe ni MATAGA.Si kila mtu anayepinga chanjo ni MATAGA acheni kukariri nyie bavichaa
Kwasababu wewe BAVICHA unafikiri kila anaehoji post yako ni MATAGA.asante huyu bwana nimeshindwa kumwelwa, most likely ni MATAGA, hawataki ukweli wowote usemwe.
sina unasaba wowote na Bavicha......Si kila mtu anayepinga chanjo ni MATAGA acheni kukariri nyie bavichaa
enjoy your day!Kwasababu wewe BAVICHA unafikiri kila anaehoji post yako ni MATAGA.
Inaonyesha tunaweza kupigwa chanjo,ikabuma,wakatuletea nyingine,nayo ikabuma,wakaleta nyingine...na nyingine...Kwahio hizi vaccine zote tano kila moja ina nguvu yake, ni kama bado zipo kwenye majaribio? Kwasababu na utafiti wote still inabidi wasikilizie matokeo kwa watu.
Ok,mfano tukanunua aina fulani ya chanjo kwa mabilioni ya shilingi.. ikawa less effective..Vaccine zinapishana kwenye Effectiveness,
Kwani mkuu wewe ulitaka Vaccine zote zifanane 100% ndio ionekane zinafaa? Mbona dawa nyingi tu hua zinatofautiana ufanyaji kazi wake japo zote ni dawa za kufight same disease?
Hili nalo tatizo...Ndio maana hata watu kuvaa barakoa huku watoto wao wanaenda shule na vyuo bila barakoa, wanakula kwa mama ntilie,Bar wanahudhuria sherehe zote/mpira/mikutano, wanapanda daladala zilizojazana,makundi ya jogging, haileti maana kabisa.Hatua zisipochukuliwa kwa wote kwa pamoja ni bora kuachana na hizi kelele za Corona kabisa