Sijakupata mkuu. Nazungumzia uwezekano wa mm mwenye corona kuambukiza watu kwenye mazingira hayo kuendana na hatua za serikali za sasa.Mkuu hiyo inaitwa kujilisha upepo. Kama ukishiba utuletee mrejesho.
I am always on chill level 1, df you talking about ?..when corona comes after you you will realize this is not a joke and it is not something to fuckup with, and Magufuli wont be there to save you because its a disease not elections where on a regular basis you guys flip things upside down, RELAX...
sisi elimu ya kajamba nani tumesoma na habina uhusiano na kingereza sasa, sio lazima usome shule ndio ujue kingereza ndio unazidi kuonyesha ubogasi wako elimu/shule za kajamba nani na kingereza havina uhusiano kabisa dont be stupid, shule ni shule na kingereza ni kingerezaKiswahili muhimu hii english ya kajamba nani imekudhalilisha sana pole
Bla bla election bla bla regular basis daah wabongo bana
sisi elimu ya kajamba nani tumesoma na habina uhusiano na kingereza sasa, sio lazima usome shule ndio ujue kingereza ndio unazidi kuonyesha ubogasi wako elimu/shule za kajamba nani na kingereza havina uhusiano kabisa dont be stupid, shule ni shule na kingereza ni kingereza
Sijakupata mkuu. Nazungumzia uwezekano wa mm mwenye corona kuambukiza watu kwenye mazingira hayo kuendana na hatua za serikali za sasa.
Hivi mimi nikiwa na corona nikapanda level seat toka mkoani mpaka ubungo na kunawa mikono halafu nikapanda dala dala mbili kwa kubadili na kikaa level seat. Halafu kesho yake nikaenda ibada na kunawa mikono. Ina maana sitaambukiza corona?