Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Mikusanyiko ya kanisani na misikitini isimamishwe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana Mkuu, huu ugonjwa naona ukikupata ukiwa na afya njema ni ngumu kukuondoa..Naumia sana maana nina ndugu wengi wana HIV,ninalia kwa ajili yao. This Covid is becoming worse and worst.
Hili janga halichagui chama jamani
Kwani watanzania wenyewe wana habari!! Wapo huko wanamjadili Ali kiba na diva[emoji23]
KWISHA habari yetu
Nipo mikocheni Mkuu, for your safety and your family zitafaa sana...
Wakitoka hapo vijiweni wanarahisisha mambo utasikia dawa ya korona ni maji Moto changanya na limao na tangawizi!! Very easy haha! Huenda ikawa kweli tunalindwa na mizimu 😂😂😂😜
Inamaana hao madaktari wanaovaa barakoa wakati wanatoa huduma na wenyewe wanamatatizo?Mask unavaa ikiwa unakohoa na dalili zingine,ikiwa wewe huna tatizo mask si muhimu kwako, eleqwni hivyo