Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku Mwanza hakuna anayekushangaa ukivaa masks, very civilized.Vituo vya mwendo kasi leo walikuwa wanapiga dawa.
Wabongo wananawa mikono vyema tu tatizo masks yani bado ukivaa unaonekana kituko cha karne ya 30.
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Very trueNa mitandao ya simu ishushe Basi gharama tuweze kufatilia taarifa kwa wakati
🚶🚶🚶
Eti eeh 🙄Msiwe na hofu hii kitu itakwisha yenyewe kama ilianza yenyewe
Dah!Naona speed inaanza kuchanganya..sasa ipo ya bajaji isije fika ya ferrari..
Ndio pressure ya nini au haujui what comes around goes around kupanic tu ni ugonjwa tosha just relax kula bata kimtindo maisha yaendeEti eeh 🙄
Naona unaunga juhudi mkono- covid 19 imechanganya hadi level ya exponential growth.Dah, natafuta ile thread ya kumshukuru Mkulu
Kulishakucha inaonekana kitambo tu sema tu...... AFRICA NA TABIA ZETU ZA KUCHANGANYA SIASA NA TAALUMA
HahahahahNishakimbia Dar muda mimi wacha nikae kidogo krb na mzee wangu kwanza kama mwezi
Vituo vya mwendo kasi leo walikuwa wanapiga dawa.
Wabongo wananawa mikono vyema tu tatizo masks yani bado ukivaa unaonekana kituko cha karne ya 30.
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Usijipe matumaini hewa. Bila chanjo corana itatesa sana.Msiwe na hofu hii kitu itakwisha yenyewe kama ilianza yenyewe
Sawa Professor LUMUMBA.... Leo watakulipa 8000Salary Slip, Wewe kila kitu kulaumu!!
Tuombeni Mungu kwani wangapi walichukua tahadhari na bado ugonjwa ukasambaa? Unatamani lock down wananchi wataishije? Kisa unalala na kunywa kwa nguvu ya wengine ? Tuombeni Mungu tupunguze lawama!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati leo sukari kiloimefika 3200/Kitu cha kufanya ni selikari kupunguza au kuondoa Kodi za mahitaji muhimu walau kwa miezi 3 bei zishuke ije ifidie pengo, unga aina zote , Michele, sabuni, mafuta. Raisi Atangaze namshauri
Sent using Jamii Forums mobile app