Fantastic Beast
Member
- Feb 18, 2019
- 53
- 539
Ndugu Mh. Waziri wa Afya, Fieldmarshal Dr. Dorothy Gwajima naomba nichukue dakika zako chache tu kukuuliza jambo moja tuu wewe kama askari mwenye amri ya mwisho pindi tupo vitani.
MMEAMUA KUTUTELEKEZA WAFANYAKAZI WA AFYA TUPAMBANE NA HALI ZETU?
Watakaopoteza maisha yao kutokana na negligence yako watacompasetiwa? Vipi familia zao, vipi wategemezi wao? Nao mtawaambia nini? Maana ni wazi hawa kama askari walioko kwenye frontline ya mapambano wakipata matatizo obvious itakuwa ni job-related risk na si kupenda kwao.
Hivi tumeshindwa kununua PPE za kutosha kweli kwa ajili ya hawa frontliners wetu?
Hakunaga vita inapiganwa bila silaha na strategic plan ya kueleweka. Tupuuze vyooote lkn kwenye hili eneo tukipuuza tumekwisha.
Muda utaongea.