we haupo dar basi kama upo sio commuter wa public transport hata kama una private car haya magari ungeyaona ukiwa kwenye folen, au labda upo dar ila unaish chanika sasa chanika ni kijijin mambo ya mjini huwez kuyaona, hiyo kitu applicability yake imeanza leo asubuh sasa nkwambie juz kulikuwa na mvua jangwani barabara ilifungwa ulion amidaladala ilivyokuwa inajaza watu ? mbona mnapenda kudanganya watu ?
Kafa mtu mmoja ndio madaladala yameanza level seat, akifa boss mwingine ndio itakuja lockdown, wasisahau corona inaenda mpaka kwa mabig fish waendelee na upuuz wao tu wakudhan kila kitu ni siasa za kuitetea ccm kurudi madarakani, stupid kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Watu wa dar kuskia level seat imekua hbar kuu kwao hawana kingine yani n kama kipofu kaona mwezPovu la karne. Level seat haijaanza leo mkuu na Tanzania sio dar peke yake.
Tatizo "watu wa dar" mna ujuaji mwingi sana
Watu mnaona Lock down n kama kunywa maji barid eeeeh kwa bomba
god is good
Watu wa dar kuskia level seat imekua hbar kuu kwao hawana kingine yani n kama kipofu kaona mwez
god is good
Sawa lakin Dar es Salaam imeanza jana hiyo issue na nikwambie nlikuwa naongelea Dar es salaam na ndio kuna vongestion kubwa ya watu sababu wakiweza hili swala kwa daslama hakuna sehemu watashindwa. We upo mkoa gani ? niwapongezeHii ndo kauli yako ya awali. Madaladala yapo Tanzania nzima so level seat haijaanza leo
Hapana mkuu hiyo ya ujuaji mnajitengenezea ninyi tu na akili zenu mkoa gani huo uloanza level seat muda mrefu tujifunze kutoka kwenu ??Povu la karne. Level seat haijaanza leo mkuu na Tanzania sio dar peke yake.
Tatizo "watu wa dar" mna ujuaji mwingi sana
Just know ni mkoani ndani ya TanzaniaSawa lakin Dar es Salaam imeanza jana hiyo issue na nikwambie nlikuwa naongelea Dar es salaam na ndio kuna vongestion kubwa ya watu sababu wakiweza hili swala kwa daslama hakuna sehemu watashindwa. We upo mkoa gani ? niwapongeze
Hapana mkuu hiyo ya ujuaji mnajitengenezea ninyi tu na akili zenu mkoa gani huo uloanza level seat muda mrefu tujifunze kutoka kwenu ??
Moja kwa moja kwako kwenye mada.
Hatimaye ninakundikia wewe ushauri huu wa bure nikifahamu fika kuwa hujapungukiwa na washauri, na kuwa uko nao washauri walio mahiri kabisa, wenye kulipwa vilivyo kutokana na kazi hiyo.
Hata hivyo kumbuka mheshimiwa, Goliath lilikuwa jitu la kutisha (lenye silaha hatari) ambalo kwa uweza wake mola lilisimamishwa ni kijana mdogo aliyekuwa na kombeo na jiwe tu, zana duni kabisa.
Kwa taarifa zilizopo hadi sasa katika Afrika peke yake watu wapatao 109 tayari wamesha kufa kwa covid-19 na hii inaendelea kuongezeka kwa kasi kubwa zaidi:
COVID-19: Coronavirus hits 46 countries in Africa, kills 109 people
Italy pana wahanga zaidi ya 10,000 waliokwisha kufa hadi sasa. New York peke yake ni wahanga zaidi ya 1,000. China wao wametangaza rasmi kufanikiwa kuutokomeza ugonjwa huu.
WHO wanaonya kuwa katika wiki tatu zijazo tokea sasa tunaweza kuiona Afrika ikiwa katika hali mbaya sana. Labda hata kuwa ni mbaya zaidi kuhusiana na ugonjwa huu kuliko hata ilivyo ulaya na marekani kwa sasa. Hii ni kama hatua thabiti kabisa hazitachukuliwa pasipo na kuchelewa zaidi.. WHO wanazo sababu za kutosha kabisa kuendelea kutoa maonyo haya.
