Covid-19: Ugonjwa wa Corona ushauri wa bure kwako Rais Magufuli

Covid-19: Ugonjwa wa Corona ushauri wa bure kwako Rais Magufuli

Mkuu hiyo inaitwa kujilisha upepo. Kama ukishiba utuletee mrejesho.
Sijakupata mkuu. Nazungumzia uwezekano wa mm mwenye corona kuambukiza watu kwenye mazingira hayo kuendana na hatua za serikali za sasa.
 
Kiswahili muhimu hii english ya kajamba nani imekudhalilisha sana pole

Bla bla election bla bla regular basis daah wabongo bana
I am always on chill level 1, df you talking about ?..when corona comes after you you will realize this is not a joke and it is not something to fuckup with, and Magufuli wont be there to save you because its a disease not elections where on a regular basis you guys flip things upside down, RELAX...
 
Kiswahili muhimu hii english ya kajamba nani imekudhalilisha sana pole

Bla bla election bla bla regular basis daah wabongo bana
sisi elimu ya kajamba nani tumesoma na habina uhusiano na kingereza sasa, sio lazima usome shule ndio ujue kingereza ndio unazidi kuonyesha ubogasi wako elimu/shule za kajamba nani na kingereza havina uhusiano kabisa dont be stupid, shule ni shule na kingereza ni kingereza
 
sisi elimu ya kajamba nani tumesoma na habina uhusiano na kingereza sasa, sio lazima usome shule ndio ujue kingereza ndio unazidi kuonyesha ubogasi wako elimu/shule za kajamba nani na kingereza havina uhusiano kabisa dont be stupid, shule ni shule na kingereza ni kingereza
 
Sijakupata mkuu. Nazungumzia uwezekano wa mm mwenye corona kuambukiza watu kwenye mazingira hayo kuendana na hatua za serikali za sasa.

Mkuu hapa nilikuwa nakuunga mkono kuwa hii inayoitwa 'level seat' haisaidii lolote kuzuia Corona. Inafahamika umbali mtu hadi mtu kujikinga na maambukizi recommended ni at least 1.5m.

Hivi mimi nikiwa na corona nikapanda level seat toka mkoani mpaka ubungo na kunawa mikono halafu nikapanda dala dala mbili kwa kubadili na kikaa level seat. Halafu kesho yake nikaenda ibada na kunawa mikono. Ina maana sitaambukiza corona?

Sasa si unaona hapo kudhani level seat itasaidia ni kama kujilisha upepo tu mkuu ambao hauta shiba katu?
 
Back
Top Bottom