Covid-19: Ugonjwa wa Corona ushauri wa bure kwako Rais Magufuli

Covid-19: Ugonjwa wa Corona ushauri wa bure kwako Rais Magufuli

Tuna wajuaji wengi sana, alafu acha kumhusisha Mungu kwenye hofu zako.
Nakuomba,
Kama UNATAKA lockdown si uanze kwani umekatazwa?

Iyo misongamano ya watu uliionaje Kaka sio wewe unayeongeza misongamano mtaani.

Watu tuache KULALAMIKA, haturidhiki,

Unataka lockdown anza kujifungia leo kwani utakamatwa? Tatzo uzi wako umeuandika kikejeli sana.

Kwaiyo unataka kutuambia nchi za ulaya ambazo wako watu wanapukutika daily serikali zao zilifanya uzembe?

Njooo hapa New York uone watu walivo lockdown lakn maambukizi Ni mbele kwa mbele.

Watu Kama nyie ndo wale mliambiwa na Gidion kurudi nyuma wakati akienda kupigana vita, (heri kwenda na watu wachache wenye ushujaa kuliko kwenda na maelfu wenye hofu)

Kwaiyo mwisho wa siku unataka useme jitihada za serikali ndo zimeisaidia kuiondoa Corona? Tanzania ina rasilimali gani za kupambana na Corona? Juzi unajua USA imesaidi Dolla biliobi ngapi za kupambana na ugonjwa lakn Bado?

Jana ulishuhudia wanachi wa Rwanda walioko lockdown wakigombania unga wa msaada?

Ushauri wangu kwako;: Tuache KULALAMIKA juu ya maamuzi ya serikali kwani ndio ukomavu wa imani pia serikali inaepuka kufanya maamuzi bila kuangalia side effects!

Lockdown inaanza na wwe mwenyewe.

Ajabu na kweli sina hakika una jibu kipi na kuhoji kipi?

Unasema uzi uko na kejeli. Wapi uzi umeandikwa chochote cha kejeli?

Wapi Mungu anahusishwa? Nini kinacho kufanya uone kuwa Mungu kahusishwa katika hali ambayo ni ndivyo sivyo?

Rwanda wanamalizia malizia lockdown. Wanayofuraha kuu kukipita kipindi hiki salama. Soon watakula zilizo mbivu.

Hakuna anayelalamika. Haya ni mawazo ya kwenda mbele.

Lockdown haziwezi anza na mtu mmoja. Lock ya mtu mmoja ni ujinga, kwani ugonjwa ni airborne. Kwa nini hamjiulizi lockdown hizi ambazo hadi watu wanapigwa risasi wakikaidi ziko vipi?

Tatizo kubwa tulilonalo kwa bahati mbaya ni hizi trait za mambo ya TWAWEZA.

TWAWEZA mkuje yupo mwingine huku 'akilitime' halali yenu.
 
Wewe unataka wafunge vijiwe vya kahawa ili waje kula kwako? Cha muhimu ni kufuata masharti ya usafi kama kunawa mikono wakati wote na yule anayegundulika natengwa sehemu iliyotengwa. Huoni US wenyewe wameona ni muhimu wananchi wao kurudi makazini!!?

Tulia acha wasiwasi kama umepangiwa kufa kwa corona utakufa tu. Mbona hushangai malaria tunaambukizana kila siku na tunakufa kila siku nenda kwenye hospitali zetu uone wagonjwa wa malaria wanavyojaa kuliko hata hao wa corona.

Problem imeletwa na wazungu kwa kuwa hawakuzoea communicable disease huko kwao ndiyo maana wanahaha sana. Si mara ya kwanza kwao kuwa na social distancing hata 1918 kulikuwa na mafua makali wakakimbizwa mitaani.

Mkuu ukitaka uishi vizuri ishi maisha ya kiafrika huu ugonjwa wa corona hautakusumbua utaingia na utatoka pia acha wasiwasi. Kwa taarifa yako WASIWASI HUUA!.

