Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Dah, natafuta ile thread ya kumshukuru Mkulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah, natafuta ile thread ya kumshukuru Mkulu
Kinachoshangaza watu bado wanarundikana kwenye ma Bar kama vile huu ugonjwa hauwahusu,na kinachotisha ni kuwa kila alietajwa kwenye hiyo idadi ana watu wake aliowaambukiza,Mbombo ngafu...Kwa siku 14 jengo la Life House halitakuwa na huduma ya lift kuanzia kesho, Kuna mfanyakazi ghorofa ya tatu kafa na vijirusi. Pia watapuliza dawa jengo zima.
Kuna jamaa mwingine alikuwa na bar maarufu, nae kaenda kimya kimya, naona Sasa hiii ni ngoma ya kimya kimya
wanaume wa Dar na wake zenu mubaki hukohuko, kama wale wanafunzi wa Wuhan mtapata dhawabuJiji la dar linazidi kupeta,
Hivi bia tutakua tunapata wapiPartial lockdown ni muhimu sasa. Watu wasiingie wala kutoka kwenye mikoa yenye maambukizi.Magari ya mizigo ya chakula na bidhaa nyingine ndio yaruhusiwe kuingia hiyo mikoa.
Tulionya,huu ugonjwa unakua exponentially na hatua madhubuti zichukuliwe mapema.
Mikusanyiko yote pamoja na ile ya makanisani na misikitini ipigwe marufuku. Viongozi wa dini wasiachwe kuwa merchants of death.
Bar na night clubs zifungwe pia haraka. Tutakwisha jamani.
Check againMi naamin worldnometer idadi in 59
Una mlisha maneno, hakusema hivyo! Alisema "watu wanashindwa kutoka nje WANASUBIRI kolona"Poo Makonda alisema eti watu wanashindwa kutoka nje kwa kuogopa corona
Alisema tuchape kazi yani hana chakusema empty hajui kitu
Endeleeni kutetea ujinga..kisa UCCM.Una mlisha maneno, hakusema hivyo! Alisema "watu wanashindwa kutoka nje WANASUBIRI kolona"