COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

Aisee,hatua Kali zichukuliwe sasa, maana hali hio hatutafika salama kabisa
 
Exponential graph inaanza kupanda sasa,sio?
Sasa tunaelekea kupata Take-Off Speed kwenye runway ya kupaa kuelekea kiwango cha maambukizi ya COVID-19 cha USA, Italia na Spain.

Manabii fake wa bongo tulishatoa utabiri, na wahenga kwenye maandiko matakatifu wanasema "What is written shall come to pass"

Ogopa nguvu ya maandishi au ya maneno.
BEWARE THE POWER OF WORD!
 
Kigamboni wafanyakazi wa TIPER wako karantiini tangu jana. Bosi wao alikutwa na virus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…