Mkuu haya mambo ya kupangiwa kufa kwa malaria au corona ni madhara mengine.

Kuishi kiafrika nadhani unamaanisha kusubiria tu kwa imani kuwa hatma yetu ilishamriwa kabla hatujazaliwa.

Mhhhh! Andiko lako limekaa kiswalhina au kilokole zaidi.

Hizo wanaita imani kali za kidini.
 
Tukishajifungia ndani, kuondoa mikusanyiko ambayo kwa sisi wengi ndio inatupatia riziki zetu. Nini kifuate? Huduma? Chakula? Biashara?

Una mifano ya nchi za afrika zilizojifungia na kufanikiwa? Maisha halisia ya mtanzania unayafahamu? Au tunaiga na kuiweka kwetu bila ya tathimini?

Unafahamu kitu kinaitwa multiplier Effect?

Naomba niishie hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jambo la hatari sana kutokuwa na mawazo wazi (open mind) ili kuweza kuyachambua mawazo ya watu wengine kwa uhuru.

Ni kwa sababu kama hizo badala ya kujadili kupata mawazo zaidi mnakuwa mnarukia mada mkiwa na mawazo mgando. Hii haiwezi wasogeza mbele. Mtabakia hapo hapo. Kwa lugha za hapa jamvini wanaita kudandia treni kwa mbele.

Mkuu iko hivi, huu ugonjwa hauna wiki tatu Afrika. Unataka nikupe ndani ya Afrika nchi iliyofanikiwa kuzuia Corona kwa kutumia lockdown wakati hakuna nchi iliyomaliza kipindi ilichojiwekea cha lockdown. Nadhani unaona irrelevance ya takwa lako.

Kwa taarifa yako nchi zilizopo kwenye total lockdown Africa ni mbili tu: Afrika kusini na Rwanda.

Kwa nini watafanikiwa ni kwa sababu kama ilivyokuwa kwa China itawawezesha kuwatenga waathirika. Ile quarantine unayoiona ya siku 14 kwa wageni au washukiwa - essentially ni total lockdown kwao kuhakikisha hawaleti ugonjwa.

Kama serikali ingalikuwa imesikia hili la quarantine kabla ugonjwa kuja wala usingekuwa umeingia. Kwa hii kujivuta vuta na lockdown hali itaendelea kuwa mbaya zaidi.

Nchi hizi 2 zimefanikiwa sana hasa katika kuondoa hii stigma ya kufa njaa ambayo hapa kwetu inashadadiwa kwa hali ya kushangaza.
Katika say siku 14:

Kweli serikali haina mchango kuhakikisha wananchi hawafi njaa? Kweli watu wote wanahitaji msaada wa chakula moja kwa moja toka serikalini? Kweli hamna wasamaria wema wanaoweza kujitoa kuchangia wale ambao wanao uhitaji wa kweli kweli.

Tofauti ya ugonjwa huu na magonjwa mengine iko kwenye kasi ya maambukizi. Achilia mbali kuwa ugonjwa hauna chanjo wala dawa. Kwamba kwa kila mgonjwa, wote waliohusiana naye kwa vyovyote vile ni lazima wapatikane? Wapaonaje hapo?

Total nightmare.

Kama mikusanyiko yoyote kwa jina lolote inaendelea ni kwa jinsi gani mnyororo wa maambukizi utavunjwa panapo mgonjwa mmoja tu hata kwenye mkusanyiko mmoja tu?

Wanaokwenda total lockdown ni hao hao wanaotubashiria matukio yote yanayotokea ambayo aghalabu hata uwezo tu kuya contemplate hatuna. Tujitendee haki hata kwa kutambua kuwa hawa wenzetu wametutangula mno katika kila hali.

Kwa mawazo ya kawaida tu ni wazi kabisa kuwa kwa status quo, ni heri tukaachana na hii vita ya huu ugonjwa. Hatuiwezi. Kwa status quo tunachofanya ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.

Tumetanguliza mno siasa!

