COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

Vituo vya mwendo kasi leo walikuwa wanapiga dawa

Wabongo wananawa mikono vyema tu tatizo masks yani bado ukivaa unaonekana kituko cha karne ya 30

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Mask unavaa ikiwa unakohoa na dalili zingine,ikiwa wewe huna tatizo mask si muhimu kwako, eleqwni hivyo
 
Subirini pistons zichanganye kwanza labda hata sauti za walioko nyikani zitasikika.

Si mnaona hata mikusanyiko ya nyumba za ibada ni ya lazima?

Ndo kwanza wiki ya pili sasa bado moja iliyotabiriwa ili muwe mnatangaza digits tatu au nne.
 
[emoji24][emoji24][emoji24]
IMG_20200414_183114_642.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ibariki Tanzania
Tuiombe pia serikali iache ukatili na itubu kwa Mola, tangu enzi za akina azoli, ben saa8, ishu ya miili ktk viroba, risasi kwa tundu lisu, watu kutekwa na wasiojulikana, ubabe wa serikali, uvunjifu wa demokrasia huku watanzania tukikaa kimya pasi na kuchukua hatua sasa Mola kakasilika na anatuadhibu sote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom