Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enhe ww ndo umeongeaItafika muda lockdown itajiseti yenyewe.
Mzee baba ht nembo huoni au ww ndo umetaharuki...Taarifa hii ina ukweli kiasi gani? Nawaomba wana Jf tusiwe chanzo cha taaluki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ukipata na wewe tutaanza kuongea lugha moja!
Mkuu, utani huo mkuu, sio njema Sana mkuu,Aaah imekuaje tena idadi iongezeke na wakati ni juzi tu hapo yesu katoka kufufuka?
Kubwalao kakimbilia shamba, anasikilizia tu na kuwaongopea watu wachape kaziKwa siku 14 jengo la Life House halitakuwa na huduma ya lift kuanzia kesho, Kuna mfanyakazi ghorofa ya tatu kafa na vijirusi. Pia watapuliza dawa jengo zima.
Kuna jamaa mwingine alikuwa na bar maarufu, nae kaenda kimya kimya, naona Sasa hiii ni ngoma ya kimya kimya
Tulikubaliana mwanzo kabisa, mwaka 1964, mambo yepi tufanye pamoja.Source
Wale 6 wa Zanzibar mbona siwaoni hapo?
Kwenye hili janga hakuna wa kupongeza wala kulaumu..hali ni mbaya kote. Si ulaya, Marekani wala Afrika, hajulikani mwenye akili wala mpumbavu wote mamoja..hali ni chafu.Na hapa ndipo napomueleewa na kumpenda waziri wa Afya wa Uganda yule Mama ni smart sana na anamiliki hekima.
Ndugu yangu wee nani alikudanganya kunawa mikono bila kuzuia mikusanyiko kunatatua tatizo? Hata wangenawa mikono na mafuta ya moto bila kuzuia mikusanyiko ambayo ndiyo njia kuu ya kueneza virus ni bure.Vituo vya mwendo kasi leo walikuwa wanapiga dawa
Wabongo wananawa mikono vyema tu tatizo masks yani bado ukivaa unaonekana kituko cha karne ya 30
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Noma sana
Ili ongezeko linatufundisha nini mimi na wewe ?MWENENDO WA UGONJWA WA CORONA NCHINI
Wizara ya Afya inathibitisha uwepo wa wagonjwa wapya 29 wa COVID-19 nchini. Hadi sasa Tanzania idadi ya Wagonjwa imefikia 88 na wote wanaendelea na matibabu chini ya uangalizi wa wataalam afya.
View attachment 1419996