Mkuu jitahidi kuona mbele zaidi kidogo ya pua yako.
 
HIVI WATANZANIA MNATAKA NINI HASA DAAAH KUNA MIMTU MIPUMBAVU JAMANI.

MKIFUNGIWA NDANI BADO MTALALAMIKA. M
KITEMBEZEWA BAKULI LA KUCHANGIA UNUNUZI WA VIFAA VYA KUJIKINGA BADO MTALALAMIKA.
 
Kafa mtu mmoja ndio madaladala yameanza level seat, akifa boss mwingine ndio itakuja lockdown, wasisahau corona inaenda mpaka kwa mabig fish waendelee na upuuz wao tu wakudhan kila kitu ni siasa za kuitetea ccm kurudi madarakani, stupid kabisa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu huu ndiyo ukweli mchungu.
 
HIVI WATANZANIA MNATAKA NINI HASA DAAAH KUNA MIMTU MIPUMBAVU JAMANI.

MKIFUNGIWA NDANI BADO MTALALAMIKA. MIKITEMBEZEWA BAKULI LA KUCHANGIA UNUNUZI WA VIFAA VYA KUJIKINGA BADO MTALALAMIKA.

Nani atalalamika wewe?

Tunachotaka ni ufumbuzi thabiti. Rwanda na Afrika kusini maambukizi yanapungua.

Wanaelekea kuudhibiti huu ugonjwa.

They are on the right track. We're not.

Umeona tunataka nini?
 
Solution kajifungie wewe na familia yako itapunguza msongamano mitaani

Mnataka lawama kwa kila kinachofanywa na serikali

Ujinga hauna dawa. Kubishana na wewe ni kupoteza muda.

Subiri ukisikiliza lockdown tokea kupongeza juhudi.

Hiyo ndiyo tabia zenu misukule.
 
Heheheh cheeeiii am le panic button fanya kupigiza simu au pc chini kupunguza jazba.
Ujinga hauna dawa. Kubishana na wewe ni kupoteza muda.

Subiri ukisikiliza lockdown tokea kupongeza juhudi.

Hiyo ndiyo tabia zenu misukule.
 
Kukurupuka nacho kipaji. Level seat imeanza kabla hajafa mtu. Fatilia nyuzi za humu malalamiko ya wenye daladala kwa kuagizwa kuhusu level seat. Kuwa mpinzani nacho kipaji
Kafa mtu mmoja ndio madaladala yameanza level seat, akifa boss mwingine ndio itakuja lockdown, wasisahau corona inaenda mpaka kwa mabig fish waendelee na upuuz wao tu wakudhan kila kitu ni siasa za kuitetea ccm kurudi madarakani, stupid kabisa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Heheheh cheeeiii am le panic button fanya kupigiza simu au pc chini kupunguza jazba.

Wasiwasi kwako tu.

TWAWEZA waliwatambua watu kama nyie. Unacheka? Unajua hatari iliyopo?

Takwimu hizi hapa umeziona?

Angalia hizi takwimu uone jinsi ndani ya mwezi mmoja hali inavyoweza kuwa mbaya.

Yaani ndani ya mwezi au wiki chache hali inaweza kutoka kwenye makumi hadi makumi elfu

🇮🇹 Italy
February 21 2020 - 21 cases
March 27 2020 - 86,498 cases

🇺🇸 United States
February 21 2020 - 16 cases
March 27 2020 - 100,037 cases

🇫🇷 France
February 26 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 32,964 cases

🇩🇪 Germany
February 25 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 50,178 cases

🇪🇸 Spain
February 27 2020 - 25 cases
March 27, 2020 - 64,059 cases

🇮🇷 Iran
February 19 2020 - 5 cases
March 27 2020 - 32,332 cases

South Africa 🇿🇦
March 1 2020 - 1 case
March 27 2020 - 1,170 cases

.
 
Ee bana tupo pamoja na Magufuli hutaki hama nchi. Takwimu takwimu takwimu rwanda iko wapi hapo. Tatizo hujui kitu mkurupukaji tu na mihemko ya vijiweni
Wasiwasi kwako tu.

