COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

Naonanduguyng.naww.haukonyuma.kwenye.hiifursa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari kwa kweli,mambo yanatisha!! Tumeshachelewa na covid19 imeshatupiga sasa namba zitaongezeka kwa fujo.
 
Wabongo bana hamtaki kujishughulisha ili kupata ukweli wa habari kazi kusema ni za kupikwa tu.! Pitia page za vituo vya habari kwenye mitandao; fungulia hata redio basi ujihakikishie kabla ya kuja kusema ni za kupikwa.!!
Kwani page za vituo vya habari ndiyo zinatoa andaa data na kutoa data?
Page na vyombo vya habari kazi yao ni kusambaza habari kwa wanaccm

Nikisema data zinapitia Jikoni simaanishi page na vyombo vya habari ndiyo vinahusika na mapishi huko jikoni
 
Sasa ramadhani bila swala itaendaje? Naona idd el fitr inaweza ahirishwa mwaka huu.

Sent using iphone pro max
 
Atakaye muona tena Makonda hadharani ani tag...

Tusitishane....e in Maalimu Seif voice.

Sent using iphone pro max
 
Njia iiyosalama na yenye kuleta matokeo Kwa kupambana na maambukizi ni ipi? Mbona karibu zote zimefeli?

Tuendelee kufuata taratibu zooote zinazoelekezwa na wizara
Hamna shida, tuendelee na njia hii hii tuliyochagua itatufikisha mahala pazuri na kutuokoa na hili janga πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…