Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naonanduguyng.naww.haukonyuma.kwenye.hiifursa.Hali inazidi kuwa mbaya kadri siku zinavyosogea idadi ya watu inazidi kuongezeka.
Ni muda wa serikali wa kuzifungia kumbi za starehe maana kuna sehemu unapita unakuwa watu wamekusanyika wanakunywa pombe bila kuchukua tahadhari...
Ikiwezekana itoe tamko kama jirani zetu wakenya walichofanya kila raia anaetoka nje kwa shughuli za kutafuta riziki ni sharti awe amevaa Facial mask..
Kwa mahitaji ya Facial mask unaweza nitafuta pia kwa kila pakti zipo 10 pcs na unaweza zifua na kuzitumia kwa muda mrefu.
Zimetengenezwa kwa two layer strechable knitted fabric zina ubora wa hali ya juu...
Bei ni tsh. 10000 kwa pakiti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari kwa kweli,mambo yanatisha!! Tumeshachelewa na covid19 imeshatupiga sasa namba zitaongezeka kwa fujo.Tumesema sana hapa, hadi vidole vikawa vinauma! Wengine tukawa tunasema kwa mifano hai ni namna gani mataifa yote yaliyoanza na mizaha kwenye coronavirus inavyoangamia hivi sasa!!
Tukatoa mifano ya mizaha iliyokuwa inaletwa na Iran na kuwaambia watu kwamba Iran italindwa na Mungu!
Tukatoa mifano ya Spain ambayo Daktari Mkuu wa Magonjwa ya Dharula alipotamka hadharani kwamba Spain haiwezi kuathirika kwa sababu hawashei mpaka na Italy!!
Tukatoa mifano ya mizaha ya Trump ambae siku anahojiwa back January aliongea kwa mbwembwe kwamba "everything is under control" na wana mgonjwa mmoja tu kutoka China! Trump akaendelea na mizaha yake ni kuwakejeli Iran kwamba US ina professionals wa kutosha kwahiyo wapige tu goti wataenda kuwasaidia!!
Mizaha kama hiyo ikaletwa tena na Magufuli huku misukule yake ambayo utadhani mazuzu, ikawa inatetea na ku-justify maono yake ya hovyo!!
Yaani Magufuli na PhD yake hadi leo anaamini Mzungu ni mtu mwema sana na kwa kumpenda Mwafrika, ndio maana Mzungu akaamua kutuletea Yesu ili, pamoja na mambo mengine, hatimae Bwana Yesu aje kuwa kinga na tiba ya magonjwa mbalimbali kwa Waafrika!
Mazuzu yakapiga makofi na vigelegele!!!
I hate to say this: Kwa hapa tulipofikia kuidhibiti coronavirus itakuwa ngumu sana kwa sababu imeshaingia mtaani! Tulishapoteza chance ya kuudhibiti huu ugonjwa pale airport!!
Desperation aliyonayo Trump hivi sasa ni kwa sababu na yeye hadi anakuja kushituka kwamba hii issue ni serious, ilishakuwa too late!!
Hahahahaahahaaa.Mzaha mzaha hutumbua usaha. Wale waliokua wakidharau huu ugonjwa tangu mwanzo soon watakula matapishi yao.
Wacha niendelee kukaa ndani tu kama mwali.
Kwani page za vituo vya habari ndiyo zinatoa andaa data na kutoa data?Wabongo bana hamtaki kujishughulisha ili kupata ukweli wa habari kazi kusema ni za kupikwa tu.! Pitia page za vituo vya habari kwenye mitandao; fungulia hata redio basi ujihakikishie kabla ya kuja kusema ni za kupikwa.!!
Nahene ngw'ana wa ngw'iseLiluyaga ligubitaga, nalyo ligushila dohu ng'wana o ngikulu
Nani kakuambia ?Mtu mwenye HIV tayari immunity yake inasaidiwa na ARV. Akiingia Coronavirus ni majanga tupu.Si nasikia Covid wanaogopa ARV
Mkuu.punguzaukali.wamanenoWenye Mamlaka waliambiwa mapeema kabisa, wafunge mipaka na usafiri wa anga tuanzie hapo, wakakataa eti uchumi wa utalii utadorora. Hii nchi nadhani Malaika walishaitenga hata shetani keshagajitenga nayo kwa usenge unaoendelea humu
Wewe nawe kwani hujui pa kunipata ?Ulivyonisusa utadhani ni mimi ndiye niliyeleta Corona tz 👋👋👋👋
SawaWewe nawe kwani hujui pa kunipata ?
Yaan mpaka uamuzi wa kuipiga lock utokee, itakua too late, I don't really know what is their real intention, too slow at making decisions 😐Dar inatakiwa ipigwe lock. Hakuna kutoka wala kuingia. Wauguzane wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna shida, tuendelee na njia hii hii tuliyochagua itatufikisha mahala pazuri na kutuokoa na hili janga 🙄Njia iiyosalama na yenye kuleta matokeo Kwa kupambana na maambukizi ni ipi? Mbona karibu zote zimefeli?
Tuendelee kufuata taratibu zooote zinazoelekezwa na wizara