TWAWEZA waliwatambua watu kama nyie. Unacheka? Unajua hatari iliyopo?

Takwimu hizi hapa umeziona?
 
Kukurupuka nacho kipaji. Level seat imeanza kabla hajafa mtu. Fatilia nyuzi za humu malalamiko ya wenye daladala kwa kuagizwa kuhusu level seat. Kuwa mpinzani nacho kipaji
we dada sio kila kitu upinzani ? wamelalamika lini ? level seat imeanza leo kwa daslama sasa sijui mikoa mingine , usidhani kila kitu ni upinzani, me sina chama na kura sipigagi, yan nyie mnamwona mkuu Mungu mtu ila siku corona ikigonga hodi kwenu au kwa ndugu yako ndio utajua hata yeye hawez kufanya kitu chochote, hivi mtu ukiwa bogas lazima uonyeshe kwene social media ? Waziri mkuu wa UK alikuwa mbish sasa kapata yeye ndio anaelewa sasa maana ake nini sasa huoni huo ni upumbavu ? we unawaza upinzani tu corona haichagui rangi wala kabila
 
Nani atalalamika wewe?

Tunachotaka ni ufumbuzi thabiti. Rwanda na Afrika kusini maambukizi yanapungua.

Wanaelekea kuudhibiti huu ugonjwa.

They are on the right track. We're not.

Umeona tunataka nini?
Jaman litembezwe bakuli tena wakati RAISI MAGUFULI ALISEMA TUMEKUSANYA HELA NYINGI SANA NA TUTEMBEE KIFUA MBELE ? Ivi unajua Mungu akitaka kuwakamata watu na uongo analeta janga moja tu na majibu yanakujaga automatic, mkuu tusiwe tunadanganyika kirahisi hivi
 
Pita basi hapa uone watu wabishi jamani

Eti hatutaki "level seat" - JamiiForums

Corona: Wakati Tanzania imetangazwa mabasi yapakie level seat huko Kenya matatu zaagizwa kupakia 60% ya uwezo wake - JamiiForums

Waziri Kamwelwe atangaza mkakati wa kupambana na ugonjwa wa Coronavirus kwenye vyombo vya usafiri - JamiiForums

CORONA: RC Makonda atoa mwongozo kwa wananchi wa mkoa Dar es Salaam na wageni - JamiiForums

we dada sio kila kitu upinzani ? wamelalamika lini ? level seat imeanza leo kwa daslama sasa sijui mikoa mingine , usidhani kila kitu ni upinzani, me sina chama na kura sipigagi, yan nyie mnamwona mkuu Mungu mtu ila siku corona ikigonga hodi kwenu au kwa ndugu yako ndio utajua hata yeye hawez kufanya kitu chochote, hivi mtu ukiwa bogas lazima uonyeshe kwene social media ? Waziri mkuu wa UK alikuwa mbish sasa kapata yeye ndio anaelewa sasa maana ake nini sasa huoni huo ni upumbavu ? we unawaza upinzani tu corona haichagui rangi wala kabila
Baada ya povu usisahau

Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
 
we haupo dar basi kama upo sio commuter wa public transport hata kama una private car haya magari ungeyaona ukiwa kwenye folen, au labda upo dar ila unaish chanika sasa chanika ni kijijin mambo ya mjini huwez kuyaona, hiyo kitu applicability yake imeanza leo asubuh sasa nkwambie juz kulikuwa na mvua jangwani barabara ilifungwa ulion amidaladala ilivyokuwa inajaza watu ? mbona mnapenda kudanganya watu ?
 
Hivi mimi nikiwa na corona nikapanda level seat toka mkoani mpaka ubungo na kunawa mikono halafu nikapanda dala dala mbili kwa kubadili na kikaa level seat. Halafu kesho yake nikaenda ibada na kunawa mikono. Ina maana sitaambukiza corona?
 
Back
Top Bottom