#COVID19 Covid-19 yaibuka kwa kasi mpya China, watanzania tumejipangaje?

#COVID19 Covid-19 yaibuka kwa kasi mpya China, watanzania tumejipangaje?

Magufuli alilipatia sana swala la huu ugonjwa wa kupikwa na nchi ilivuka salama ukilinganisha na hali ilivyokua katika nchi zingine.
Mm nampinga Magufuli ktk mengi lkn kwa suala la korona ninamkubali Sana. Niliyasema haya siku nyingi Sana.

Sio kuchokozwa ni uache ujinga kweli, hizo nchi walizoimplement hizo intervention unazozisema ndiko raia wake wamekufa wengi kama uduvi. Magufuli alilipatia sana swala la huu ugonjwa wa kupikwa na nchi ilivuka salama ukilinganisha na hali ilivyokua katika nchi zingine. Nadhani ndio moja ya vitu vilivyomcost mana alijenga uadui mkubwa na watengenezaji wa agenda ya covid.
Wewe ni mtu mpumbavu sana....Nimemaliza.
 
Pamoja na mimi kumkubali JPM ila suala la Covid-19 alikosea sana haiwezekani wewe ukatae interventions zote at the same time huchukui hatua yoyote...watu wamekufa sana ila hili tumuachie yeye na Muumba wa vyote vinavyo onekana na visivyo onekana .
Ila Mh Rais naamini hili atalitazama kwa umakini mkubwa kukaa kimya ni kifo.
Umenena Kweli !
 
Ugonjwa wa Covid-19 umeibuka tena China kwa speed ya 5G .

Waziri wa afya wajulishe watanzania mapema cha kufanya tusisubiri gharika hadi ije.

Ubalozi wa Tanzania china umepiga kimya ila Hali kule Sio shwari.
Hujachanja hadi leo?
 
Wameshauriwa, wamekaza shingo.

Tumewaambia muda wa TZ kupata KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA umefika.

Shingo INAVUNJIKA!!!!!!!!
 
Source ya hii habari please!

Maana omekaa kizushi zushi zaidi.
 
Pamoja na mimi kumkubali JPM ila suala la Covid-19 alikosea sana haiwezekani wewe ukatae interventions zote at the same time huchukui hatua yoyote...watu wamekufa sana ila hili tumuachie yeye na Muumba wa vyote vinavyo onekana na visivyo onekana .
Ila Mh Rais naamini hili atalitazama kwa umakini mkubwa kukaa kimya ni kifo.
Kwa hiyo Magufuli ndio ameisabaza tena huko China?

Badala ya kuongea way forward,wewe unaongea Wayback!
 
Ugonjwa wa Covid-19 umeibuka tena China kwa speed ya 5G .

Waziri wa afya wajulishe watanzania mapema cha kufanya tusisubiri gharika hadi ije.

Ubalozi wa Tanzania china umepiga kimya ila Hali kule Sio shwari.
Ule muda umefika,kichaka kingine hicho!

Tusubiri
 
Pamoja na mimi kumkubali JPM ila suala la Covid-19 alikosea sana haiwezekani wewe ukatae interventions zote at the same time huchukui hatua yoyote...watu wamekufa sana ila hili tumuachie yeye na Muumba wa vyote vinavyo onekana na visivyo onekana .
Ila Mh Rais naamini hili atalitazama kwa umakini mkubwa kukaa kimya ni kifo.
Unamwaga uharo gani??.........kwani siku zote watu walikuwa hawafi........?? Hata wewe Pia utakufa Acha uoga WA kipanga.......hao waliochoma uko ulaya tena kinga gredi one wako wapi?? Mbona walikufa......au ukuwaona......watu wamechoma misindano na misindano na bado wakafa ........shukuru mungu kakulinda na si yeyote karume kenge wewe
 
Wameshauriwa, wamekaza shingo.

Tumewaambia muda wa TZ kupata KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA umefika.

Shingo INAVUNJIKA!!!!!!!!
Unamaanisha Nini!?

Kwamba wimbi hilo litumike kusafiaha nyumba Tena!?

Au!?

Mvua imekaribia karibia kunyesha sio!!

Wakati wa kumiminwa wabishi umefika!!?au!?

Unijibu tafadhali,mwandiko wangu Huu!unaukumbuka!?
 
Kama muda wa kufagia wabishi wasiotaka mabadiliko umefika mseme wajameni wengine tupishe hiyo dhahama
 
Labda rais Samia atakuwa na majibu maana tunaona sasa hivi kapunguza kuvaa barakoa sijui ndio corona imeisha.
Leo katika safari zangu nimekutana na kma vituo viwili wanapima joto na naona barakoa kwa kasi Kali.
 
Acha ujinga mkuu, mbona wewe hukufa?

Na wakati mwingine ututajie ni nchi ipi ambako hawakupatwa na maafa ya covd licha kwamba wao hawakukosea kudili na covd kama unavyosema Kwa JPM
Kunawatu aidha akilizao ni fupi ama wanaamuatu kujifanya kama saambovu mkuu usiumize kichwa na hao watumwa.
 
Unamaanisha Nini!?

Kwamba wimbi hilo litumike kusafiaha nyumba Tena!?

Au!?

Mvua imekaribia karibia kunyesha sio!!

Wakati wa kumiminwa wabishi umefika!!?au!?

Unijibu tafadhali,mwandiko wangu Huu!unaukumbuka!?
Nabii Isaya alileta Unabii Kwa mfalme Hezekiah kuwa,

Tengeneza mambo ya nyumba Yako maana hutapona UGONJWA ulionao Utakufa, Nabii akaenda zake baada ya kudeliver message.

Mfalme Hezekiah akageukia ukutani pale pale kitandani akatubu na kumuomba Mungu abatilishe HUKUMU yake.

Mungu akasikia, akamrudisha Nabii kumwambia mfalme kuwa Hutakufa na Utaongezewa miaka 15 mingine na ikawa hivyo.

Yaweza isitokee kama WATAGEUKA na KUTUBU.

Mungu hapendi DAMU ya watu wake imwagike bila HATIA.

Ameeeen.
 
Hilo litakuwa ni wimbi jipya, kwani limepewa jina gani ndugu mleta mada? maana jina la mwisho ninalokumbuka ni 'omicron'
 
Waacheni wapambane na hali yao. Kwanza walianza wao. Kisha wakatufungia kwenda huko na kwa hilo tunawashukuru. Waendelee tu kuujenga ule ukuta wao.
 
Back
Top Bottom