COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

Maambukizi yakifika vijijini hali itakua mbaya zaidi, FUNGENI MIKOA YENYE WAGONJWA!!! sasa hivi watu wanawaza kukimbilia mikoa mingine na hatujui wanaowaza hivyo ni wangapi tayari wameathirika 😡
 
Tuiombe pia serikali iache ukatili na itubu kwa Mola, tangu enzi za akina azoli, ben saa8, ishu ya miili ktk viroba, risasi kwa tundu lisu, watu kutekwa na wasiojulikana, ubabe wa serikali, uvunjifu wa demokrasia huku watanzania tukikaa kimya pasi na kuchukua hatua sasa Mola kakasilika na anatuadhibu sote

Sent using Jamii Forums mobile app


Kaamua kuadhibu dunia nzima??
 
Mzaha mzaha hutumbua usaha. Wale waliokua wakidharau huu ugonjwa tangu mwanzo soon watakula matapishi yao.
Wacha niendelee kukaa ndani tu kama mwali.

Wewe una jishughulisha na nini?


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Viongozi wa hii nchi asee sijui wanawaza nini ilikuwa ishu simple sana kupiga lockdown DSM na Arusha tangu mwanzo ambapo hata kuwapa msaada ingekua rahisi sasa wanasubiri uenee nchi nzima wataweza kufunga nchi nzima na kuwasaidia watu?

Calculation rahisi sana zinawashinda hii nchi wanaongoza vipi kwani hawa binadamu? Namba zimeanza kukimbia kwa kasi ya ajabu 25 per day si mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa hii nchi asee sijui wanawaza nini ilikuwa ishu simple sana kupiga lockdown Dsm na Arusha tangu mwanzo ambapo hata kuwapa msaada ingekua rahisi sasa wanasubiri uenee nchi nzima wataweza kufunga nchi nzima na kuwasaidia watu??? Calculation rahisi sana zinawashinda hii nchi wanaongoza vipi kwani hawa binadamu?? Namba zimeanza kukimbia kwa kasi ya ajabu 25 per day si mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
serikali ikowapi kile kikosi kazi cha watu wasiojulikana sasa ndo muda wake kupambana na huyu adui corona asiyeonekana
 
Hivi sikuku si zimeisha? Mbona walioenda Chato hawarudi maofisini.
 
Mshana Jr yuko wapi?

Total lockdown bado tu muda wake?
 
Back
Top Bottom