barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ok ila Dar chakula kinaingia kila siku toka mikoani. Hapa ingekuaje?Mikoa iliyoathirika ifungwe watu wasitoke nje ya mikoa hiyo wala kuingia, Masks ziwe ni lazima kuvaa kwa kila raia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok ila Dar chakula kinaingia kila siku toka mikoani. Hapa ingekuaje?Mikoa iliyoathirika ifungwe watu wasitoke nje ya mikoa hiyo wala kuingia, Masks ziwe ni lazima kuvaa kwa kila raia
Yaingie magari ya mizigo ikiwemo vyakula kwa uangalizi maalumuOk ila Dar chakula kinaingia kila siku toka mikoani. Hapa ingekuaje?
Tuiombe pia serikali iache ukatili na itubu kwa Mola, tangu enzi za akina azoli, ben saa8, ishu ya miili ktk viroba, risasi kwa tundu lisu, watu kutekwa na wasiojulikana, ubabe wa serikali, uvunjifu wa demokrasia huku watanzania tukikaa kimya pasi na kuchukua hatua sasa Mola kakasilika na anatuadhibu sote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzaha mzaha hutumbua usaha. Wale waliokua wakidharau huu ugonjwa tangu mwanzo soon watakula matapishi yao.
Wacha niendelee kukaa ndani tu kama mwali.
total lockupUkitoa total lockdown unashauri nini kifanyike?
Wakina nani wawe wanataja? Polepole au Bashiru?Wawe wanataja kiwilaya ili.kujua wilaya IPI ina wagonjwa wengi ili hatua za kuchukua ziwe juu kwa wakazi Wa maeneo husika ya wilaya husika
Wizara ya afyaWakina nani wawe wanataja? Polepole au Bashiru?
serikali ikowapi kile kikosi kazi cha watu wasiojulikana sasa ndo muda wake kupambana na huyu adui corona asiyeonekanaViongozi wa hii nchi asee sijui wanawaza nini ilikuwa ishu simple sana kupiga lockdown Dsm na Arusha tangu mwanzo ambapo hata kuwapa msaada ingekua rahisi sasa wanasubiri uenee nchi nzima wataweza kufunga nchi nzima na kuwasaidia watu??? Calculation rahisi sana zinawashinda hii nchi wanaongoza vipi kwani hawa binadamu?? Namba zimeanza kukimbia kwa kasi ya ajabu 25 per day si mchezo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Watanzania wenyewe wana habari!! Wapo huko wanamjadili Ali kiba na diva[emoji23]
KWISHA habari yetu
Watu waendelee kupukutika sio.lockdown itaua uchumi, tukomae tu hivi hivi.
Zanzibar au Tanzania Bara?Wizara ya afya