#COVID19 Covid-19 yaibuka kwa kasi mpya China, watanzania tumejipangaje?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Ugonjwa wa Covid-19 umeibuka tena China kwa speed ya 5G .

Waziri wa afya wajulishe watanzania mapema cha kufanya tusisubiri gharika hadi ije.

Ubalozi wa Tanzania china umepiga kimya ila Hali kule Sio shwari.
 
Ugonjwa wa Covid-19 umeibuka tena china kwa speed ya 5G .

Mungu atuepushe, usirudi Tz,
Tukifungiwa ndani wengi watakufa njaa, na maisha yalivyo magumu,
Mwendazake alikataa chanjo na kutufungia sasa hayupo,
 
Ugonjwa wa Covid-19 umeibuka tena china kwa speed ya 5G .

Waziri wa afya wajulishe watanzania mapema cha kufanya tusisubiri gharika hadi ije.

Ubalozi wa Tanzania china umepiga kimya ila Hali kule Sio shwari.
Pamoja na mimi kumkubali JPM ila suala la Covid-19 alikosea sana haiwezekani wewe ukatae interventions zote at the same time huchukui hatua yoyote...watu wamekufa sana ila hili tumuachie yeye na Muumba wa vyote vinavyo onekana na visivyo onekana .
Ila Mh Rais naamini hili atalitazama kwa umakini mkubwa kukaa kimya ni kifo.
 
Pamoja na mimi kumkubali JPM ila suala la Covid-19 alikosea sana haiwezekani wewe ukatae intervention zote at the same time huchukui hatua yoyote...watu wamekufa sana ila ili tumuachie yeye na Muumba wa vyote vinavyo onekana na visivyo onekana .
Ila Mh Rais naamini hili atalitazama kwa umakini mkubwa kukaa kimya ni kifo.
Duh......!

Waziri wa Afya ni yule yule!
 
Ugonjwa wa Covid-19 umeibuka tena China kwa speed ya 5G .

Waziri wa afya wajulishe watanzania mapema cha kufanya tusisubiri gharika hadi ije.

Ubalozi wa Tanzania china umepiga kimya ila Hali kule Sio shwari.
Ushuzi tu huo. Infact toka vita ya Russia imeanza episode za COVID zilikwisha kabisa
kweli marekani shetani
 
Pamoja na mimi kumkubali JPM ila suala la Covid-19 alikosea sana haiwezekani wewe ukatae interventions zote at the same time huchukui hatua yoyote...watu wamekufa sana ila hili tumuachie yeye na Muumba wa vyote vinavyo onekana na visivyo onekana .
Ila Mh Rais naamini hili atalitazama kwa umakini mkubwa kukaa kimya ni kifo.
Acha ujinga mkuu, mbona wewe hukufa?

Na wakati mwingine ututajie ni nchi ipi ambako hawakupatwa na maafa ya covd licha kwamba wao hawakukosea kudili na covd kama unavyosema Kwa JPM
 
Ushuzi tu huo. Infact toka vita ya Russia imeanza episode za COVID zilikwisha kabisa
kweli marekani shetani
Iliisha wapi Ras! Ipo sana tu. Ulaya hii winter wanasema itaongezeka. Kinachosaidia sasa hivi ni chanjo. Vifo na kulazwa hospitalini vimepungua sana sana kwa sababu ya chanjo ndiyo maana hawatangazi tena sana. Siku hizi mtu akiugua anaendelea na shughuli kama kawaida.
 
Acha ujinga mkuu, mbona wewe hukufa?

Na wakati mwingine ututajie ni nchi ipi ambako hawakupatwa na maafa ya covd licha kwamba wao hawakukosea kudili na covd kama unavyosema Kwa JPM

Punguza matusi na ujuaji
 
Acha kutukana watu!
Kama una mawazo tofauti yatoe bila kuchokoza watu.
Kwa kifupi huna hoja.
Sio kuchokozwa ni uache ujinga kweli, hizo nchi walizoimplement hizo intervention unazozisema ndiko raia wake wamekufa wengi kama uduvi. Magufuli alilipatia sana swala la huu ugonjwa wa kupikwa na nchi ilivuka salama ukilinganisha na hali ilivyokua katika nchi zingine. Nadhani ndio moja ya vitu vilivyomcost mana alijenga uadui mkubwa na watengenezaji wa agenda ya covid.
 
Ugonjwa wa Covid-19 umeibuka tena China kwa speed ya 5G .

Waziri wa afya wajulishe watanzania mapema cha kufanya tusisubiri gharika hadi ije.

Ubalozi wa Tanzania china umepiga kimya ila Hali kule Sio shwari.
Si wamechanjwa wote na busta juu?? Na lockdown walipigwa kwa miaka 2
 
Back
Top Bottom