WHO wanasisitiza umuhimu wa 'social distancing' yaani kuwatenga watu walio wazima na walio waathirika ili hatua zichukuliwe. Hii ikiwa ndiyo njia pekee iliyozaa ushindi na kuonekana kisayansi kuwa sahihi zaidi.
Hii ni vita kubwa wala si ndogo na wewe ndiye jemedari wetu.
Walioambukizwa Uingereza ni pamoja na Malkia Elizabeth, Prince Charles, waziri mkuu Boris Johnson (watu wazito kabisa) na wengi wengine mashuhuri na hohehahe, wakubwa kwa wadogo duniani kote.
Ugonjwa huu unaweza kumpata mtu yeyote na wakati wowote.
Ugonjwa huu unatishia kwa dhahiri kabisa uwepo wetu kama taifa. Muda wa kuchukua hatua ni sasa kabla hatujachelewa mno.
Wapo wenzetu tunao fanana nao katika mazingira kama yetu kuweza kujipanga hata kuamua ya nini cha kufanya katika namna inavyofahamika zaidi kuliko kusubiria zahama hili linalokuja litufikie tukiwa tumemwachia Mungu. Kumwachia Mungu hakuna maana ya kutochukua hatua.
Kwa hali inavyokwenda mkuu, ilikuwa vyema ukarejea Dar es salaam au Dodoma (yaliko makazi yako rasmi) kwa ajili ya kuongoza mapambano haya sasa wewe mwenyewe.
Mikusanyiko yote kila mmoja kwa jina lake ni muda wa kuisitisha sasa. Hivi vijiwe vyote, viwe vya kahawa au tangawizi ni muda wa kuvifunga maana vinachangia mikusanyiko ambayo ndiyo njia kuu ya maambukizi.
Mkuu, penye nia pana njia. Tutie nia pamoja sote kama taifa tutashinda.
Huwez sema hata mkoa aisee sasa basi ishue yako ume fabricate aisee huwez sema mkoa ? sasa ndio nini ? siwez jifunza kitu kutoka kwako.Ulikuja juu sana ukidhani Tanzania ni dar pekee na nina uhakika mleta mada anahesabu hivyo
Just know ni mkoani ndani ya Tanzania
Huwez sema hata mkoa aisee sasa basi ishue yako ume fabricate aisee huwez sema mkoa ? sasa ndio nini ? siwez jifunza kitu kutoka kwako.
sasa kama sijifunzi kitu jf nafanya nini ? kujifunza muhimu , uchiz wangu upo wapi ? mbona unapanic ? you have nothing to offer hapa unaongea onge tu kusema mkoa sababu watu watakuumbuaHee wewe chizi nini wapi nimekuambia ujifunze toka kwangu.
mkuu hukumwona akiongoza mrundikano wa kunywa uji kule kwake hlf wew unazngumzia lokdown?Hii Vita mheshimiwa rais inabidi akaisimamie na kuiondosha mwenyewe.
Mikusanyiko ni lazima ikome.
Haya ya ficha ficha kwenye huu ugonjwa ni wakati wa kuyaweka sawa.
sasa kama sijifunzi kitu jf nafanya nini ? kujifunza muhimu , uchiz wangu upo wapi ? mbona unapanic ? you have nothing to offer hapa unaongea onge tu kusema mkoa sababu watu watakuumbua
Hivi mimi nikiwa na corona nikapanda level seat toka mkoani mpaka ubungo na kunawa mikono halafu nikapanda dala dala mbili kwa kubadili na kikaa level seat. Halafu kesho yake nikaenda ibada na kunawa mikono. Ina maana sitaambukiza corona?
mkuu hukumwona akiongoza mrundikano wa kunywa uji kule kwake hlf wew unazngumzia lokdown?
Sent using Jamii Forums mobile app
Who offered you?take a chill pill pal.
Wanna education!!?? Here we go its free
Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS