peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mungu atuepushe, usirudi Tz,Ugonjwa wa Covid-19 umeibuka tena china kwa speed ya 5G .
Waziri wa afya wajulishe watanzania mapema cha kufanya tusisubiri gharika hadi ije.
Ubalozi wa Tanzania china umepiga kimya ila Hali kule Sio shwari.
Pamoja na mimi kumkubali JPM ila suala la Covid-19 alikosea sana haiwezekani wewe ukatae interventions zote at the same time huchukui hatua yoyote...watu wamekufa sana ila hili tumuachie yeye na Muumba wa vyote vinavyo onekana na visivyo onekana .Ugonjwa wa Covid-19 umeibuka tena china kwa speed ya 5G .
Waziri wa afya wajulishe watanzania mapema cha kufanya tusisubiri gharika hadi ije.
Ubalozi wa Tanzania china umepiga kimya ila Hali kule Sio shwari.
Duh......!Pamoja na mimi kumkubali JPM ila suala la Covid-19 alikosea sana haiwezekani wewe ukatae intervention zote at the same time huchukui hatua yoyote...watu wamekufa sana ila ili tumuachie yeye na Muumba wa vyote vinavyo onekana na visivyo onekana .
Ila Mh Rais naamini hili atalitazama kwa umakini mkubwa kukaa kimya ni kifo.
Labda rais Samia atakuwa na majibu maana tunaona sasa hivi kapunguza kuvaa barakoa sijui ndio corona imeisha.Kwani iliwahi kuisha? Covid hata hapo ulipo ipo
Ushuzi tu huo. Infact toka vita ya Russia imeanza episode za COVID zilikwisha kabisaUgonjwa wa Covid-19 umeibuka tena China kwa speed ya 5G .
Waziri wa afya wajulishe watanzania mapema cha kufanya tusisubiri gharika hadi ije.
Ubalozi wa Tanzania china umepiga kimya ila Hali kule Sio shwari.
Acha ujinga mkuu, mbona wewe hukufa?Pamoja na mimi kumkubali JPM ila suala la Covid-19 alikosea sana haiwezekani wewe ukatae interventions zote at the same time huchukui hatua yoyote...watu wamekufa sana ila hili tumuachie yeye na Muumba wa vyote vinavyo onekana na visivyo onekana .
Ila Mh Rais naamini hili atalitazama kwa umakini mkubwa kukaa kimya ni kifo.
Nahisi ni yule wa shemeji yetu kutest mitamboDuh......!
Waziri wa Afya ni yule yule!
Acha kutukana watu!Acha ujinga mkuu, mbona wewe hukufa?
Na wakati mwingine ututajie ni nchi ipi ambako hawakupatwa na maafa ya covd licha kwamba wao hawakukosea kudili na covd kama unavyosema Kwa JPM
Iliisha wapi Ras! Ipo sana tu. Ulaya hii winter wanasema itaongezeka. Kinachosaidia sasa hivi ni chanjo. Vifo na kulazwa hospitalini vimepungua sana sana kwa sababu ya chanjo ndiyo maana hawatangazi tena sana. Siku hizi mtu akiugua anaendelea na shughuli kama kawaida.Ushuzi tu huo. Infact toka vita ya Russia imeanza episode za COVID zilikwisha kabisa
kweli marekani shetani
Acha ujinga mkuu, mbona wewe hukufa?
Na wakati mwingine ututajie ni nchi ipi ambako hawakupatwa na maafa ya covd licha kwamba wao hawakukosea kudili na covd kama unavyosema Kwa JPM
Sio kuchokozwa ni uache ujinga kweli, hizo nchi walizoimplement hizo intervention unazozisema ndiko raia wake wamekufa wengi kama uduvi. Magufuli alilipatia sana swala la huu ugonjwa wa kupikwa na nchi ilivuka salama ukilinganisha na hali ilivyokua katika nchi zingine. Nadhani ndio moja ya vitu vilivyomcost mana alijenga uadui mkubwa na watengenezaji wa agenda ya covid.Acha kutukana watu!
Kama una mawazo tofauti yatoe bila kuchokoza watu.
Kwa kifupi huna hoja.
Si wamechanjwa wote na busta juu?? Na lockdown walipigwa kwa miaka 2Ugonjwa wa Covid-19 umeibuka tena China kwa speed ya 5G .
Waziri wa afya wajulishe watanzania mapema cha kufanya tusisubiri gharika hadi ije.
Ubalozi wa Tanzania china umepiga kimya ila Hali kule Sio shwari.
Sawa mkuuAcha kutukana watu!
Kama una mawazo tofauti yatoe bila kuchokoza watu.
Kwa kifupi huna hoja.