Mm nampinga Magufuli ktk mengi lkn kwa suala la korona ninamkubali Sana. Niliyasema haya siku nyingi Sana.Magufuli alilipatia sana swala la huu ugonjwa wa kupikwa na nchi ilivuka salama ukilinganisha na hali ilivyokua katika nchi zingine.
Simpendi na sikumchagua Magufuli lakini naunga mkono 100% msimamo wake kuhusu Korona
Korona haina tiba wala haina kinga. Njia zote zinazoshauriwa ili kujikinga na korona ni za dhahania na nadharia tu. Ndiyo maana hakuna mahala popote walipofanikiwa kuiondoa na kuimaliza korona. Hizo chanjo zimekaa kisiasa na kibiashara tu. Mafua yana karne nzima mpaka leo hakuna kinga, ukimwi...